Hata roho mtakatifu ni mungu tumia akili kutambua uwezo wa utendaji wa mungu ...musa aliona mti unawaka moto ule mti na moto vilikuwa ni mungu.
Mungu anaweza kujigeuza kitu chochote ila hakuna aliye wait kuiona nafsi ya mungu ...maana hata sisi binadamu hatujawai kuziona nafsi zetu....tatizo lenu waislamu na wakristo mmeshindwa kujua MUNGU NA YESU NA ROHO MTAKATIFU NI NINI..!?🤔🤔
ndiyo maana wakristo wapumbavu wanapotosha kuwa mungu ana nafsi tatu ....Kusema mungu ana nafsi tatu ni upumbavu....
💥Sasa nitaeleza Mungu na Yesu na Roho mtakatifu ni nini ? hadi vyote hivyo viwe ni Mungu mmoja Nafsi moja
1) MUNGU NI NAFSI YA MUNGU MWENYEZI
2) YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MWANADAMU ( yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja) ....
Kitu kingine ni kutambua Yesu anapo sema "MWANA" umaanisha mwili wake...na anapo sema "BABA" umaanisha Nafsi yake ambayo ndiyo Mungu mwenyezi.
Sasa baada ya fafanuzi hii nakushauri kasome injili yote upya kwa kutumia fafanuzi hii kisha utajua nini ni nini....kisha tumia fafanuzi hii kujibu maswali yote ya mashehe wanayo hoji kuhusu yesu utapata majibu kamili ...
Mfano waislamu wanasema 👉Hakuna aliye muona mungu duniani na biblia inasema hivyo hivyo je kama Yesu nini Mungu mbona kaonekana? Jibu ni kuwa 👉Yesu ni Nafsi ya mungu ndani ya mwili wa mwanadamu hivyo bado hakuna aliye muona mungu ....
Swali lingine la waislamu ni hili 👉je Mungu anakufa hata sekunde moja ? Jibu ni👉 hapana Mungu awezi kufa hata sekunde moja ...waislamu watakuuliza sasa mbona Mungu yesu kafa na kufufuka siku ya 3 je huyo ni Mungu gani anaye kufa ? ...hapa kwa kutumia fafanuzi za yesu ni nani na ukienda msalabani tunamsikia Yesu akimwaidi yule mtu waliye sulibiwa naye kuwa 👉leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi ...hapa waislamu watakuambia biblia inajichanganya 🤕 kwa sababu wakristo mmesema yesu alikufa msalabani na kufufuka siku ya 3 sasa hapa mbona inasema yesu alikuwa pema peponi siku ile ile...jibu kilicho kufa na kufufuka siku ya tatu ni MWILI WA YESU SIYO NAFSI YA YESU KWA SABABU NAFSI YA YESU NDIYO NAFSI YA MUNGU MWENYEZI...ndiyo maana msalabani anamwambia yule mtu leo utakuwa pamoja nami pema peponi ...hivyo Mungu akufa msalabani bali alitoka ndani ya mwili na kufanya mwili kuwa mfu kwa sababu mwili ulibaki bila ya nafsi ...huko ndiyo kufa kwa yesu....sasa utajua kuwa nikweli mungu hawezi kufa hata sekunde moja ...
Kisha siku ya tatu Nafsi ya mungu ikarejea ndani ya mwili wa Yesu kaburini na mwili ukafufuka.
Bwana
Rabbon Bwana Utam FaizaFoxy adriz ...njoeni mjifunze injili ya kweli mumjue kwanini kristo anaitwa mfalme