YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa



Excellent summary,
ExpertBroker tafadhali iweke hii pale juu kwenye thread post ili watu wasiokuwa na muda wa kupitia posts zote waione na kupata synopsis ya huu mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Who are the giant real estate investors to rely on, au unataka nilete mifano ya Marekani na Ulaya ndio nitakukuna vizuri! Tunaongelea Tanzania mkuu!

Kwahiyo zikiwa giant maana yake ndio maamuzi wanayofanya ni sahihi?

U giant wake umetokana na nini? Huo u giant unaouzungimzia is not a result of good investment decisions ila umetokana na makato ya pension za wafanyakazi. Ingekuwa haya ni makampuni yaliyoanza kwa kuchukua mkopo somewhere na yameulipa huo mkopo bila shida na yameweza kujenga majumba, tungeona ni mashujaa lakini haya yamechukua hela za wafanyakazi na baada ya miaka 15-20 ndio tutaweza kuona kama yameinvest vizuri pesa za wafanyakazi pale yatakapoweza kulipa pension za watu bila mushkeli. Nakushauri upitie ile thread inayojadili jinsi mashirika haya mahesabu yake yalivyokaa vibaya.
 
I am sorry that you wrongly got me wrong Brother, have time to revisit my thread! Acha kasumba ya kusoma juujuuu ili ukimbilie kuongeza idadi ya comments na posts! Ni wapi nimesema watu wasijenge apartments mikoani?

Naona umeanza kukimbia hoja zako kidogo kidogo!

Zimeshakuwa za moto...
 
Penye RED, Nilijua hilo ndilo linakukwaza na bora umelitolea ufafanuzi kuonesha ni kwa vipi unakwazika! Lakini JF inatoa option ya kubadili jina, unaweza jiita lolote na wewe, au lako la Kiranga uliitwa ndio ukalitumia?

Una kipaji cha kutoka kwenye hoja na kwenda kwenye viroja bila mpangilio.

You inferiority complex is conspicuosly glaring to be pointed out. Confident people who are comfortable in their own skin do not tout themselves.

Penye BLUE, hapa ndio nahisi kuna kutoelewana!

Nitashangaa kama guluguja anaweza kuelewa Hegelian dialectic.

Mimi sijasema watu wasiangalie market reaction,

Hujasema waangalie market reaction, hata baada ya mimi ku point out kwamba this is a central compass. Unataka vitu vingine kama utamaduni vi dictate future trends.

labda wewe unajaribu ku-argue academically!

Mimi nasisitiza the market forces on the ground kuliko kingine chochote, how is that academic?

Nimefanya research ya hii kitu hadi naleta huu mjadala hapa Jamvini na ndio maana nikatoa mifano ya mikoa, kama hutaki siwezi kukulazimisha ukubaliane na research yangu!

Kwa thread hii tu, mpaka hapa, hata kama hutudanganyi na umefanya research kweli, research yako ishakuwa disqualified kwa sababu huna ubongo wa kufanya research ya kueleweka.

Umeshindwa kujibu majibu ya washashi wawili watatu tu JF, ndo utafanya research gani ya maana?


Haya makampuni ndiyo beacons of pragmatism katika real estate in the world siyo?

Si hawahawa ndo walimkopesha Sumaye mamilioni bila collateral kukawa na scandal?

Ndo unataka tuwafanye hawa role models ya businesspeople siyo?

Unaelewa kwamba watu washafunguka macho na wanaangalia Real Estate kwa mtazamo wa trends za dunia zaidi kuliko hicho kijiji ulichojifunika under a rock in?
 
I am sorry that you wrongly got me wrong

I wrongly got you wrong? Is that like a negative times negative equals positive type of thing that would make my wrongly getting you wrongly getting you right or something other negative plus negative equals a deeper negative thing where the wrongs compound?

What exactly did I get wrong?


Do not flatter yourself.You do not have the mental capacity to suggest that you could roll with my distant poor cousin, and you want to call me your brother? In which sense? By which association? By which pedigree?

Au unafikiri kila mtu mjamaa jamaa tu anayehusudu undugu wa kirahisi rahisi na central planning ya kuonewa gele na mabakia ya Czarist chekist na Gestapo? Complete with a business building expression censorship that will take Andy Chande back to his coming of age days at Avalon?

Hivyo apartment tu mnaanza kupiga kelele, akija Shehe wa kiarabu mwenye hela zake za kuchezea anataka kujenga skyscraper lenye umbo la mnazi Mbeya ili aingie tu kwenye vitabu vya dunia kama mtu mwenye pesa na kuamua kuzichezea anavyotaka utafanya nini?

have time to revisit my thread!

Your thinking stinks of collectivism as some have already observed above, why should I revisit this stink which is a past phase of our economy?

I might as well revisit the need for "ugawaji" and "foleni za maduka ya kaya ya CCM kununua sukari kwa daftari". That is the opposite of a market economy I am upholding here.Granted the market I advocated for is regulated by codes.

Acha kasumba ya kusoma juujuuu ili ukimbilie kuongeza idadi ya comments na posts! Ni wapi nimesema watu wasijenge apartments mikoani?

Niambie niliposoma juujuu ni wapi na nilichokosa kukielewa kwa kusoma juu juu ni kipi.

Ama sivyo, ukishindwa kuniambia hiki, wewe utakuwa ndiye unayeangalia mambo juu ju.

Nime kwambia kwamba kati yangu nawe, wewe ndiye unaye theorize bila msingi.

Hujajibu hoja bado, unarukaruka kwa viroja tu.
 

POLE sana!
 
Naona umeanza kukimbia hoja zako kidogo kidogo!

Zimeshakuwa za moto...

Sijakimbia hoja, wewe kwa ufinyu wa uelewa wako ndio hukuilewa theme ya hioja yangu, anyway ni kwa sababu sielewi kiwangu cha uelewa wako nashindwa kuendelea kubishana na wewe!
 

Huhitaji kukashifu ndio hoja yako iwe na mashiko, kwani lazima uchangie? Unatafuta U-superstar JF? Kubali ya kwamba kuna profession za watu na wewe huwezi kuogelea katika kila profession, maana kwa mtiririko wa argument yako tu unonesha uimudu taaluma ya real estate
 

Kwa ni core business core business ya hizo parastatal ni real estate? Real estate ni ki-portion tu mzee, we wa wapi? Na unataka nitolee mfano upi kama hao waliopo ndio giant investors, unataka mifanmo ya marekani na Ulaya bado tu wakati tunaongelea Tanzania?
 
Ni wapi nimesema watu wasijenge apartments mikoani?

Naona umeanza kukimbia hoja zako kidogo kidogo!

Zimeshakuwa za moto...

Sijakimbia hoja, wewe kwa ufinyu wa uelewa wako ndio hukuilewa theme ya hioja yangu, anyway ni kwa sababu sielewi kiwangu cha uelewa wako nashindwa kuendelea kubishana na wewe!

Soma kwanza heading ya thread yako ili uone jinsi ulivyoanza kukimbia kivuli chako mwenyewe...
 

Hapo ndipo kunapokuja tofauti za ki-definition

Wakati wewe unachulia "Africa as a continent," wengine wanaangalia viashiria vingi zaidi katika maelezo yao

Misri ndio ya kwanza kupata uhuru kwa nchi zilizopo geographically Afrika, lakini miaka michache mbeleni ikaungana na kina Jordan kuanzisha Arab League

Libya na Sudan zimejiunga na Arab League kabla ya Ghana kupata uhuru

Morocco na Tunisia zilikuwa kwenye mchakato wa kujiunga wakati Ghana inapigania uhuru wake

Kiufupi ni kwamba jiografia pekee haimaanishi kikubwa sana katika identification ya nchi

Ndio maana kuna wanaoamua kuzitaja nchi hizo kama Mashariki ya Kati (geographically), au nchi za Kiarabu


Ili kuyasema maneno ya Mzungu ulietuletea clip yake bila ya kuwa offensive, siku hizi ndio kuna wanaotumia Kusini mwa Jangwa la Sahara

Besides, hatuna uhakika ulichoelezwa na mwalimu wako. Si hasha uliambiwa na caveats kibao, wewe ukanasa "ya kwanza Afrika" tu
 

Nitajie jina la kitabu cha real estate kilichoandikwa na mtanzania unachokitumia.

Unakataa mifano ya Ulaya wakati hata jina lako umelitoa Ulaya!

Acha kuishi Dar es Salaam, anza kuishi kwenye universe. Wachina wangekuwa mifano na mawazo yao inaishia China wasingeweza kuja kuwekeza Tanzania. Kama unashindwa kuwekeza Shinyanga, utaweza kwenda kuwekeza hata Malawi wewe?
 
Dont judge a book by its cover, kumbe ulibase kwenye heading? Basi soma na content!

Kwahiyo na heading yako nayo unaanza kuikana!

Naona umeandika post kuwa apartments zinahitajika mikoa yote.

Dogo, you are all over the place!!!
 
Hapo ndipo kunapokuja tofauti za ki-definition

Vyovyote vile mtu atakavyoamua kuchukulia, ukweli ni kwamba Ghana haikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata uhuru kutoka kwa utawala kikoloni. Huo ndiyo ukweli.


Kama tunazungumzia tu uhuru kutoka utawala wa kikoloni basi hata Misri siyo ya kwanza barani Afrika. Ya kwanza ni Afrika Kusini mwaka 1910.


Inaweza isimaanishe, lakini ukweli ni ukweli tu. Kusema Ghana ni ya kwanza barani Afrika si sahihi.

Ndio maana kuna wanaoamua kuzitaja nchi hizo kama Mashariki ya Kati (geographically), au nchi za Kiarabu

Mashariki ya Kati geographically? Hapana, geographically zipo Afrika. Labda unambie culturally na kwenye aspects zingine.

Ili kuyasema maneno ya Mzungu ulietuletea clip yake bila ya kuwa offensive, siku hizi ndio kuna wanaotumia Kusini mwa Jangwa la Sahara

Ewaa, hapo sasa naweza kukubali lakini pia lazima caveat ya Afrika Kusini nayo ielezwe.

Besides, hatuna uhakika ulichoelezwa na mwalimu wako. Si hasha uliambiwa na caveats kibao, wewe ukanasa "ya kwanza Afrika" tu

Hapana, sikunasa hicho tu. Nilisikia vyema kabisa na nikarudi nyumbani kuuliza. Nilipouliza ndo nikapewa mavitabu nisome. Niliposoma ndo nikajua kumbe Ghana siyo nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika.
 
Vyovyote vile mtu atakavyoamua kuchukulia, ukweli ni kwamba Ghana haikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata uhuru kutoka kwa utawala kikoloni. Huo ndiyo ukweli.

Apparently sio vyovyote vile.

Inategemea na definition utayotumia


Kama tunazungumzia tu uhuru kutoka utawala wa kikoloni basi hata Misri siyo ya kwanza barani Afrika. Ya kwanza ni Afrika Kusini mwaka 1910.

Unahesabu ya mwaka 1910! Na ule uhuru kutoka Uingereza mwaka 1934 unachukuliaje?

Inaweza isimaanishe, lakini ukweli ni ukweli tu. Kusema Ghana ni ya kwanza barani Afrika si sahihi.

Kwa mujibu wako wewe tu, unaetizama mambo kwa a single parameter


Mashariki ya Kati geographically? Hapana, geographically zipo Afrika.

Sasa pale ukisikia Misri ipo Mashariki ya Kati, huwa inakusudiwa kitamaduni au kifizikia, kama si kijiografia?


Ewaa, hapo sasa naweza kukubali lakini pia lazima caveat ya Afrika Kusini nayo ielezwe.

Kwani haielezwi?


Hapana, sikunasa hicho tu. Nilisikia vyema kabisa na nikarudi nyumbani kuuliza. Nilipouliza ndo nikapewa mavitabu nisome. Niliposoma ndo nikajua kumbe Ghana siyo nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika.

Msema pweke hakosi,

It's your word against your teacher's ambae hayupo hapa

Kwa hiyo, utuwie radhi, tukiacha kumeza maneno yako kama yalivyo

Mimi sijaambiwa kuwa Ghana ndio nchi ya kwanza Afrika kupata Uhuru
 
Apparently sio vyovyote vile.
Inategemea na definition utayotumia

Zipo ngapi hizo definition?

Unahesabu ya mwaka 1910!

Siihesabu. Nimeisoma.

Na ule uhuru kutoka Uingereza mwaka 1934 unachukuliaje?

Siuchukulii mimi.

Kwa mujibu wako wewe tu, unaetizama mambo kwa a single parameter

Mimi siyo historia kwa hiyo haiwezi ikawa kwa mujibu wangu mimi. Ni kwa mujibu wa historia.

Sasa pale ukisikia Misri ipo Mashariki ya Kati, huwa inakusudiwa kitamaduni au kifizikia, kama si kijiografia?

Unajua mwenyewe inachokusudiwa. We si ndo umesema ipo huko. Nijuavyo mimi Misri ni nchi iliyopo barani Afrika na nilikuwa nazungumzia uhuru wa barani Afrika na siyo mashariki ya kati.

Kwani haielezwi?

Ikielezwa hivyo basi Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru barani Afrika.

Msema pweke hakosi,

Hakosi nini?

It's your word against your teacher's ambae hayupo hapa

Umejuaje hayupo hapa?

Kwa hiyo, utuwie radhi, tukiacha kumeza maneno yako kama yalivyo

Siwawii radhi. Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika.

Mimi sijaambiwa kuwa Ghana ndio nchi ya kwanza Afrika kupata Uhuru

Ya kwanza ni ipi?
 
Unaonekana umekremu cost benefit analysis na hzo models nyingine ulizotajataja hapo juu.....ungeelewa ungeandika assumptions zako na utofautishe cost of living ya mikoa tofauti kama unavyoona ww kwamba dar ndio kunahitaji apartments peke yake..!!!!

Never make a direct translation of the bookish knowledge to actual life without taking into account the proven assumptions

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…