Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Zaidi ya mojaZipo ngapi hizo definition?
Tukisema unaposoma unajipotosha, unasema si kweliSiihesabu. Nimeisoma.
Nchi itakuwaje huru mwaka 1910 ikisha ikapata tena uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1931?
Soma uelewe.
Huwezi kuchukulia kwa sababu ukifanya hivyo itakuwa sawa na kujipinga mwenyewe, kuhusu uhuru wa mwaka 1910. Hivyo sishangaiSiuchukulii mimi.
Historia ipi? Iliyoandikwa na nani? Kwa mtazamo wa vipengele gani?Mimi siyo historia kwa hiyo haiwezi ikawa kwa mujibu wangu mimi. Ni kwa mujibu wa historia.
Unajua mwenyewe inachokusudiwa. We si ndo umesema ipo huko. Nijuavyo mimi Misri ni nchi iliyopo barani Afrika na nilikuwa nazungumzia uhuru wa barani Afrika na siyo mashariki ya kati.
Kila kukicha vyombo vya habari vinairejelea Misri kama nchi ya Mashariki ya Kati
Nenda BBC, nenda CNN, hata huyo Fox nae habari ndio hiyo hiyo
Hata Wikipedia nayo utaikuta
Hivyo basi, ujuavyo wewe haimaanishi kuwa ni sahihi
Ndio ukaamabiwa kuna caveats nyingi sana nyuma ya kuambiwa Ghana ni nchi ya kwanza barani Afrika kupata UhuruIkielezwa hivyo basi Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru barani Afrika.
Huo msemo wa Kiswahili umekupita upande?Hakosi nini?
Na nipo hapa nafikiri nasema na stadi wa Kiswahili
Pata darsa kama ifuatavyo:
Mtu anaesimama akasema akiwa peke yake bila ya kuwepo kwa upande wa pili anaousema (msema pweke), ataonekana yupo sahihi tu (hakosi), kwa kuwa hakuna uwezekano wa kupata ya upande wa pili
Hilo linakusibu wewe na mwalimu wako.
Unasema mwalimu kakwambia Ghana ndio nchi ya kwanza, wakati hakuna uthibitisho wowowte zaidi ya kauli yako tu.
Tuna uhakika gani kuwa hakukupa na caveats kibao.
Tuna uhakika gani kuwa sio kosa lako la ufahamu tu?
Umejuaje hayupo hapa?
Kama yupo angejitokeza kuja kusema hapa alichokwambia.
Asipojitokeza, maana yake hayupo
Ni your word pekee, yake haipo
Lete ushahidi kuwa hivyo ndivyo alivyokwambia mwalimu wako.Siwawii radhi. Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika.
Kama huna, hata usipotuwia radhi, sisi hatuwezi kumeza kuwa kweli hayo yalisemwa na mwalimu wako
Hofu zaidi ipo kwenye uelewa wako
Misri kama utaangalia parameter moja tu ya kijiografia.Ya kwanza ni ipi?
Hata hiyo ina hati hati maana Misri kijiografia imekubalika kuwa ipo Mashariki ya Kati pia.
Ahsante