Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feminist nao wameshikia bango kwelikweli bila kusikiliza upande wa pili utakuja na evidence zipi..Mitanzania ya hovyo saana.
Nilitegemea na sisi tuanzishe kampeni ya kuirate hiyo hotel. Lakini cha ajabu tumeungana na Wakenya na Wanaijeria kuitukana nchi yetu.
And Kenyans and South Africans are Happy...maana ndiyo competitors wetu wa utalii hasa wakenya.
Sijawahi kuona jamii inayogawanywa kwa mambo madogo kama haya. Sasa mdada kabakwa ndiyo ipelekee nchi yetu kushushuliwa hivi na tunawasaidia wenyewe kujitukana.
Nakuhakikishieni kwa wizi na unyanganyi uliopo Mitaa ya SA na Nairobi lakini kamwe hamtaskia kelele hizi....sio kwasababu hayatokei Ila wenzetu wanaungana wanailimda taswira ya nchi kwanza.
It is simple as it is...wamekubaliana hadi anamwambia mbakaji eti kachukue kondom na mbakaji anatoka taraatibu anaenda kutafuta kondom.Feminist nao wameshikia bango kwelikweli bila kusikiliza upande wa pili utakuja na evidence zipi..
Mtu kaambiwa twende hospital tukafanye vipimo kwanza tudhibitishe madai yako yeye anaanza kurecord na kupiga picha kituo cha Polisi na Polisi how comes kama sio tapeli tu..
Ukute walikubaliana kupigana miti na huyo jamaa then chumbani mambo yakabadilika ndio akaja na hizo story zake hapa.. How comes Hotel ya Kitalii ambayo anytime inaweza pokea wageni eti reception iwe imefungwa usiku? Hapa tupate pia story ya upande wa pili kwanza kabla ya kufanya judgement.
Jipige kifuai mara tatu halafu sema kwa sauti mimi ni mjinga.PGO.
MENTAL SLAVERY EMANCIPATION IS NEEDED.
SISI NI WASENGE .
Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter.
View attachment 2190433
Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake.
Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾
Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia jana na kitu kizuri zaidi she was taking photos and videos za mambo mbalimbali yaliyojiri kuanzia hotelini mpaka polisi.
Kwa kifupi tu....
Ilikuwa inaelekea 23rd birthday yake so alidecide kutoka Nigeria kwenda Vacation Zanzibar for 6 days kwenye hotel moja inaitwa Werere Beach Hotel. Hii ni 4 star hotel.
Mambo yalikuwa poa tu toka amefika lakini Nightmares zilianza siku ya birthday almost saa 8 usiku. Nadhani ilikuwa siku ya pili tokea afike.
Anasema akiwa amelala alikuwa hajavaa chochote. Around hiyo saa 8 alianza kufeel kama mtu anamshika matiti baadae yule mtu akamshikisha penis hapo ndoto tena.
Baada ya kushtuka zikaanza purukushani the guy was trying to rape her. Anasema kilichomsaidia kuna muda alimuomba sana huyo jamaa kwamba kama inawezekana watumie condom sababu yeye ana HIV. Hiki ndo kitu kilimuokoa.
So huyo jamaa[the rapist] akafikiria baadae akaamua kuondoka aende akafate condom.
Hapo ndo dame alipata chance ya kusepa na aliamua kwenda kuomba hifadhi kwenye room moja ambayo ilikuwa na couple ya warusi[she met them before that night].
Before aende kwenye hiyo Room ya hao Russian's Couple anasema reception hakukuwa mtu/watu, simu zao hazikuwa zinafanya kazi so hakuwa na option.
She stayed kwenye hiyo room mpaka asubuhi. Alipokuja kurudi kwenye chumba chake she found her money was stolen [$1100].
Asubuhi hiyo wakaenda polisi akaandikisha maelezo na police wakamshauri kwamba aende hospital akapime.
akaenda hospital akapima ikaoneakana hakukuwa na penetration yoyote.
So kuja kurudi polisi, Ni kama polisi waliimaliza hiyo ishu kwa hoja ya kwamba hakukuwa na penetration so no rape. Hawakujishughulisha hata kuhangaika na nani alitry kufanya kufanya hicho kitendo cha ubakaji na nani aliiba hela za huyo dada, Kwa 4 star hotel haiwezi kukosa CCTv camera.
Yeye mwenyewe huyo dada ameisimulia vizuri sana hiyo story. Nimeweka link ya twitter pale juu.
Werere Beach Hotel Boycott
Kabla huyu dada hajapost kisa chake twitter hiyo Hotel ilikuwa na Rating ya 4.5 Star mtandaoni.
Aiseee kutoka jana Nigerians wenyewe, Kenyans, South Africans n.k. wameiboycott hiyo Hotel and now imebakiwa na 1.1 star only.
View attachment 2190488
View attachment 2190489
Mpaka jana usiku saa mbili kulikuwa na Reviewers 1800+ na rating ilikuwa 1.4 star
View attachment 2190509
This morning mpaka muda huu naandika kuna reviewers zaidi ya 10600 na rating ni 1.1 star.
Unadhani kuna mtalii serious ataenda kwenye hiyo Hotel?
Mmiliki wa Hotel amepata faida gani?
The Worst Part
These people are not only boycotting Werere Beach Hotel ila wanaiboycott zanzibar and Tanzania as a whole sababu response mbovu kutoka kwa police officers.
Lini tutabadilika?
Tuje kwa watanzania
Ukisoma comment za baadhi ya watanzania unapata kichefu chefu.
Unakutana na comments kama hiziii
####
View attachment 2190506
Aiseeee we are so stupid.
Haya mambo hayatusaidii hata kidogo. Hiyo thread huko twitter inatembea kama moto.
Najiuliza kwann yameibuka kipindi hki cha royal tour..Mitanzania ya hovyo saana.
Nilitegemea na sisi tuanzishe kampeni ya kuirate hiyo hotel. Lakini cha ajabu tumeungana na Wakenya na Wanaijeria kuitukana nchi yetu.
And Kenyans and South Africans are Happy...maana ndiyo competitors wetu wa utalii hasa wakenya.
Sijawahi kuona jamii inayogawanywa kwa mambo madogo kama haya. Sasa mdada kabakwa ndiyo ipelekee nchi yetu kushushuliwa hivi na tunawasaidia wenyewe kujitukana.
Nakuhakikishieni kwa wizi na unyanganyi uliopo Mitaa ya SA na Nairobi lakini kamwe hamtaskia kelele hizi....sio kwasababu hayatokei Ila wenzetu wanaungana wanailimda taswira ya nchi kwanza.
Attention amejua atapata attention maana sitaki kuamini kama katumwa na makampuni.Najiuliza kwann yameibuka kipindi hki cha royal tour..
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter.
View attachment 2190433
Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake.
Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾
Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia jana na kitu kizuri zaidi she was taking photos and videos za mambo mbalimbali yaliyojiri kuanzia hotelini mpaka polisi.
Kwa kifupi tu....
Ilikuwa inaelekea 23rd birthday yake so alidecide kutoka Nigeria kwenda Vacation Zanzibar for 6 days kwenye hotel moja inaitwa Werere Beach Hotel. Hii ni 4 star hotel.
Mambo yalikuwa poa tu toka amefika lakini Nightmares zilianza siku ya birthday almost saa 8 usiku. Nadhani ilikuwa siku ya pili tokea afike.
Anasema akiwa amelala alikuwa hajavaa chochote. Around hiyo saa 8 alianza kufeel kama mtu anamshika matiti baadae yule mtu akamshikisha penis hapo ndoto tena.
Baada ya kushtuka zikaanza purukushani the guy was trying to rape her. Anasema kilichomsaidia kuna muda alimuomba sana huyo jamaa kwamba kama inawezekana watumie condom sababu yeye ana HIV. Hiki ndo kitu kilimuokoa.
So huyo jamaa[the rapist] akafikiria baadae akaamua kuondoka aende akafate condom.
Hapo ndo dame alipata chance ya kusepa na aliamua kwenda kuomba hifadhi kwenye room moja ambayo ilikuwa na couple ya warusi[she met them before that night].
Before aende kwenye hiyo Room ya hao Russian's Couple anasema reception hakukuwa mtu/watu, simu zao hazikuwa zinafanya kazi so hakuwa na option.
She stayed kwenye hiyo room mpaka asubuhi. Alipokuja kurudi kwenye chumba chake she found her money was stolen [$1100].
Asubuhi hiyo wakaenda polisi akaandikisha maelezo na police wakamshauri kwamba aende hospital akapime.
akaenda hospital akapima ikaoneakana hakukuwa na penetration yoyote.
So kuja kurudi polisi, Ni kama polisi waliimaliza hiyo ishu kwa hoja ya kwamba hakukuwa na penetration so no rape. Hawakujishughulisha hata kuhangaika na nani alitry kufanya kufanya hicho kitendo cha ubakaji na nani aliiba hela za huyo dada, Kwa 4 star hotel haiwezi kukosa CCTv camera.
Yeye mwenyewe huyo dada ameisimulia vizuri sana hiyo story. Nimeweka link ya twitter pale juu.
Werere Beach Hotel Boycott
Kabla huyu dada hajapost kisa chake twitter hiyo Hotel ilikuwa na Rating ya 4.5 Star mtandaoni.
Aiseee kutoka jana Nigerians wenyewe, Kenyans, South Africans n.k. wameiboycott hiyo Hotel and now imebakiwa na 1.1 star only.
View attachment 2190488
View attachment 2190489
Mpaka jana usiku saa mbili kulikuwa na Reviewers 1800+ na rating ilikuwa 1.4 star
View attachment 2190509
This morning mpaka muda huu naandika kuna reviewers zaidi ya 10600 na rating ni 1.1 star.
Unadhani kuna mtalii serious ataenda kwenye hiyo Hotel?
Mmiliki wa Hotel amepata faida gani?
The Worst Part
These people are not only boycotting Werere Beach Hotel ila wanaiboycott zanzibar and Tanzania as a whole sababu response mbovu kutoka kwa police officers.
Lini tutabadilika?
Tuje kwa watanzania
Ukisoma comment za baadhi ya watanzania unapata kichefu chefu.
Unakutana na comments kama hiziii
####
View attachment 2190506
Aiseeee we are so stupid.
Haya mambo hayatusaidii hata kidogo. Hiyo thread huko twitter inatembea kama moto.
Twende google tukairate hotel 4.5Tukio moja haliwezi kusababisha watalii kuiboycott nchi acha uoga.
Amekaa mwaka mzima amesubir siku kama ya leo!Attention amejua atapata attention maana sitaki kuamini kama katumwa na makampuni.
Uzalendo wa kweli unajengwa kwa kila raia masikini na tajiri kuwa na nafasi ktk national cake. Sio hii hali ipo sasa wenye chama na wenye nchi na wanajinasibu chama kina wenyewe na nchi ni yao... What is next unafikiri kuna nafasi ya kuipenda nchi yako ktk kikundi cha watu? Hapa nilazima pawe na democrasia ya kweli kila raia aone chama cha siasa ni mali yake na nisehem yakutoa mawazo yake kwa uhuru na amani, kiongoz wasiwe miungu watu hapo uzalendo utakuwa kama sisimizi. Unafikiri why Ukraine wanaifia nchi yao unafikiri wangekuwa na utawala usio jali democrasia wangeifia nchi yao. Kiufupi Ukraine wanaipambania democracy yao nakuktaa udikatetaTanzania ni nchi yenye vijana wa hovyo sana. Vijana wamekosa utu, uzalendo, kujituma taifa sijui linakwenda wapi.
Issues imekuwa staged sababu mama anaizindua ile Documentary, vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuaharibiana na kuchafuana. Tanzania haikuathirika sana na upungufu wa watalii kipindi cha Corona, nchi nyingine biashara zao zilidumaa kipindi cha Corona so lazima vigisu kama hizi zifanyike.Sasa kama Mlango alifunga huyo Mtu aliingiaje ndani? Na alivyotoka kufata Condom alitokea Mlangoni au Dirishani au aliyeyuka? Na kuibiwa pesa zake aliibiwa wakati gani?? Yaan Mbakaji alirudi tena na Condoms zake alivyomkosa ndio akamuibia Pesa???
Nungwi nimeenda sana Vacation, Wazungu wanapita hadi vichochoroni na vichupi vyao usiku na sijawahi kusikia mtu kabakwa na Mtalii kutaka kubakwa na Kuibiwa ndani ya Hotel hiyo lazima ingesikika Mji mzima,
Wajipange tena.
Attention amejua atapata attention maana sitaki kuamini kama katumwa na makampuni.