Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu.
Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini:
1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba
2.Ni neno toka kwa Mungu
3.Ni roho wa Mungu
4.Anasemehe dhambi
5.Anaona kilicho moyoni mwa mtu
6.Anaponya
7.Anafufua waliokufa
8.Anaumba na kupulizia pumzi ya uhai
9.Vitabu vinasema yeye ni Alfa na Omega yaani mwanzo na mwisho
10.Yeye mwenyewe anadai alikuwepo kabla ya Ibrahimu na ulimwengu kuwepo
11.Aliweza kufunga siku 40 bila kula
12.Ni mtukufu duniani na Ahera
13.Atakuja kuhukumu wazima na wafu
14.Alitembea juu ya maji
15.Aliituliza dhoruba baharini
16.Anatoa amri mpya.Mfano alitoa amri mpya watu wapendane kama anvyowapenda
kwa hizi baadhi ya sifa je yesu ni mtu tu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.