Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.".

Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
 
Gentleman,
nimekaa hapa tayari kuchukua picha na video za wachakarikaji wanavyo teguliwa viuno na taya kwa virungu 🐒
 
Back
Top Bottom