Yesu aliumba Mbingu na Nchi

Yesu aliumba Mbingu na Nchi

Yesu sio Mungu. Mungu ni Mungu tuu. Yesu anapewa sifa ya uungu kwasababu kiroho na kiimani alishafikia level ya mwisho kabisa, ambayo ni Upendo wa Kweli.

Unapokua na upendo wa kweli Kwa nguvu za Mungu lolote jema waweza litenda na watu wakaona ni miujiza. Na wote walioifikia level hiyo ya mwisho ya upendo Mkuu wa Kweli, hawakufa na hawatakufa bali watatwaliwa.

Kunielewa ni hivi, yesu ni mmoja wa wanadamu walioishi vile Mungu anataka tuishi Kiroho, na ndio maana akatuambia yeye ni njia kweli na uzima. hapa ana maanisha yeye ndio kioo kwa atakaetaka kwenda peponi aweze kuishi kama yeye alivyoishi kwa ukaribu na Mungu Mkuu. Tuishie tuu kumuita ni Mwana wa Mungu, maana hata wewe na mimi tukiamua kumkataa shetani na kazi zake na tukajiweka karibu na Mungu kwa njia ya Upendo wa Kweli hakika tutakua wana wa Mungu kama Yesu tuu.

So Yesu Sio Mungu.
Kasome upya injili kwa kutumia akili ...nafsi iliyo ndani ya mwili wa yesu ni mungu...ndiyo maana msalabani anamwambia yule mtu leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi
 
Yesu sio Mungu. Mungu ni Mungu tuu. Yesu anapewa sifa ya uungu kwasababu kiroho na kiimani alishafikia level ya mwisho kabisa, ambayo ni Upendo wa Kweli.

Unapokua na upendo wa kweli Kwa nguvu za Mungu lolote jema waweza litenda na watu wakaona ni miujiza. Na wote walioifikia level hiyo ya mwisho ya upendo Mkuu wa Kweli, hawakufa na hawatakufa bali watatwaliwa.

Kunielewa ni hivi, yesu ni mmoja wa wanadamu walioishi vile Mungu anataka tuishi Kiroho, na ndio maana akatuambia yeye ni njia kweli na uzima. hapa ana maanisha yeye ndio kioo kwa atakaetaka kwenda peponi aweze kuishi kama yeye alivyoishi kwa ukaribu na Mungu Mkuu. Tuishie tuu kumuita ni Mwana wa Mungu, maana hata wewe na mimi tukiamua kumkataa shetani na kazi zake na tukajiweka karibu na Mungu kwa njia ya Upendo wa Kweli hakika tutakua wana wa Mungu kama Yesu tuu.

So Yesu Sio Mungu.
Nani kakudanganya ? Kama yesu siyo mungu basi yesu na injili yote ni potovu ni uongo ....hili injili iwe kweli ni lazima Yesu awe ni Mungu....ndiyo maana anaitwa mfalme...ndiyo maana alimwambia farao kuwa ufalme wake siyo wa dunia hii ....kwa kusema hivyo...alimaanisha ni mfalme mbinguni je mbinguni kuna wafalme wangapi zaidi ya mungu mmoja..
 
Huo ndio utaratibu mpya wa kusamehe dhambi kwa mwanadamu ulio anzishwa na Mungu. Ili usamehewe dhambi lazima utoe kafara ya damu.

Sasa Yesu Kristo alijitoa kafara ili sisi tusamehewe dhambi zetu. Jambo lililo baki ni sisi kumwamini kafara ilisha tolewa msalabani.

Waliobaki na kafara za damu kwasasa ni hawa wanao enda kwa waganga.
Kwani dhambi yenyewe ilianzishwa na nani? Kwani huyo mungu mwenyewe hakujua kwamba tutaasi mpaka aje ajitoe kafara yeye?
 
Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA
Sasa hizo dhambi zetu alizozibeba amezipeleka wapi
 
Yesu alipokuwa tumboni mwa Maria, Uungu wake haukupunguzwa wala haukukomea. Katika Ukristo, Yesu ana asili mbili—Uungu (100% Mungu) na Ubinadamu (100% mwanadamu). Hii inamaanisha kwamba alipokuwa duniani, hakuwa ameacha uungu wake, bali alikuwa ameuchukua mwili wa kibinadamu kwa hiari yake.

Katika Wakolosai 1:17, Biblia inasema:
"Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye."

Hii inaonyesha kuwa hata alipokuwa tumboni mwa Maria, Yesu hakupoteza mamlaka yake ya kimungu. Mungu Baba na Roho Mtakatifu waliendelea kushikilia mpango wa mbingu na ulimwengu, kwa sababu Mungu ni Mmoja katika nafsi tatu—Baba, Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19).

Yesu mwenyewe alisema katika Yohana 10:30:
"Mimi na Baba tu umoja."

Kwa hiyo, hata alipokuwa tumboni mwa Maria kama mwanadamu, Uungu wake haukupunguzwa, na mamlaka ya Mungu juu ya ulimwengu uliendelea bila shida yoyote. Hili ni fumbo la kiimani ambalo linahitaji kueleweka kwa kutambua kwamba Mungu si kama wanadamu, anaweza kuwa mahali popote na kufanya mambo yote kwa wakati mmoja.
Na vipi pale alipofariki msalabani?
Dunia ilibaki bila mungu ama
 
Back
Top Bottom