Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

Mitanzania ya hovyo saana.

Nilitegemea na sisi tuanzishe kampeni ya kuirate hiyo hotel. Lakini cha ajabu tumeungana na Wakenya na Wanaijeria kuitukana nchi yetu.

And Kenyans and South Africans are Happy...maana ndiyo competitors wetu wa utalii hasa wakenya.

Sijawahi kuona jamii inayogawanywa kwa mambo madogo kama haya. Sasa mdada kabakwa ndiyo ipelekee nchi yetu kushushuliwa hivi na tunawasaidia wenyewe kujitukana.

Nakuhakikishieni kwa wizi na unyanganyi uliopo Mitaa ya SA na Nairobi lakini kamwe hamtaskia kelele hizi....sio kwasababu hayatokei Ila wenzetu wanaungana wanailimda taswira ya nchi kwanza.
Kwa sasa issue ya Uzalendo imekua ngumu sana mkuu.

Kwa maana kuna watu wanasema chama ni mali yao na nchi ni ya kwao.

Sasa likitokea jambo kama hili usitegemee mtu atakua na morale ya kupambania nchi na chama cha mtu mwingine as simple as that.

Hawa watu wanaoongea haya maneno wasifikiri wanafanya mambo ya maana sana wanaleta Damage kubwa sana katika taifa hili ambao itakuja kutugharimu siku moja.
 
Tukio moja haliwezi kusababisha watalii kuiboycott nchi acha uoga.
Wewe unaongelea hapa JF ila hujaona kilichotokea twitter, hujaona kilichotokea kwenye rating ya hiyo hotel.

Na wala hujui impact yake. Akili kisoda.
 
Twende google tukairate hotel 4.5
Unao watu 30,000 ambao ndio at least wakiipa 5 star itasogea kwenye 3 star overall?

Au unadhani kuirudisha kwenye 4.5 star ni kazi rahisi?
 
Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter.

View attachment 2190433

Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake.

Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾



Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia jana na kitu kizuri zaidi she was taking photos and videos za mambo mbalimbali yaliyojiri kuanzia hotelini mpaka polisi.

Kwa kifupi tu....

Ilikuwa inaelekea 23rd birthday yake so alidecide kutoka Nigeria kwenda Vacation Zanzibar for 6 days kwenye hotel moja inaitwa Werere Beach Hotel. Hii ni 4 star hotel.

Mambo yalikuwa poa tu toka amefika lakini Nightmares zilianza siku ya birthday almost saa 8 usiku. Nadhani ilikuwa siku ya pili tokea afike.

Anasema akiwa amelala alikuwa hajavaa chochote. Around hiyo saa 8 alianza kufeel kama mtu anamshika matiti baadae yule mtu akamshikisha penis hapo ndoto tena.

Baada ya kushtuka zikaanza purukushani the guy was trying to rape her. Anasema kilichomsaidia kuna muda alimuomba sana huyo jamaa kwamba kama inawezekana watumie condom sababu yeye ana HIV. Hiki ndo kitu kilimuokoa.

So huyo jamaa[the rapist] akafikiria baadae akaamua kuondoka aende akafate condom.

Hapo ndo dame alipata chance ya kusepa na aliamua kwenda kuomba hifadhi kwenye room moja ambayo ilikuwa na couple ya warusi[she met them before that night].

Before aende kwenye hiyo Room ya hao Russian's Couple anasema reception hakukuwa mtu/watu, simu zao hazikuwa zinafanya kazi so hakuwa na option.

She stayed kwenye hiyo room mpaka asubuhi. Alipokuja kurudi kwenye chumba chake she found her money was stolen [$1100].


Asubuhi hiyo wakaenda polisi akaandikisha maelezo na police wakamshauri kwamba aende hospital akapime.

akaenda hospital akapima ikaoneakana hakukuwa na penetration yoyote.

So kuja kurudi polisi, Ni kama polisi waliimaliza hiyo ishu kwa hoja ya kwamba hakukuwa na penetration so no rape. Hawakujishughulisha hata kuhangaika na nani alitry kufanya kufanya hicho kitendo cha ubakaji na nani aliiba hela za huyo dada, Kwa 4 star hotel haiwezi kukosa CCTv camera.

Yeye mwenyewe huyo dada ameisimulia vizuri sana hiyo story. Nimeweka link ya twitter pale juu.

Werere Beach Hotel Boycott

Kabla huyu dada hajapost kisa chake twitter hiyo Hotel ilikuwa na Rating ya 4.5 Star mtandaoni.

Aiseee kutoka jana Nigerians wenyewe, Kenyans, South Africans n.k. wameiboycott hiyo Hotel and now imebakiwa na 1.1 star only.

View attachment 2190488

View attachment 2190489

Mpaka jana usiku saa mbili kulikuwa na Reviewers 1800+ na rating ilikuwa 1.4 star

View attachment 2190509

This morning mpaka muda huu naandika kuna reviewers zaidi ya 10600 na rating ni 1.1 star.


Unadhani kuna mtalii serious ataenda kwenye hiyo Hotel?

Mmiliki wa Hotel amepata faida gani?


The Worst Part

These people are not only boycotting Werere Beach Hotel ila wanaiboycott zanzibar and Tanzania as a whole sababu response mbovu kutoka kwa police officers.

Lini tutabadilika?


Tuje kwa watanzania

Ukisoma comment za baadhi ya watanzania unapata kichefu chefu.

Unakutana na comments kama hiziii

####

View attachment 2190506

Aiseeee we are so stupid.


Haya mambo hayatusaidii hata kidogo. Hiyo thread huko twitter inatembea kama moto.

Kesi ya mtu mmja haiwezi kuharibu taswira ya Tanzania..

Tumekuwa moja ya safari destination maarufu Duniani kwa miaka mingi hata kabla ya huyo Mnigeria.
 
Back
Top Bottom