Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

Kwa sasa issue ya Uzalendo imekua ngumu sana mkuu.

Kwa maana kuna watu wanasema chama ni mali yao na nchi ni ya kwao.

Sasa likitokea jambo kama hili usitegemee mtu atakua na morale ya kupambania nchi na chama cha mtu mwingine as simple as that.

Hawa watu wanaoongea haya maneno wasifikiri wanafanya mambo ya maana sana wanaleta Damage kubwa sana katika taifa hili ambao itakuja kutugharimu siku moja.
 
Tukio moja haliwezi kusababisha watalii kuiboycott nchi acha uoga.
Wewe unaongelea hapa JF ila hujaona kilichotokea twitter, hujaona kilichotokea kwenye rating ya hiyo hotel.

Na wala hujui impact yake. Akili kisoda.
 
Twende google tukairate hotel 4.5
Unao watu 30,000 ambao ndio at least wakiipa 5 star itasogea kwenye 3 star overall?

Au unadhani kuirudisha kwenye 4.5 star ni kazi rahisi?
 
Kesi ya mtu mmja haiwezi kuharibu taswira ya Tanzania..

Tumekuwa moja ya safari destination maarufu Duniani kwa miaka mingi hata kabla ya huyo Mnigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ