YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Zipo ngapi hizo definition?
Zaidi ya moja

Siihesabu. Nimeisoma.
Tukisema unaposoma unajipotosha, unasema si kweli

Nchi itakuwaje huru mwaka 1910 ikisha ikapata tena uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1931?

Soma uelewe.

Siuchukulii mimi.
Huwezi kuchukulia kwa sababu ukifanya hivyo itakuwa sawa na kujipinga mwenyewe, kuhusu uhuru wa mwaka 1910. Hivyo sishangai

Mimi siyo historia kwa hiyo haiwezi ikawa kwa mujibu wangu mimi. Ni kwa mujibu wa historia.
Historia ipi? Iliyoandikwa na nani? Kwa mtazamo wa vipengele gani?

Unajua mwenyewe inachokusudiwa. We si ndo umesema ipo huko. Nijuavyo mimi Misri ni nchi iliyopo barani Afrika na nilikuwa nazungumzia uhuru wa barani Afrika na siyo mashariki ya kati.

Kila kukicha vyombo vya habari vinairejelea Misri kama nchi ya Mashariki ya Kati

Nenda BBC, nenda CNN, hata huyo Fox nae habari ndio hiyo hiyo

Hata Wikipedia nayo utaikuta

Hivyo basi, ujuavyo wewe haimaanishi kuwa ni sahihi

Ikielezwa hivyo basi Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru barani Afrika.
Ndio ukaamabiwa kuna caveats nyingi sana nyuma ya kuambiwa Ghana ni nchi ya kwanza barani Afrika kupata Uhuru

Hakosi nini?
Huo msemo wa Kiswahili umekupita upande?

Na nipo hapa nafikiri nasema na stadi wa Kiswahili

Pata darsa kama ifuatavyo:

Mtu anaesimama akasema akiwa peke yake bila ya kuwepo kwa upande wa pili anaousema (msema pweke), ataonekana yupo sahihi tu (hakosi), kwa kuwa hakuna uwezekano wa kupata ya upande wa pili

Hilo linakusibu wewe na mwalimu wako.

Unasema mwalimu kakwambia Ghana ndio nchi ya kwanza, wakati hakuna uthibitisho wowowte zaidi ya kauli yako tu.

Tuna uhakika gani kuwa hakukupa na caveats kibao.

Tuna uhakika gani kuwa sio kosa lako la ufahamu tu?

Umejuaje hayupo hapa?

Kama yupo angejitokeza kuja kusema hapa alichokwambia.

Asipojitokeza, maana yake hayupo

Ni your word pekee, yake haipo

Siwawii radhi. Ghana si nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika.
Lete ushahidi kuwa hivyo ndivyo alivyokwambia mwalimu wako.

Kama huna, hata usipotuwia radhi, sisi hatuwezi kumeza kuwa kweli hayo yalisemwa na mwalimu wako

Hofu zaidi ipo kwenye uelewa wako

Ya kwanza ni ipi?
Misri kama utaangalia parameter moja tu ya kijiografia.

Hata hiyo ina hati hati maana Misri kijiografia imekubalika kuwa ipo Mashariki ya Kati pia.

Ahsante
 
Huhitaji kukashifu ndio hoja yako iwe na mashiko, kwani lazima uchangie?

Sio lazima nichangie, na sio lazima nisichangie.Huwezi kunipangia thread ya kuchangia.

Na unapoona kashfa wewe, wengine wanaona a rousing critique on vacuous volubility and a vagabond verbosity.

Unatafuta U-superstar JF?

U super star JF wa nini hanijui mtu simjui mtu, wewe mzima wewe?

Kubali ya kwamba kuna profession za watu na wewe huwezi kuogelea katika kila profession, maana kwa mtiririko wa argument yako tu unonesha uimudu taaluma ya real estate

I doubt you have the mental capacity to fathom "mtiririko wa argument yako".

Wewe unayeshindwa kuandika kiswahili tu lugha yako ndiye unayetaka kuongelea kuogelea professions?

Stay in the kids side of the pool, you can't scale the Mariana yet.
 
Kwahiyo na heading yako nayo unaanza kuikana!

Naona umeandika post kuwa apartments zinahitajika mikoa yote.

Dogo, you are all over the place!!!

A rootless pitter-patter that Sankara used to associate with "fence sitting chameleons".

This guy does not know what he is talking about, yet he want to advise others.
 
Huu uzi kuna ligi mbili zote nzuri ngoja nifyonze ilm tu.

Ligi moja Kiranga kashaimaliza, imebakia moja tu ambayo hata robo fainali bado haijafika! Ingawa uwiano wake umekaa kama Tsvangarai na Mugabe...

Najaribu kuipa hii threadjina la lugha ya kilatini - bileagueate (bi-league-ate) thread. Hahahaahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Nchi itakuwaje huru mwaka 1910 ikisha ikapata tena uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1931?

Historia ipi? Iliyoandikwa na nani? Kwa mtazamo wa vipengele gani?

Tuanze na CIA world factbook.

[TD="align: right"][/TD]

[TD="colspan: 2"]
31 May 1910 (Union of South Africa formed from four British colonies: Cape Colony, Natal, Transvaal, and Orange Free State); 31 May 1961 (republic declared); 27 April 1994 (majority rule)
Link

Historyworld.net

The British parliament passes the South Africa Act in September 1909. The Union of South Africa becomes an independent dominion within the British empire in May 1910. Pretoria becomes the administrative capital of the new nation, while the legislative capital (as the seat of parliament) is Cape Town.
On independence, in 1910, there are about 1.3 million white citizens of South Africa. The majority of these are Afrikaners of Dutch descent; the minority is British in origin.
Link

[/TD]

Licha ya hivyo, kilicho kwenye contention hapa ni claim ya Ghana kuwa nchi ya kwanza Afrika kupata uhuru, jambo ambalo si kweli.
 
Nitajie jina la kitabu cha real estate kilichoandikwa na mtanzania unachokitumia.

Unakataa mifano ya Ulaya wakati hata jina lako umelitoa Ulaya!

Acha kuishi Dar es Salaam, anza kuishi kwenye universe. Wachina wangekuwa mifano na mawazo yao inaishia China wasingeweza kuja kuwekeza Tanzania. Kama unashindwa kuwekeza Shinyanga, utaweza kwenda kuwekeza hata Malawi wewe?

Maskini ZeMarcopolo, you are too Euro-Centric! Kumbe hata hujui kama kuna vitabu vya real estate vimetungwa na Watanzania? Kwa kukusaidia tu tembelea Ardhi University na u-google kila mtu kaandika kitabu gani, maana nikianza kukutajia hapa the list is endless!

This shows how myopic you are! Unaomba mifano ukipewa mifano kwako ndio ina-outweigh the whole topic, and then you completely sweep the subject matter under the carpet! Ninaweza hata nikaongelea wilaya moja tu ya Tunduma, nikaangalia real estate opportunities zikoje! Findings zangu zikinipa jibu kwamba Tunduma panafaa au hapafai kitu fulani, kwa akili yako utaniambia mbona Donald Trump kafanya hivi Manhattan na kafanikiwa! Anyway si kosa lako!

Haimanishi ati kwa sababu dunia ni kijiji but ndio tucopy na kupaste yu, marketability ya products husika kutegemea na location bila kusahau demographic trend ni muhimu! Jaribu kutumia akili za darasani then think big and critically
 
Kwahiyo na heading yako nayo unaanza kuikana!

Naona umeandika post kuwa apartments zinahitajika mikoa yote.

Dogo, you are all over the place!!!

Dogo uko naye kwa suruali yako though sina uhakika kama yuko dressed au undressed! Heading ya thread yangu ni hii....[h=2]YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa....[/h]Labda tuanzie hapa, wewe ulielewaje Mr. Great Thinker?
 
Dogo uko naye kwa suruali yako though sina uhakika kama yuko dressed au undressed! Heading ya thread yangu ni hii....YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa....

Labda tuanzie hapa, wewe ulielewaje Mr. Great Thinker?

Taja mkoa mmoja ambao apartments hazihitajiki.
 
Maskini ZeMarcopolo, you are too Euro-Centric! Kumbe hata hujui kama kuna vitabu vya real estate vimetungwa na Watanzania? Kwa kukusaidia tu tembelea Ardhi University na u-google kila mtu kaandika kitabu gani, maana nikianza kukutajia hapa the list is endless!

This shows how myopic you are! Unaomba mifano ukipewa mifano kwako ndio ina-outweigh the whole topic, and then you completely sweep the subject matter under the carpet! Ninaweza hata nikaongelea wilaya moja tu ya Tunduma, nikaangalia real estate opportunities zikoje! Findings zangu zikinipa jibu kwamba Tunduma panafaa au hapafai kitu fulani, kwa akili yako utaniambia mbona Donald Trump kafanya hivi Manhattan na kafanikiwa! Anyway si kosa lako!

Haimanishi ati kwa sababu dunia ni kijiji but ndio tucopy na kupaste yu, marketability ya products husika kutegemea na location bila kusahau demographic trend ni muhimu! Jaribu kutumia akili za darasani then think big and critically

Nakwambia taja kitabu unachokitumia kilichoandikwa na mtanzani unasema nitumie google!!! Sasa google itaniwezesha vipi kujua kitabu unachokitumia wewe?

Mara hoooo the list is long. Damn, nimekwambia taja kimoja - how is the list long wakati umeulizwa kitabu kimoja.

Kwa jinsi mawazo yako yalivyo sitashangaa kuona kitabu chako unachotumia kinaitwa - UJAMAA NA NYUMBA.

Nyinyi self appointed experts ndio mnaoziibia halmashauri kwa porojo za terminologies with empty content.
 
Unaonekana umekremu cost benefit analysis na hzo models nyingine ulizotajataja hapo juu.....ungeelewa ungeandika assumptions zako na utofautishe cost of living ya mikoa tofauti kama unavyoona ww kwamba dar ndio kunahitaji apartments peke yake..!!!!

Never make a direct translation of the bookish knowledge to actual life without taking into account the proven assumptions

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Nashukuru mkuu! Kusema tusijenge kila mkoa haimanishi tujenge Dar es Salaam tu, mbona apartments business zinalipa Arusha na hata Mwanza to some extent! Naona mnarukia hoja na ku-run kwenye conclusion! Nimehusika sana katika real estate projects, including management, marketing and selling of the same! Nilichokiandika ni kitu kutoka field! Labda utupe actual life ipi unayoiongelea wewe basing on what I presented!
Akiandika Mzungu, mtakimbilia kuicopy article na kutuletea hapa jamvini, hata kama hana facts za kutosha, lakini akiandika Mbongo kuwe na eyeblows, wakati wewe hujafanya huo utafiti! Sikutofautishi na ZeMarcopolo na Kiranga
 
Hivyo apartment tu mnaanza kupiga kelele, akija Shehe wa kiarabu mwenye hela zake za kuchezea anataka kujenga skyscraper lenye umbo la mnazi Mbeya ili aingie tu kwenye vitabu vya dunia kama mtu mwenye pesa na kuamua kuzichezea anavyotaka utafanya nini?

Is this a type of INVESTOR was referring to? Kwa nini usi-admit kwamba ulidandia tren kwa mbele? Mimi naongelea investors, na wewe unaongelea DREAMERS to be listed in the Guinness Book of Records? DUDE, you are out of topic! Unaonesha wa misifa sana wewe? I can sense it from the flow of your inputs! What a total ----, Insolent talk!!!!!! Still you call yourself Mr. Great Thinker? Why dont you deregister yourself and become a normal JF visitor? I am soory but all of your arguments signify how you suffer from mental deydration, immaturity epoch!
 
Maskini ZeMarcopolo, you are too Euro-Centric! Kumbe hata hujui kama kuna vitabu vya real estate vimetungwa na Watanzania? Kwa kukusaidia tu tembelea Ardhi University na u-google kila mtu kaandika kitabu gani, maana nikianza kukutajia hapa the list is endless!

Ardhi University hii hii iliyojaa vumbi utasema uko gengeni?

Ardhi University hii hii ambayo haina hata kijidaftari kinachoweza kukuonyesha thesis gani, iliyoandikwa mwaka gani inapatikana wapi ndani ya "storage room" yao?

Ardhi University hiyo hiyo ndio imetunga vitabu "endless" kuhusu Real Estate?

Sidhani

Lakini prove me wrong kwa kuniandikia walau 7 tu.

Naamini idadi hiyo haitakuchosha sana kuandika
 
Is this a type of INVESTOR was referring to? Kwa nini usi-admit kwamba ulidandia tren kwa mbele? Mimi naongelea investors, na wewe unaongelea DREAMERS to be listed in the Guinness Book of Records? DUDE, you are out of topic! Unaonesha wa misifa sana wewe? I can sense it from the flow of your inputs! What a total ----, Insolent talk!!!!!! Still you call yourself Mr. Great Thinker? Why dont you deregister yourself and become a normal JF visitor? I am soory but all of your arguments signify how you suffer from mental deydration, immaturity epoch!

Yaani wewe unafikiri investment maana yake ni kuuuza vitumbua na kulipwa pesa. Hujui kuwa kuandikwa kwenye guiness book of records ni investment?

Unajua mtu aliyeandikwa kwenye guiness book anaweza kuweka dau la sh. ngapi ili atoe speech ya dakika 40 tu? Unajua mtu aliyendikwa kwenye guiness book kumtumia kwenye branding ya product marketing anaweza kupata dau la sh. ngapi?

Yaani wewe self appointed expert unadhani kuinvest au kuown kitu mpaka kiwe kinashikika kwa mikono au kuonekana kwa macho.

Unajua yule daktari wa kwanza kufika katika tukio la ajali ya Princess Diana, by just kuwa daktari wa kwanza kufika pale maisha yake yamebadilika kiasi gani?

Hivi hujui kuwa mtu anaweza kusema sentensi moja tu ikamfanya awe milionea?

Yaani kama unaona kuandikwa kwenye Guiness Book of records is a valueless effort basi kuna uwezekano mkubwa kwamba itakuwa vigumu kuelewa yale unayoambiwa na wachangiaji humu. Yaani wewe peke yako unang'ang'ania kuwa watu hawakuelewi ila wewe ndio uko sahihi!

By the way, nilikuomba uweke synopsis ya Kilanga kwenye thread post ili kuwasaidia wasomaji. Tafadhali fanya hivyo...
 
Hujaonyesha bado imesemwa wapi kuwa Ghana ni nchi ya kwanza kupata Uhuru barani Afrika bila ya kuwekewa caveats mbali mbali.

Imesemwa hapo -
After years of suffering under British colonial rule, Ghana, known as the Gold Coast, became the first African State to achieve independence in 1957.
Link

Na hapo -
On March 6, 1957, 56 years ago, Ghana became the first African nation to gain independence from a colonial power (the United Kingdom).
Link

Hata hapo -
Kwame Nkrumah was released from prison on the 12th February 1957, where he was serving a three year sentence for civil-disobedience and was asked to form a government by British Governor Charles-Arden-Clarke. Ghana was thus the first African country to gain independence.
Link

Kwa sababu ya upotoshaji kama huo ndo unapata watu kama akina Sitinga Kachipande ambao wana-debunk hayo madai.

Ghana is often given the dubious distinction of being the first former colony in Sub-Saharan Africa to gain independence. Bypassing North Africa, some editors, journalists and history books go as far as claiming that Ghana was the first country on the entire continent to gain independence.

However, these distinctions are not without their controversies. An important truth needs to be told – Ghana was not the first African country to gain independence in neither sub-Saharan Africa nor the entire continent.
Soma zaidi kwa kubofya hapa.

Kuhusu Afrika Kusini, hiyo iko complicated. Wapo wanaoona ilipata uhuru 1910, wapo wanaoona ilipata uhuru 1931, 1934, na wengine 1994. Take your pick, that's okay with me.

Lakini Ghana? Naaah, siyo ya kwanza Afrika.
 
Yaani wewe unafikiri investment maana yake ni kuuuza vitumbua na kulipwa pesa. Hujui kuwa kuandikwa kwenye guiness book of records ni investment?

Unajua mtu aliyeandikwa kwenye guiness book anaweza kuweka dau la sh. ngapi ili atoe speech ya dakika 40 tu? Unajua mtu aliyendikwa kwenye guiness book kumtumia kwenye branding ya product marketing anaweza kupata dau la sh. ngapi?

Yaani wewe self appointed expert unadhani kuinvest au kuown kitu mpaka kiwe kinashikika kwa mikono au kuonekana kwa macho.

Unajua yule daktari wa kwanza kufika katika tukio la ajali ya Princess Diana, by just kuwa daktari wa kwanza kufika pale maisha yake yamebadilika kiasi gani?

Hivi hujui kuwa mtu anaweza kusema sentensi moja tu ikamfanya awe milionea?

Yaani kama unaona kuandikwa kwenye Guiness Book of records is a valueless effort basi kuna uwezekano mkubwa kwamba itakuwa vigumu kuelewa yale unayoambiwa na wachangiaji humu. Yaani wewe peke yako unang'ang'ania kuwa watu hawakuelewi ila wewe ndio uko sahihi!

By the way, nilikuomba uweke synopsis ya Kilanga kwenye thread post ili kuwasaidia wasomaji. Tafadhali fanya hivyo...

Another ----!!!
 
Imesemwa hapo - Link

Kuhusu Afrika Kusini, hiyo iko complicated. Wapo wanaoona ilipata uhuru 1910, wapo wanaoona ilipata uhuru 1931, 1934, na wengine 1994. Take your pick, that's okay with me.

Lakini Ghana? Naaah, siyo ya kwanza Afrika.

Kama tuna pick kuwa South Africa imepata Uhuru mwaka 1994, basi Ghana unaweza kusema ni ya kwanza Afrika iwapo nchi za Afrika ya Kaskazini utazi-define kuwa ni za Kiarabu, sio za Kiafrika (Ethnicity)

Kwa hiyo tunarudi kule kule, inategemea na definition unayotumia
 
Haya, tuachane na hiyo ya mwaka 1994 maana haikuwa uhuru kutoka kwa mkoloni, by definition.

Anyway, mimi ninachopinga ni upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusu hiyo historia ya uhuru barani Afrika. Si umeona mwenyewe kwenye hizo links hapo kuna wanaodai kabisa kuwa Ghana ndiyo ya kwanza barani Afrika bila kuweka caveats wala nini.

Sasa huo kama sio upotoshaji ni nini? Ujinga (kwa maana ya kwamba hawaijui vizuri historia au?)

Hata wewe jaribu tu kuuliza watu randomly - marafiki, ndugu, colleagues, n.k., kuhusu ni nchi ipi ya kwanza Afrika kupata uhuru uone majibu utakayopata.

Kuna thread moja kule kwenye jukwaa la kimataifa, ni ya mwaka 2011, nilibishana na watu kibao kuhusu suala hili hili. Kuna walioapia kabisa kuwa Ghana ndiyo ya kwanza barani Afrika. Ningekuwa na muda ningeenda kuitafuta nikupe link ila bahati mbaya sina.
 
Hiyo thread usemayo ni hii hapa

Utaona kuwa hoja za watu zilijikita kusema kwamba nchi za North Afrika ni nchi za Kiarabu na sio za Kiafrika per se, hivyo wanakataa kuzihesabu

Kwa mintarafu hiyo basi, hao wanaosema kuwa Ghana is the first African country (Not the first country in Africa) to gain independence wanaweza kusema wao wanaangalia ethnicity na sio geography yake

All in all, aliyesema History is written by the victors hakukosea

Kila mmoja anavutia upande wake
 
Is this a type of INVESTOR was referring to? Kwa nini usi-admit kwamba ulidandia tren kwa mbele? Mimi naongelea investors, na wewe unaongelea DREAMERS to be listed in the Guinness Book of Records? DUDE, you are out of topic! Unaonesha wa misifa sana wewe? I can sense it from the flow of your inputs! What a total ----, Insolent talk!!!!!! Still you call yourself Mr. Great Thinker? Why dont you deregister yourself and become a normal JF visitor? I am soory but all of your arguments signify how you suffer from mental deydration, immaturity epoch!

You fail to understand that I took your argument to an extreme level to show you how absurd your argument is.

And if you think that all investment does not involve a certain level of dreaming, you are further exposing your ignorance.

As far as calling myself a "Great Thinker", you are exposing your ignorance on my outlook, I morning-peed on that name a couple of times (and not in the least to mark territory), complete with elaborate Paul Johnson quotes.

Great thinker ni tusi kwangu, mtu akiniita "Great thinker" namwambia "mwenyewe"!

Grab a book, get an education, learn to spell at least before dishing out advise on investment.

You seem to not be aware that "deydration" is not a word.
 
Back
Top Bottom