Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

Feminist nao wameshikia bango kwelikweli bila kusikiliza upande wa pili utakuja na evidence zipi..

Mtu kaambiwa twende hospital tukafanye vipimo kwanza tudhibitishe madai yako yeye anaanza kurecord na kupiga picha kituo cha Polisi na Polisi how comes kama sio tapeli tu..

Ukute walikubaliana kupigana miti na huyo jamaa then chumbani mambo yakabadilika ndio akaja na hizo story zake hapa.. How comes Hotel ya Kitalii ambayo anytime inaweza pokea wageni eti reception iwe imefungwa usiku? Hapa tupate pia story ya upande wa pili kwanza kabla ya kufanya judgement.
 
Sasa kama Mlango alifunga huyo Mtu aliingiaje ndani? Na alivyotoka kufata Condom alitokea Mlangoni au Dirishani au aliyeyuka? Na kuibiwa pesa zake aliibiwa wakati gani?? Yaan Mbakaji alirudi tena na Condoms zake alivyomkosa ndio akamuibia Pesa???

Nungwi nimeenda sana Vacation, Wazungu wanapita hadi vichochoroni na vichupi vyao usiku na sijawahi kusikia mtu kabakwa na Mtalii kutaka kubakwa na Kuibiwa ndani ya Hotel hiyo lazima ingesikika Mji mzima,

Wajipange tena.
 
Naona wakenya washaingia humo et njooni Kenya ila nimeshangaa watu amabao sio Watz ndo wanatutea wanasema Bora Tz kuliko Kenya vibaka ni wengi
 
It is simple as it is...wamekubaliana hadi anamwambia mbakaji eti kachukue kondom na mbakaji anatoka taraatibu anaenda kutafuta kondom.

Sishangai maana ndiyo trend ya Sasa unakuabliana na mwanamke baada ya miaka miwili anakutangazia ubakaji...refer issue ya Royal family UK.
 
Hili liwe fundisho pia wasichukulie poa vitu wanavyoona ni vidogo vidogo
 
Najiuliza kwann yameibuka kipindi hki cha royal tour..

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Tukio moja haliwezi kusababisha watalii kuiboycott nchi acha uoga.
 
Sishangai.

Experience yangu na jeshi la Polisi ninai-rate 0.01 โญ

Halafu kama sijakosea kuna kitengo maalum polisi kwa ajili ya cases za watalii huku Zanzibar.

Pengine ACP Wakyo Simon angesikilizwa labda ana kitu cha ziada kuliko Siro.
 
Tanzania ni nchi yenye vijana wa hovyo sana. Vijana wamekosa utu, uzalendo, kujituma taifa sijui linakwenda wapi.
Uzalendo wa kweli unajengwa kwa kila raia masikini na tajiri kuwa na nafasi ktk national cake. Sio hii hali ipo sasa wenye chama na wenye nchi na wanajinasibu chama kina wenyewe na nchi ni yao... What is next unafikiri kuna nafasi ya kuipenda nchi yako ktk kikundi cha watu? Hapa nilazima pawe na democrasia ya kweli kila raia aone chama cha siasa ni mali yake na nisehem yakutoa mawazo yake kwa uhuru na amani, kiongoz wasiwe miungu watu hapo uzalendo utakuwa kama sisimizi. Unafikiri why Ukraine wanaifia nchi yao unafikiri wangekuwa na utawala usio jali democrasia wangeifia nchi yao. Kiufupi Ukraine wanaipambania democracy yao nakuktaa udikateta
 
Hapa ndipo Wa Tanganyika tuwaonyeshe nguvu yetu ya Ubara kwa hawa ndugu zetu wa visiwan.

Tusimame nao kuwasaidia ili next time wakumbuke kauli ya hayati JK Nyerere
 
Issues imekuwa staged sababu mama anaizindua ile Documentary, vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuaharibiana na kuchafuana. Tanzania haikuathirika sana na upungufu wa watalii kipindi cha Corona, nchi nyingine biashara zao zilidumaa kipindi cha Corona so lazima vigisu kama hizi zifanyike.
 
Attention amejua atapata attention maana sitaki kuamini kama katumwa na makampuni.

Inawezekana kuwa ni issue ya pesa. Kama anafanya hivyo kwa hotel kubwa mbalimbali halafu anawatishia kuwachoma kwenye media (negative publicity) wanamlipa ayamalize kimya kimya anaweza kuwa anapiga pesa ndefu sana.

Muda utatupa ukweli wa hii issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ