Yesu hakupigiliwa misumari kwenye viganja vya mikono!

Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha.

Sababu ni kwamba wangepiga misumari katikati ya kiganja na kumning'iniza mtuhumiwa msalabani basi misuli ya viganja haingeweza kuhimili uzito wa mwili na viganja vingechanika na msulibiwa kuanguka chini.

Upo ushahidi wa kutosha wa sayansi ya manbo ya kale uliogundua mifupa ya waliosulibiwa ikonyesha mahali misumari ilipopigiliwa.

Ndugu zetu Mashahidi wa Yehova huwa wanachora kwa usahihi japo kuna ubishi kama msalaba ulikuwa ni nguzo moja au mbili. Wachoraji wetu rekebisheni hilo tafadhali.
Wewe na Thomas mfuasi wa Yesu nani anasema ukweli? Thomas anasema hivi alivyoambiwa na mitume wenzake kwamba wametokewa na Bwana Yesu. John 20:24-25: Thomas, called the Twin, who was one of the Twelve, was not with them when Jesus came. So, the other disciples said to him, "We have seen the Lord," but he answered, "Unless I can see the holes that the nails made in his hands and can put my finger into the holes they made, and unless I can put my hand into his side, I refuse to believe." Kwa hiyo, hayo matobo ya misumari kayaweka nani au yalitoka wapi?
 
Asante sana.
Ila YESU & MUDY ni story kama ya Pazi na Jogoo.
Toa sadaka sana, sali sana utamuona YESU.
Umesema Yesu na mudy n story tuu halafu tena unasema tutoe sadaka na kusali na tutamuona Yesu 🗑️
 
Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha.

Sababu ni kwamba wangepiga misumari katikati ya kiganja na kumning'iniza mtuhumiwa msalabani basi misuli ya viganja haingeweza kuhimili uzito wa mwili na viganja vingechanika na msulibiwa kuanguka chini.

Upo ushahidi wa kutosha wa sayansi ya manbo ya kale uliogundua mifupa ya waliosulibiwa ikonyesha mahali misumari ilipopigiliwa.

Ndugu zetu Mashahidi wa Yehova huwa wanachora kwa usahihi japo kuna ubishi kama msalaba ulikuwa ni nguzo moja au mbili. Wachoraji wetu rekebisheni hilo tafadhali.
Mathanzua Rabbon Yesu Anakuja
 
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini​

Eloi is god
Issa is a servant of god
Quran Nisa 4:157
 
basi misuli ya viganja haingeweza kuhimili uzito wa mwili na viganja vingechanika na msulibiwa kuanguka chini.
Mkuu kiganja cha mkono hakina misuli peke yake bali kuna kitu kingine imara sana kwenye kiganda kinaitwa TENDON.

tendon
ni imara zaidi kuliko misuli na hiyo inaweza kushikilia kilo nyingi zaidi,ni mfano wa zile nyama za ng'ombe buchani huning'inizwa kwenye nondo na zikahimili vyema basi mara nyingi huwa ni tendons.

lengo langu sio kupinga kwamba yesu hakusubuliwa hapana bali lengo langu ni kuikataa hoja uliyoitumia na kukuhabarisha kwamba tendons zingeweza kushikilia mwili wa yesu vyema endapo kama kweli alisulubiwa.
 
Umesema Yesu na mudy n story tuu halafu tena unasema tutoe sadaka na kusali na tutamuona Yesu 🗑️
Maana yake, mjinga muache na ujinga wake....
Endelea kutoa sadaka na endelea kusali tu, utamuona yesu.

Maana unaambiwa hizo ni story za uongo ambazo hazina ushahidi wewe unakaza fuvu.
 
Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria kwamba kuna mtu aliwahi kuishi anaeitwaYesu, achilia mbali msalaba kuwa nguzo.
Fanya tafiti. Kuna maandiko yanayoeleza palikuwepo mtu aitwaye YESU wa nazareti na aliuwawa na makuhani kupitia pilato sababu ya kuingilia biashara za watu kwa kuzuia biashara kwenye masinagogi. Binafsi nilisikiliza documentary nadhani ni chanell ya HISTORY.
 
Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha.

Sababu ni kwamba wangepiga misumari katikati ya kiganja na kumning'iniza mtuhumiwa msalabani basi misuli ya viganja haingeweza kuhimili uzito wa mwili na viganja vingechanika na msulibiwa kuanguka chini.

Upo ushahidi wa kutosha wa sayansi ya manbo ya kale uliogundua mifupa ya waliosulibiwa ikonyesha mahali misumari ilipopigiliwa.

Ndugu zetu Mashahidi wa Yehova huwa wanachora kwa usahihi japo kuna ubishi kama msalaba ulikuwa ni nguzo moja au mbili. Wachoraji wetu rekebisheni hilo tafadhali.
Stupid man
 
Kwa hiyo uliamini hiyo documentary,real? A documentary unai-substitute na Neno la Mungu!How stupid.
 
wapagani wamechakachua sana historia kwa manufaa yao. Yesu alikuwa muyahudi na dini aliitangaza huko kwao leo hii tunaambiwa dini ipo Rome
 
Kipindi Ile movie ya yesu inatazamwa kijijin watu walitoa machozi kipande cha mateso yake,
kimoyomoyo nikasema mnamsikitikia huyu baharia Kwa kivuli cha yesu.
 
wapagani wamechakachua sana historia kwa manufaa yao. Yesu alikuwa muyahudi na dini aliitangaza huko kwao leo hii tunaambiwa dini ipo Rome
Ukatoliki ume- hijack tu the Christian concept mkuu,.infacf Mtume Paulo ndiye aliye-venture up to Spain akihubiri Injili,Peter never even went to Rome, ni uzushi tu wa Wakatoliki.
 
Back
Top Bottom