Yesu atakuja kama Lopelope alivyofanya leo!

Thanks 4 elaborating
 
Jamani mimi ndiye huyo lopelope mwenyewe msibanangwe wala kutindinganywa enyi kundi dogo.πŸ˜€πŸ˜€
 
2 Petro 3:9
"Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali anawavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote watubu."
inakuwaje mwanaume anafungua I'd ya kike na muda wote anaanzisha mada za kuhubiri.
 
Nilichelewa kuona ujumbe wa maana kabisa huu, ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…