Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Wewe acha kupotosha Quran haiongelei kabisa habari ama historia Quaran ni Muongozo wenye kutoa namna ya kuishi na kuenenda na imani ya kiislamu
Amekosea kusema inaongelea historia,ameipa heshima sana yenyew inajisema ni HADITHI kama za JUMA NA ULEDI
 
Kama yesu ni Mungu kwanini yesu aliwaambia wanafunzi wake kwamba hawakuwahi kumuona Mungu wala kuisikia sauti ya Mungu?

Yohana 5:37

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.
 
Mungu hazai pia.
kuwa mtoto wa Mungu siyo mpaka akuzae. akikuumba tu unakuwa mwana wake. unajua kuwa hata Adamu ni mwana wa Mungu?
luka 3:38 kwenye new living translation inasema. Kenan was the son of Enosh. Enosh was the son of Seth. Seth was the son of Adam. Adam was the son of God.

ayubu 1:6 inaonyesha Mungu ana wana kibao. inasema.
Na ikaja siku ambapo wana wa Mungu wa kweli+ waliingia na kusimama mbele za Yehova,+ na hata Shetani+ akaingia katikati yao.
 
mungu alikufa msalabani siku tatu nani alikuwa anaindesha dunia kwa siku zote tatu
 
unasema kuwa hakuna verse kwenye biblia inayopingana, mbona hujatoa ufafanuzi wa maandiko niliyokupa yesu amekana kuwa sio Mungu wakati unasema ni Mungu. Je huoni kupingana hapo?
Mkuu tofautisha kupinganga na CONTEXT,wew umewahi kuwa mtoto mchanga,kijan na leo ni mtu mzima,unatak kuniambia ni watu 3 hao au n wew yule yul?ndio kuna maneno meng san zaid YESU kasem YEYE ni MTU ni kwel kabisa,swal ni dogo kwanin?JIBU ni kuwa hayo yote kayasema baada ya kuuvaa mwili wa kibinadam(Incarnation)!!..
 
Loud and clear!
 
so kumbe kuna wana wa mungu wengi,what makes jeus so special?.

Inaonekana wale waliodai yesu ni mwana wa pekee wa mungu walikosea pia
 
Medicine is not curative only but preventive too. Hivyo mtu kumuhitaji daktari si lazima awe mgonjwa anaweza kwenda kwa ajili ya kinga.
 
Hayo maandiko yako uliyotoa kama ungekuwa unatumia akili kufikiria. Kwahiyo yesu alijizaa? Na je yesu huyo huyo ni mwana na ndio huyo huyo baba? Shirikisha ubongo wako?
 
mungu alikufa msalabani siku tatu nani alikuwa anaindesha dunia kwa siku zote tatu
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka? inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
 
Pia tambua hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kuhusu uwepo wa huyo MUNGU.

Kama utasema yupo kiimani. Elewa kuwa imani inaweza kuwa kweli au uongo mtupu.

Hivyo inakuwa ngumu sana kutoa sifa za kitu ambacho huna uhakika kuhusu uwepo wake.

Kuhusu haya majina Yesu na Mungu huwa nachanganyikiwa sana kuhusu sifa zao maana mara yesu ni mungu..mara mungu ni yesu.

Nimewaza tu tena kwa sauti kubwa.
 
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka?inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
ok,anaweza kuacha maagizo kwa wasaidizi wake,je ile sauti toka mbinguni wakati yesu anabatizwa na yohana mbatizaji,ilikuwa ya nani.?au msaidizi?
 
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka?inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
Mungu wa kiislamu hawezi hili akifa kafa kibudu.

Kifo amekikuta hajakiumba.
 
Looking from another angle.
Mary was supposed to be joseph wife,they were living together,when mary got pregnant via what they say was holyspirit,josef wanted to divorce her,


buuut the kicker is,in jewish tradition you can live with a women as a wife without consumating the marriage,how sure are we that jesus was not joseph son?

Matthew 1:17-19New International Version (NIV)
17 Thus there were fourteen generations in all from Abraham to David, fourteen from David to the exile to Babylon, and fourteen from the exile to the Messiah.
Joseph Accepts Jesus as His Son
18 This is how the birth of Jesus the Messiah came about[ a]: His mother Mary was pledged to be married to Joseph, but before they came together, she was found to be pregnant through the Holy Spirit.19 Because Joseph her husband was faithful to the law, and yet[ b]did not want to expose her to public disgrace, he had in mind to divorce her quietly.
 
Mshatoka kwenye Uungu wa yesu sasa ni kama kweli mimba ilitungwa kwa tamko.
 
Elungata hakuna mahali Narismu sliishi oamoja na Yusufu. Ilikuwa uchumba. Mbona nukuu yako haisemi ivo?
 
imekaa vizuri Sura halisi ya Koran.... Kumbe Pepo ya Uislam ina Vilevi? kwa wale wanywao... nadhani watakafika huko break ya kwanza ni kwenye huo mto wa ulevi sipati picha wakitapika...

Hapo ndipo kuna utofauti na Pepo ya Wakristo inasema huko Hakuna kula,kuugua wala Mateso..

Mkuu weka na kile kipande cha Wanawake wenye makalio makubwa Saba peponi yaani ukifika huko ni kula mzigo mwanzo mwisho... ila Sharti lake ufanye UgaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ghafla visenti sina nimerudi Jamii forums....πŸ˜€
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…