Yesu hakupigiliwa misumari kwenye viganja vya mikono!

Vyovyote walivyomtesa , muhimu kwa wanaomuamini Yesu, ni aliteswa na alikufa, alifufuka. Waigizaji wa sura yake, au maisha yake sio picha halisi ya tukio lilivyokuwa.
 
Hapana ndugu. Soma secular history ya waandishi wa karne ya kwanza kama Josephus inamtaja Yesu
Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria kwamba kuna mtu aliwahi kuishi anaeitwaYesu, achilia mbali msalaba kuwa nguzo
 
Imani ya mashahidi wa Hehova ambao sio wakristo na hawatambuliwi kama wakristo wana Bibilia yao tofauti na ya wakristo wengine
Suala la msalaba au nguzo linarakiwa kujibiwa pia na historia maana Yesu hakuwa wa kwanza kusulibiwa.
 
Mbona umejibu tofauti na nilichoandika? Sijakataa kuhusu matobo ila nimerekebisha ni wapi hayo matobo yalikuwa!
 
Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha.
Hii nayo ni ishu? Umeshasema ni picha, na kama ujuavyo picha ni kielelezo. hukukuwa na haja hata ya uzi, maana baada ya hapo utahamia kwenye sura!
 
Umenena sawa lakini Yesu Kristo na Issa bin Mariam ni watu wawili tofauti. Hata simulizi za kuzaliwa kwao ru zinakuonyesha ni watu tofauti. Sijui nani alileta fundisho kwamba hawa ni mtu mmoja!!
 
haingeweza
SIO KWELI.

Kwa kuwa watu waliokuwa wanasurubiwa msalabani hawakupigiliwa misumari peke yake kamba ngumu zilitumika pia kuhakikisha mwili una balance ya kutosha ukiwa juu.

Kamba zilifungwa mikononi na zingine zilifungwa kwenye miguu ili kuleta balance.

Imagine hiyo misumari iwepo yenyewe tu bila hizo kamba pale juu msalabani...!?😂 pasingekuwa na balance

KUHUSU misumari kupigiriwa sehemu ya kuvalia saa nalifanyia uchunguzi hasa kwa kutumia Maneno ya Thomaso na ya yesu mwenyewe kupitia yohana 20 : 24 - 29
 
Lete Aya toka kwenye kuran inayosema Yesu hakufa then utakuwa umemaliza kila kitu.ila hizi habari za hawakumuua mara ooh hakumsurubu ni ngonjera tupu.
in addition:- swala ya Yesu kufa ama hakufa katika uislam linategemeana na dhehemu la mshehereshaji.
waislam wa hamadia wao wanakubali(yesu alikufa)Allah alimuua Yesu siku tatu then akamfufua.
Suni wao wanasema Yesu hakufa ilhali hawana hata Aya moja inayosema Yesu hakufa.
 
Wacha hivyo hivyo wazid kuchanganyikiwa ikibid waongeze ingine ya miti mitatu ma msumali wa kichwa.
 
Mbona umejibu tofauti na nilichoandika? Sijakataa kuhusu matobo ila nimerekebisha ni wapi hayo matobo yalikuwa!
Text ya Injili inasema "in the hands." Ya kwako inasema matobo yalikuwa wapi?
 
Sijui nieleweshe kinyume cha neno "wakumuua" ni neno lipi ? Mkuu
je kati ya neno hawakumuua na wakamuua lipi linaashiria kua kiumbe bado kipo HAI.!!
 
Umenena sawa lakini Yesu Kristo na Issa bin Mariam ni watu wawili tofauti. Hata simulizi za kuzaliwa kwao ru zinakuonyesha ni watu tofauti. Sijui nani alileta fundisho kwamba hawa ni mtu mmoja!!
kama ambavyo Elio na Yesa hawapaswi kufananishwa.
 
Maandiko hujayaona?
Sijayaona kwamba misumari haikugongwa kiganjani.Ila hizo semantics sio muhimu sana,muhimu ni kwamba Bwana Yesu aliangikwa akamwaga damu yake ili sisi tuweze kuokolewa.
 
Madhehebu yote chanzo ni mayahudi.

Mtume hakuwa na dhehebu na hivyo waislam halisi hatuna dhehebu.

Madhehebu nayo hawana yakini.

Kama ilivyokuwa kwa Socrates, yesu nae alikuja kupambana. Na dola ya rumi. Dr Paul akafanya mambo yake.

Kwa kuwa alikuwa ni mwanafalsafa nguli baada ya Socrates, plato, Aristotle.

Ndio wao pekee wenye influence kubwa duniani. Socrates alikunywa sumu kama hukumu kali ya kifo kwa wakati huo. Ktk kipindi cha yesu, kusulubiwa ilikuwa ni adhabu ya laana kwa itikadi ya warumi.

Kumtetea yesu kuwa akiuwawa ni kumtoa ktk adhabu ya laana. Na Quran inamteta hawakumuuwa.

Na hawakumuuwa kwasasa kabla hajaanza mateso aliniomba Allah, au Elio kwa kiibrania. Elio Elio mbona umeniacha.

wakristo wote nchini kama kweli wanataka kuwa ni wafuasi wa kweli wa yesu, basi sunna ni kupigania utawala wa wahalifu. Na ikibidi wakubali kusulubiwa kama ilivyotokea kwa waislam.

Kuanzia uamsho, hadi mzee medi.

Wamesulubiwa.

Je ninyi mko tayari kumfata yesu kwa ku juu ubali kusulubiswa na mapilato wa Enzi hizi.

Naamini damu yenu itakuwa ukombozi. Lkn yale mafundisho ya paulo kuwa yesu atakujomboa okiwa unaimbia na kumtaja saba mchana wa jua kali na maspika ktk maeneo ya watu wenye pesa. Tujue tumeingizwa cha kike.

Kuwa fanya zinaa, kunywa pope beana yesu keshabena sambi sako. Tutafakari ukya.

Kama ilivyo kwa muhamadu alitokea akapinga watawala, akashinda, waktristo kuweni jama yesu na Muhamad. Wote mujipambanue kuwa ni chadema nasi tutakuja kuwaunga mkono.

Yalikuwa ni mazungumzo baada ya kifalsafa.

Bt Take it easy
 
Sijui nieleweshe kinyume cha neno "wakumuua" ni neno lipi ? Mkuu
je kati ya neno hawakumuua na wakamuua lipi linaashiria kua kiumbe bado kipo HAI.!!

Kabla sija-dve kwenye swali lako naomba turudi kwenye Nusura ya Aya yenyewe inasemaje.

Nusura ya hii aya ni hii:- Kuna watu walienda kumchimba Bit Muhammad wakisema-: TUTAKUUA KAMA TULIVYOMUA YESU/ISA.
then Allah akamshushia Wai Muhammad kuwa:- hao wanaodai walimuua Yesu/isa wanadanganya ila yeye(allah) ndiye aliyemuua na sio wao.

so,neno ili HAWAKUMUUA kuna watu wanalitafsiri nje ya content. ukisema tu hawakumuua then what?.Nini kiliendendelea baada ya tukio ilo?.

hata Farao alitaka kumuua Mussa lakini hakuweza,je hiyo inaamana hadi leo Musa yuko hai kwasababu tu Farao alishindwa kumuua Musa?.
farao alitaka kumuua Musa,lakini akashindwa ila Musa alikuja kufa kifo kingine kabisa.
hatuwezi Sema Musa hadi leo yupo hai kwasababu tu farao alishindwa kufikia dhamili yake.
Allah katika Quran anahidi kuwa atamuua Yesu kwa natural death then atamfufua baada ya siku 3 na ndivyo ilivyo nje na hiki ni Porojo tu.
wanaosema hawakumuua hawana hata verse moja inayosema Yesu HAKUFA.
 

Allah katika Quran anahidi kuwa atamuua Yesu kwa natural death then atamfufua baada ya siku 3 na ndivyo ilivyo.

naomba aya ya katika quran kihusu hayo maneno yako?☝️☝️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…