Embu acheni utani na hadithi za kutunga, mtu aliyekuwa akisali kwa kuujudu na kutawadha, na wakati kabananishwa na waisrael kaomba msaada kwa mungu wake leo umwite mungu?Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA
So kimsingi hakuna atakae angamia, coz regardless nini unafanya dhambi zote zilishasamehewa tayari ... one more thing, kutoamini ni dhambi ama sio dhambi?Zote zilizopita, za sasa na zinazokuja.
Sasa kama kabeba dhambi zetu basi ana dhambi nyingi sana. Mungu hapaswi kuwa na dhambi
Ambaye hataangamia ni yule tu atakaye mwamini Yesu Kristo kwamba alichukua dhambi zake na kufa msalabani kwaajili yake.So kimsingi hakuna atakae angamia, coz regardless nini unafanya dhambi zote zilishasamehewa tayari ... one more thing, kutoamini ni dhambi ama sio dhambi?
Kuelewa nafasi ya Yesu Kristo katika Ukristo kunahitaji kuangalia maandiko kwa upana wake. Yesu hakuja tu kama nabii bali kama Mwana wa Mungu, na hili linathibitishwa na mafundisho yake, maisha yake, na ufufuo wake. Kuomba msaada kwa Mungu hakuondoi uungu wake, bali kunaonyesha unyenyekevu wake kama Mwana wa Adamu aliyechukua mwili ili kutimiza mpango wa wokovu. Ikiwa unataka mjadala wa kina kuhusu jambo hili, tunaweza kuchunguza maandiko pamoja.Embu acheni utani na hadithi za kutunga, mtu aliyekuwa akisali kwa kuujudu na kutawadha, na wakati kabananishwa na waisrael kaomba msaada kwa mungu wake leo umwite mungu?
Ukristo haumaanishi kwamba waumini wana uhuru wa kufanya dhambi bila athari. Ndiyo, Yesu alibeba dhambi za dunia, lakini hiyo haimaanishi kuwa Wakristo wanaishi bila maadili au uwajibikaji. Kwa mujibu wa maandiko, wokovu kupitia Yesu hauondoi uwajibikaji wa waumini kuishi maisha ya haki.Kwahyo wakristo hawana dhambi... kama kuna mtu alishazibeba dhambi zenu, inamaana nyie hata mkizini, mkiua, mkilawitiana peponi kama kawaida
Sababu hamna dhambi, makosa yenu mmeshabebewa na Yesu
(Ndo mnavyojidanganya hvyo, sio?
Kitendo cha kuzikwa kwa Yesu Kristo aliuzika ule mzigo wote wa dhambi zetu.
Alipofufuka, alitushindia mauti na dhambi, akatufungulia mlango wa uzima wa milele.
Kufufuka kwake kunathibitisha ushindi wake juu ya nguvu za giza na kutufanya kuwa huru kwa neema yake.
Kwa njia ya imani ndani yake, tunashiriki katika ushindi huo na kupokea uzima mpya katika Kristo.
Muumba ni aliyemtuma Yesu,rejea
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma(mtume).
1Korintho 15:24-28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.
25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.
27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.
28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe(Yesu)naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
Amina Amina mtu wa MunguUchambuzi mzuri Sana wa maandiko. Ubarikiwe
Kwa hiyo ukiwa mtenda dhambi ukafa ukazikwa dhambi ulizonazo zinapotea?.
Swali lako la msingi sana hakuna mkristo anaye weza kukupa jibu sahihi kwa sababu awajui yesu alisulibiwa kuwa sadaka ya nini ..pia awajui nini kinasababisha mungu kuto kusamehe dhambi kilahisiUnahisi dhambi zinasameheka kirahisi hivyo?
Imani logic yake ni imani.Dhambi zetu zipi tulizosamehewa, hizi tunazozitenda sasa ama zile ambazo hatukuzitenda sisi bali waliopita kabla yetu? ... Ikiwa ni hizi za sasa basi hata kutomkiri ni dhambi basi pia na yenyewe itakuwa imeshasemehewa. Ikiwa ni zile walizotenda kabla yetu sasa hizo Mungu angetuhukumu vp kwa makosa ambayo sio yetu?
Bottom line, kulikuwa na haja gani ya yeye kuuliwa ndo Mungu atusamehe? tena in advance (ikiwa ni dhambi hizi zinazotendwa sasa) ... this doesn't add up kabisa.
Sasa mkuu nauliza si kwa ubaya wakati yuko tumboni kwa mama yake nani aliishika majukumu ya mbingu na ulimwengu kwa ujumla?Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji.
Yohana 1:1-3
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika."
- Wakolosai 1:15-17
"Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo duniani... vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake."- Waebrania 1:2
"...kwa njia yake aliuumba ulimwengu."- Waebrania 1:10
"Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Ufunuo 3:14
"Yeye ni mwanzo wa kuumba kwa Mungu."- 1 Wakorintho 8:6
"...Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwa yeye vitu vyote vimekuwapo."- Yohana 1:10
"Ulimwengu ulifanyika kwa yeye, wala ulimwengu haukumtambua."- Mika 5:2
"Kutoka kwako kitatoka kwake atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili zake zimekuwa za tangu milele."
- Inahusisha Yesu na milele, akionyesha uhusiano wake na uumbaji.
- Zaburi 102:25 (iliyorejelewa katika Waebrania 1:10)
"Hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Isaya 9:6
"...naye ataitwa... Baba wa milele, Mfalme wa amani."
- Yesu akiwa Baba wa milele, anahusiana na kazi ya kuumba.
- Waefeso 3:9
"...Mungu aliyeumba vitu vyote kwa Yesu Kristo."- Zaburi 33:6
"Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika."
- Yesu ni Neno la Mungu.
- Mithali 8:22-31
"Bwana alinipata mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale."
- Inahusisha Hekima na Yesu kama mshiriki wa uumbaji.
- Warumi 11:36
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, na kwa yeye, na kwa ajili yake."- Ufunuo 4:11
"...kwa kuwa wewe ndiwe uliumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako vilikuwako na kuumbwa."- Yohana 17:5
"Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja na wewe mwenyewe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako."
- Yesu alikuwa na Mungu kabla ya uumbaji.
- Ayubu 38:4-7
"...Nilipoiweka misingi ya dunia... nyota za asubuhi ziliimba pamoja."
- Yesu, akiwa Neno, alihusika.
- 1 Petro 1:20
"Alijulikana tangu kabla ya kuwekwa msingi wa ulimwengu."- Yohana 8:58
"Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
- Yesu ni wa milele, na uumbaji unamhusu.
- Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani."BWANA YESU ATUKUZWE
- Kama Muumbaji, Yesu ana mamlaka juu ya vitu vyote.
Principles for reading the Bible
Steps of reading the Bible
- Prayer: Start and continue with prayer
- Context: Read the Bible in its historical and cultural context
- Unity: Read the Bible as a whole, paying attention to its unity
- Gospel approach: Read each passage as part of the overarching storyline that leads to Jesus
- Interpretation: Allow the Bible to interpret itself
- Application: Apply the Bible to your life
- Reason: Use reason to understand the Bible
- Author's intent: Understand the author's purpose in the context
- Love: Read the Bible through the lens of love
- Themes: Look for biblical-theological themes
- Observe the passage
- Interpret the passage
- Apply the passage to your life
- Read the passage multiple times
- Clarify any questions you have
Sasa mkuu nauliza si kwa ubaya wakati yuko tumboni kwa mama yake nani aliishika majukumu ya mbingu na ulimwengu kwa ujumla?