Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja kama bwana wamabwana, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu na jeshi kubwa sana na nguvu nyingi sana na utukufu na uweza jua litatiwa giza na mwezi hauta toa mwanga wake na nguvu za mbingu zitatikisika milima na visiwa vitakimbia mahali pake.
pia soma
Mt 24:23-47
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. Kwa kuwa po pote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika; ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu. Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu; nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni. Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe. Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye,
soma zaidi
Yohana 1;7
Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamuona na hao walio mchoma, na kibila zote za dunia wataomboleza kwaajili yake.
pia soma;
yohana 6;12
palikuwa na tetemeko kuu la nchi, jua likiwa jeusi kama gunia la singa mwezi wote ukawa kama damu, na nyota zikaanguka juu ya nchi kama mti upukutavyo mapooza yake utikiswapo na upepo mwingi, mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa nakila mlima na kisiwa kitaamishwa kutoka mahali pake, na wafalme wa dunia na wakuu na majemedari na matajiri na wenye nguvu, na kila mtumwa, na muungwana wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima, wakiiambia milima tuangukieni tusitirini na yule akatiye kwenye kiti cha enzi.
nimeandika haya ili mtu yoyote asiwadanganye kwamba amemuona yesu mahali fulani msisadiki jueni ni muongo
www.jamiiforums.com

Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi
Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...