Yesu atakuja kama Lopelope alivyofanya leo!

Yesu atakuja kama Lopelope alivyofanya leo!

Waliokufa katika Kristo maana yake ni watu waliofariki wakiwa wameokoka. Kwa maneno mengine, ukitubu dhambi zako na kumwamini Kristo, ukifa, unahesabika umekufa katika Kristo. Kwahiyo waliokufa katika Kristo ndio watakaofufuliwa kwanza siku Yesu akija.
Thanks 4 elaborating
 
Jamani mimi ndiye huyo lopelope mwenyewe msibanangwe wala kutindinganywa enyi kundi dogo.😀😀
 
2 Petro 3:9
"Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali anawavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote watubu."
inakuwaje mwanaume anafungua I'd ya kike na muda wote anaanzisha mada za kuhubiri.
 
Nilichelewa kuona ujumbe wa maana kabisa huu, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom