YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

By the way,

Unakumbuka kuna mchangiaji mmoja alikuomba list ya vitabu saba vya real estate vilivyoandikwa Ardhi University baada ya wewe kusema kwamba viko endless number of books toka Ardhi University.

Jifarague halafu uilete hiyo list.
 
Kumbe tatizo lako ni NJAA!!!

Nyinyi ndio mnaofunga ndoa kwa ajili ya michango ya harusi!!!

Mawazo yamekaa ki- Kisarawe Kisarawe, hata Pugu hayafit!

Eti siku hizi mambo China! Mambo gani iliyokuwa China? We ukienda Kariakoo ukakuta wachina unaona China ndio kila kitu. What is there in China that Europe is missing apart from cheap labor?

Penye RED, Nina njaa kwelikweli mkuu! Work is a necessary evil to be avoided!!!! Don't you know that the only place success comes before work is in the dictionary? It is the working man who is the happy man. It is the idle man who is the miserable man.

Penye BLUE, vipi hoja yetu ya apartments, wapi hukunielewa?

Penye RED, Sasa unafikaje Kisarawe kabla ya PUGU mkuu, au Jiografia nayo ni ishu?

Penye BLUE, Huu uzi unaonaje huufungulie thread ili twende sawa, maana I can earlier read you mental box being inconsequential than consequential on this!
 
Wewe mbumbumbu unachokisema hapo ndio inaitwa demand and supply. Tatizo lenu mnajifunza nadharia bila kuelewa maana yake.

Sasa jisome hapa chini unavyobisha kitu ambacho umetoka kukisema. Dogo tatizo lako una genes za ubishi mno mpaka unaongea na kujibishia mwenyewe.

Where did I ignore the the forces of DD and SS? Naona labda tatizo hapa ni kikatoliki ndio kinakutesa maskini! What I said, there is more of DD and SS when analyzing factors affecting DD and SS of a real estate property as opposed to factors affecting DD and SS of a personal property, PERIOD!
 
Sasa unafikaje Kisarawe kabla ya PUGU mkuu, au Jiografia nayo ni ishu?

Unaona jinsi upeo wako wa kufikiria ulivyokuwa limited. Wewe unafikiri njia ni moja ya kufika Kisarawe, yaani mtu atoke Banana, Gongo la Mboto, Pugu, Minaki, Kisarawe. Hujui kwamba kuna other options za kufika Kisarawe.

Dogo una matatizo sana. Na kama mtu kama wewe unadiriki kujiita expert na watu wanakuja kufuata huduma yako, basi tutaendelea kuwa masikini kwa sababu hakuna utaalam wowote kichwani mwako.

If this is what you call your profession na upeo wako unaishia hapa, ni HASARA KUBWA...
HUJUI kitu...
 
By the way,

Unakumbuka kuna mchangiaji mmoja alikuomba list ya vitabu saba vya real estate vilivyoandikwa Ardhi University baada ya wewe kusema kwamba viko endless number of books toka Ardhi University.

Jifarague halafu uilete hiyo list.

Nimekupa jibu mara mbili ya hili swali, go to my previous posts
 
Unaona jinsi upeo wako wa kufikiria ulivyokuwa limited. Wewe unafikiri njia ni moja ya kufika Kisarawe, yaani mtu atoke Banana, Gongo la Mboto, Pugu, Minaki, Kisarawe. Hujui kwamba kuna other options za kufika Kisarawe.

Dogo una matatizo sana. Na kama mtu kama wewe unadiriki kujiita expert na watu wanakuja kufuata huduma yako, basi tutaendelea kuwa masikini kwa sababu hakuna utaalam wowote kichwani mwako.

If this is what you call your profession na upeo wako unaishia hapa, ni HASARA KUBWA...
HUJUI kitu...

POOR ZeMarcopolo, with weak swords to conquer the empire
 
Where did I ignore the the forces of DD and SS? Naona labda tatizo hapa ni kikatoliki ndio kinakutesa maskini! What I said, there is more of DD and SS when analyzing factors affecting DD and SS of a real estate property as opposed to factors affecting DD and SS of a personal property, PERIOD!

And tha MORE is what for example.

Mdau amezungumzia bei za apartments City Center. Sasa taja hicho MORE than demand and supply ni nini kinachoamua bei iwe kubwa.

Acha porojo, go straight to the point.
 
Hapo ndipo unapokosea.

Unadhani mtu anaponunua nyumba na kuipangisha engo lake ni pesa irudi. unfortunately kwa nyumba hali halisi ni tofauti. Mtu anayetaka biashara ya kuona pesa yake inarudi hawezi kufanya biashara ya kupangisha nyumba na kukusanya kodi za mwezi.

Watu wanaofanya biashara ya nyumba za kupangisha wengi ni watu wanaotaka regular source of income ambayo haina head ache. At the same thamani ya nyumba mara nyingi hupanda na hivyo kumfanya mwenye nyumba kuwa na faida kwa kuimiliki tu ile nyumba.

Mara nyingi utasikia mzee anasema "hii nyumba italipia ada za watoto". The same applies to appartments, mtu akinunua appartmen kwa sh. mil 50 akaipangisha kwa sh. laki moja na nusu haimaanishi kwamba anataka baadae ile mil. 50 yake irudi noooooo. Anachotaka yeye ni kuihifadhi ile mil. 50 katika mazingira salama zaidi kuliko kuiweka bank in terms of cash with limited interest.

Ardhi siku hizi hata mikoani bei ghali. tembelea jukwaa la matangazo madogo utaona watu wanatangaza viwanja Dodoma na kwingineko kwa bei gani.

Ni forces za demand and supply, wacha investors wajenge halafu wanunuzi waonyeshe kama nyumba hizo zinahitajika au hazihitajiki. General knowledge ni kwamba katika mji wowote ule hakuna aina nyumba isiyohitajika.
Uko sawa kabisa. Yaani ni long time investment kwa ajili ya baadaye kabisa na ikiwezekana wajukuu
 
Jibu lake ni kutaja vitabu sio porojo.

Wewe umeongea porojo wakati umeulizwa list ya vitabu.

Hizo ni dalili za UTAPELI.

umeishiwa hoja unaanza kutafuta support? Tujadili mimi na wewe? Umeishiwa unaanza kudandia posts za wengine! Tuendelee kuongelea apartments, mimi udaku siuwezi!
 
Wewe kweli mgonjwa.

Yaani mara hii umesahau kuwa nilikuuliza jina la kitabu then later ndio akatokea mdau mwingine aliyetaka list ya vitabu saba.

Huna uwezo wa kukumbuka vitu ulivyosoma leo, ndio maana hata ulivyofundishwa shule umeshasahau.
 
Vipi nilivyofundishwa nimevisahau na wewe unavikumbuka? Funguka basi!
 
Acha kuruka ruka jibu maswali ya msingi.

Umesema bei ya pango city center Dar inakuwa determined by MORE that just forces of demand and supply. Haya tutajie hicho MORE ni nini?

Acha porojo jibu swali.
 
Mdau aliuliza na nikampa jibu, wewe jibu ulilompa ni simply forces za DD na SS kwa kuamini ati kwa sababu kuna shida ya nyumba Kigoma but ukijenga apartment zinalipa kama ambavyo umeendelea kusisitiza, na nikakwambia DD na SS katika real estate investment inahitaji critical analysis, it is not just forces of Demand and Supply! Mdau alitegemea umpe maelezo! Nimeeleza hapo juu kwamba tofautisha personal na real properties!
 
Kumbe wewe ni IDIOT.

Unasema kuna more factors than demand and supply, sasa taja hizo factors nyingine ni zipi?

Acha UHUNI dogo. Wewe si unasema hii ndio field yako. Kama kazi unayofanya kila siku huiwezi kiasi hichi asubuhi ukiamka unaenda kazini kufanya nini?

Jibu hilo kwanza halafu nikuelezee jinsi ulivyo empty kutoka kwenye mfano wako wa TANESCO. Ningekufafanulia now, ila nimegundua huna uwezo wa kudigest mambo mengi kwa mpigo kwa hiyo nitakuacha njia ya panda.

Jibu kwanza kuhusu factors zilizoamua bei ya apartments city center Dar es Salaam kuwa kubwa other than forces of demand and supply, then nitauchambua mfano wako wa TANESCO.
 
Real Estate Parcels are Unique and Finite:
You cannot fill a real estate supply shortage by manufacturing more identical units. Each piece is different and there is a finite supply. It's not a manufactured commodity. Though you might be able to create more condos in a give space, the space itself is unique and cannot grow to accomodate a short supply.

Real Estate Cannot be Moved to Fill Shortages:
If there is a shortage of land for homes in a given area, you cannot move in more land to alleviate the shortage. Real estate is where it sits. For this reason, it will always be a local commodity influenced by local conditions.

Over-supply Means Lower Prices:
Because of the first two items above, you can usually expect there to be a fall in prices when there is an over-supply of homes or land in a given area. You cannot move the overage to another area to keep prices stable.

Under-supply Means Higher Prices:
If there isn't enough land or homes in a given area, then prices will almost always rise. Even if there is the ability to construct more homes, the time delay cannot fill the demand and prices will rise.

Always Remember that Real Estate is a Local Business:
We all read about trends in interest rates, national home price trends, new housing starts and many more economic indicators that influence the real estate markets. It will serve the real estate professional well to keep up with this information, but to always keep in mind that this is a local business. There can be many forces influencing your local market that will have little or no impact in other areas, and vice versa.

Supply and demand in real estate isn't as easy to balance as it is in manufactured commodities. Making more takes time, and there may not be room to make that happen in any given area. You can't move it to where the buyers are.
As a real estate agent or broker, pay careful attention to the factors that influence your local market. If you're in a market that has industry and a great many relocations for jobs, watch your local businesses and industries carefully for up or down sizing. If your market is resort, vacation or second homes, factors that can have great impact can include the local weather trends, aging of the population, general stock market and investment health, etc. Things that impact discretionary income have more of an influence on this type of market.

In short, keep up with the big picture, but regionalize your primary focus. Supply and demand in real estate will always be a local issue.
 
Wewe kweli SIFURI.

Yaani umeenda kuchukua maneno na kuyapaste hapa.

Nchi yetu ina janga la wasomi feki kwa kweli.

Swali nililokuuliza ni Dar es Salaam City Center. Sasa angalia u SIFURI wako, hii copy paste yako inaelezea vipi bei ya Dar es Salaam? Umeshindwa hata kusoma article uliyoleta inayokwambia kwamba "demand and supply is a local issue" na kimsingi article yote uliyoileta inazungumzia demand and supply, sasa sijui factor gani mpya uliyoitaja kwa sababu swali ni kutaja hiyo MORE than demand and supply.

Umenifanya nimkumbuke marehemu Regia Mtema aliyesema elimu imeshuka na kwamba siku hizi mwanafunzi wa chuo kikuu uwezo wake ni kama mtoto wa form four!

Umesema kuna factor zaidi ya demand and supply lakini article uliyoleta inaelezea jinsi demand and supply zinavyoweza kubadilika!

Dogo, bado hujajibu swali. Jibu swali nikufafanulie u SIFURI uliopo kwenye mfano wako wa TANESCO.

By the way: Ukitumia kazi ya mtu unawajibika kusema kuwa umeiazima wapi. Hiki ulichofanya hapa kinaitwa plagiarism, hayo uliyoandika umetoa kwenye internet neno kwa neno bila hata kuedit. Kumbuka ulipotoa pia walikuwa wanaelezea demand and supply lakini swali uliloulizwa ni kutaja factor nyingine other than demand and supply.

Article hiyo umeitoa hapa http://realestate.about.com/od/realestatebasics/p/profilesupdmd.htm

Kumbe hujui kitu, ukiulizwa maswali unaenda kwenye internet kuokoteza okoteza vimaneno ili uonekane na wewe umo!!!

MWIZI mkubwa we...
 
Wewe ndio unajifanya kukandia Ulaya na Marekani halafu unaenda kuokoteza majibu kwenye pages za watu wa Ulaya na Marekani.

Fungua kitabu chako cha Ardhi University upate majibu, si umesema vipo endless?

Au website ya wachina, si umesema wachina siku hizi ndio kila kitu.

Mwizi we...
 
Kama hilo swala umeshindwa kujibu usijisikie mnyonge.

Niko tayari kukupa upeo zaidi. Lengo langu ni kukufanya uwe tayari kujifunza na next time ukija hapa usije kama unataka kulecture watu, kuwa tayari kutoa na kupokea taarifa. Usitake kulipwa pesa kwa sababu huna thamani hiyo.

Sasa nipe go ahead nikufafanulie u SIFURI uliokuwa kwenye mfano wako wa TANESCO iwapo umeshindwa kutoa jibu la demand and supply.
 
Back
Top Bottom