Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Wewe acha kupotosha Quran haiongelei kabisa habari ama historia Quaran ni Muongozo wenye kutoa namna ya kuishi na kuenenda na imani ya kiislamu
Amekosea kusema inaongelea historia,ameipa heshima sana yenyew inajisema ni HADITHI kama za JUMA NA ULEDI
1474994557329.jpg
 
Haya achana na Paulo,

Unasemaje kuhusu Yohana ,yule Mwanafunzi alie mpenda Yesu na Yesu akampenda sana?

Yohana anaandika hiv

Yohana 1:1

Hapo mwanzo palikuwa na Neno,nae neno alikuwa kwa Mungu,naye neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

Najua unajua Neno ni nani, na unajua Yohana anamrefer nan hapa .

Yesu ni Mungu, alikuwepo,yupo na atakuwepo

Pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
Kama yesu ni Mungu kwanini yesu aliwaambia wanafunzi wake kwamba hawakuwahi kumuona Mungu wala kuisikia sauti ya Mungu?

Yohana 5:37

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.
 
Mungu hazai pia.
kuwa mtoto wa Mungu siyo mpaka akuzae. akikuumba tu unakuwa mwana wake. unajua kuwa hata Adamu ni mwana wa Mungu?
luka 3:38 kwenye new living translation inasema. Kenan was the son of Enosh. Enosh was the son of Seth. Seth was the son of Adam. Adam was the son of God.

ayubu 1:6 inaonyesha Mungu ana wana kibao. inasema.
Na ikaja siku ambapo wana wa Mungu wa kweli+ waliingia na kusimama mbele za Yehova,+ na hata Shetani+ akaingia katikati yao.
 
Kuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
mungu alikufa msalabani siku tatu nani alikuwa anaindesha dunia kwa siku zote tatu
 
unasema kuwa hakuna verse kwenye biblia inayopingana, mbona hujatoa ufafanuzi wa maandiko niliyokupa yesu amekana kuwa sio Mungu wakati unasema ni Mungu. Je huoni kupingana hapo?
Mkuu tofautisha kupinganga na CONTEXT,wew umewahi kuwa mtoto mchanga,kijan na leo ni mtu mzima,unatak kuniambia ni watu 3 hao au n wew yule yul?ndio kuna maneno meng san zaid YESU kasem YEYE ni MTU ni kwel kabisa,swal ni dogo kwanin?JIBU ni
1474995214377.jpg
1474995220899.jpg
1474995229189.jpg
kuwa hayo yote kayasema baada ya kuuvaa mwili wa kibinadam(Incarnation)!!..
 
God actually put His son on the cross to bleed in agony for other people. This is a God who would save us by doing that to a human being?"
Jesus Christ, according to the Bible, was in a bad situation and Jesus needed to be saved. Jesus begged God, His Father, to "let this cup pass from Him" so to be saved. God was in charge. God did not save His "perfect" son. God planned and had Jesus be tortured and crucified to death. While dying, Jesus cried out to God, His father, "My God, My God, why hast thou forsaken Me?"
If God is "The Savior" and / or "The judge for Eternal Torment", what makes you think that God would save you in your lifetime or would save you to serve God for Eternity? Jesus begged God to save Him. God refused. If God could do that to His Son, what makes you feel so special?.

Hapa sijui yesu alikuwa akimlilia mungu yupi amwokoe wakati yeye ndo mungu.

Hapa.

Ephesians 5:2 Christ gave Himself for us an offering / sacrifice to God...
If Jesus knowingly commited a form of suicide as a sacrificial offering to the Biblical God, Jesus cannot be God.
Hebrews 1:4-7 & Psalms 8:5-6 both prove that Jesus was “begotten / sired” by God.
Jesus can not be God if Jesus was made / begotten / sired by God. That would be like youareyour father.
God had the Angels worship "Him", Jesus. "Him" isnotthe same as "Me".
1 John 5:12 Jesus said: He that hath the Son hath life; and he that hath not the Son of God hath not life.
Here Jesus said He was the Son of God - not God.
Colossians 1:15 Jesus was the first-born of creation. Catholic
Jesus was created?
Colossians 1:15 Jesus was the first-born of all creatures. KJV
Tradition and dogma dictates that the Biblical God wasnotborn. Jesus was thefirst-bornof allcreatures? Jesus was acreature?
The KJV Bible writers did not like the older Catholic version becauseif Jesus is God, Jesus cannotbe created as Jesus is claimed to be infinite - meaning - Jesus, like God, has always existed and He always will exist. The trouble is when there is a documented Bible C&V contratiction, one can not have it both ways. One can not walk through solid walls - except in one's imagination.
Conclusion: By Bible C&V evidence: Jesus Christ isnotThe Old Testament Biblical God.
Luke 2:52 Jesus increased in wisdom and stature, and infavour with Godand man.
What? Jesus increased infavor with God? Then, Jesus Christ certainly isnotGod.
Loud and clear!
 
kuwa mtoto wa Mungu siyo mpaka akuzae. akikuumba tu unakuwa mwana wake. unajua kuwa hata Adamu ni mwana wa Mungu?
luka 3:38 kwenye new living translation inasema. Kenan was the son of Enosh. Enosh was the son of Seth. Seth was the son of Adam. Adam was the son of God.

ayubu 1:6 inaonyesha Mungu ana wana kibao. inasema.
Na ikaja siku ambapo wana wa Mungu wa kweli+ waliingia na kusimama mbele za Yehova,+ na hata Shetani+ akaingia katikati yao.
so kumbe kuna wana wa mungu wengi,what makes jeus so special?.

Inaonekana wale waliodai yesu ni mwana wa pekee wa mungu walikosea pia
 
Bwana Dotto, naona umenukuu vifungu vingi kwa ajili ya kututhibutishia kuwa YESU si Mungu na Paulo ni mwongo. Nilichogundua kwako ww ni msomaji mzuri wa biblia lakini naona unaitafasili kwa maono yako wewe Kama Dotto na si kwa kuongozwa na hekima ya Mungu. Kwa taarifa yako YESU hakuja kwa ajili ya wale waliokuwa wakimcha Mungu,Bali kwa wale waliokuwa wamepotea na kuzama katika uovu akiwamo Paulo na sisi wote ambao tulikuwa hutuijui kweli ya Mungu.kwa habari ya Paulo inaonyesha ni jinsi gani neno la Mungu limetimia na Paulo aliyekuwa mpinga KRISTO sasa amekuwa ndio msemaji Mkuu wa YESU. Huo ndio mpango wa Mungu kuwa wale wote wenye dhambi wapate kutubu na kumwamin YESU kuwa ndio BWANA na mwokozi wao na wayasimulie matendo Makuu ya MUNGU.( mtu mzima hamwitaji daktari Bali wagonjwa)
Medicine is not curative only but preventive too. Hivyo mtu kumuhitaji daktari si lazima awe mgonjwa anaweza kwenda kwa ajili ya kinga.
 
Mkuu tofautisha kupinganga na CONTEXT,wew umewahi kuwa mtoto mchanga,kijan na leo ni mtu mzima,unatak kuniambia ni watu 3 hao au n wew yule yul?ndio kuna maneno meng san zaid YESU kasem YEYE ni MTU ni kwel kabisa,swal ni dogo kwanin?JIBU niView attachment 407861View attachment 407862View attachment 407863 kuwa hayo yote kayasema baada ya kuuvaa mwili wa kibinadam(Incarnation)!!..
Hayo maandiko yako uliyotoa kama ungekuwa unatumia akili kufikiria. Kwahiyo yesu alijizaa? Na je yesu huyo huyo ni mwana na ndio huyo huyo baba? Shirikisha ubongo wako?
 
mungu alikufa msalabani siku tatu nani alikuwa anaindesha dunia kwa siku zote tatu
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka? inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
 
Ukimwita popo ni ndege lazima utoe sifa za ndege

ukimwita popo ni mnyama lazima utoe sifa za mnyama

kutokana na sifa zake ndio unaweza kumweka popo kwenye kundi gani

Pia kwa yesu ukimwita yesu ni binadamu lazima utupe sifa za kuwa binadamu ni zipi ???

ukisema yesu ni mungu , utupe sifa za kuwa mungu ni zipi ???

haiwezekani mungu akawa mtu wala mtu akawa mungu
Pia tambua hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kuhusu uwepo wa huyo MUNGU.

Kama utasema yupo kiimani. Elewa kuwa imani inaweza kuwa kweli au uongo mtupu.

Hivyo inakuwa ngumu sana kutoa sifa za kitu ambacho huna uhakika kuhusu uwepo wake.

Kuhusu haya majina Yesu na Mungu huwa nachanganyikiwa sana kuhusu sifa zao maana mara yesu ni mungu..mara mungu ni yesu.

Nimewaza tu tena kwa sauti kubwa.
 
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka?inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
ok,anaweza kuacha maagizo kwa wasaidizi wake,je ile sauti toka mbinguni wakati yesu anabatizwa na yohana mbatizaji,ilikuwa ya nani.?au msaidizi?
 
Kama ni muweza wa kila jambo mpaka la kesho tusilolijua anashindwa nini kuweka work plan yake akayatiisha mambo kwa siku tatu asizokuwepo mpaka alipofufuka?inawezeka kwa MUNGU na kwa binadamu haiwezekani
Mungu wa kiislamu hawezi hili akifa kafa kibudu.

Kifo amekikuta hajakiumba.
 
Looking from another angle.
Mary was supposed to be joseph wife,they were living together,when mary got pregnant via what they say was holyspirit,josef wanted to divorce her,


buuut the kicker is,in jewish tradition you can live with a women as a wife without consumating the marriage,how sure are we that jesus was not joseph son?

Matthew 1:17-19New International Version (NIV)
17 Thus there were fourteen generations in all from Abraham to David, fourteen from David to the exile to Babylon, and fourteen from the exile to the Messiah.
Joseph Accepts Jesus as His Son
18 This is how the birth of Jesus the Messiah came about[ a]: His mother Mary was pledged to be married to Joseph, but before they came together, she was found to be pregnant through the Holy Spirit.19 Because Joseph her husband was faithful to the law, and yet[ b]did not want to expose her to public disgrace, he had in mind to divorce her quietly.
 
Looking from another angle.
Mary was supposed to be joseph wife,they were living together,when mary get pregnant via what they say was holyspirit,josef wanted to divorce her,


buuut the kicker is,in jewish tradition you can live with a women as a wife without consumating the marriage,how sure are we that jesus was not joseph son?

Matthew 1:17-19New International Version (NIV)
17 Thus there were fourteen generations in all from Abraham to David, fourteen from David to the exile to Babylon, and fourteen from the exile to the Messiah.
Joseph Accepts Jesus as His Son
18 This is how the birth of Jesus the Messiah came about[ a]: His mother Mary was pledged to be married to Joseph, but before they came together, she was found to be pregnant through the Holy Spirit.19 Because Joseph her husband was faithful to the law, and yet[ b]did not want to expose her to public disgrace, he had in mind to divorce her quietly.
Mshatoka kwenye Uungu wa yesu sasa ni kama kweli mimba ilitungwa kwa tamko.
 
Elungata hakuna mahali Narismu sliishi oamoja na Yusufu. Ilikuwa uchumba. Mbona nukuu yako haisemi ivo?
 
BORA HUYU KULIKO NINYI,MNA MAFUNDISHO YA **AJABU**/IMANI AMBAYO MNAYAFICHA KUPITIA LUGHA YA *KIARABU** YAAN HATA WATOTO WANAOSOMA**MADRASA**WANGEKUWA WANASOMESHWA *QURAN*KWA LUGHA ZAO ASINGEKUWEM HATA MMOJ,MFANO,View attachment 407536View attachment 407538View attachment 407539View attachment 407540View attachment 407541View attachment 407542View attachment 407543View attachment 407544View attachment 407545View attachment 407546
imekaa vizuri Sura halisi ya Koran.... Kumbe Pepo ya Uislam ina Vilevi? kwa wale wanywao... nadhani watakafika huko break ya kwanza ni kwenye huo mto wa ulevi sipati picha wakitapika...

Hapo ndipo kuna utofauti na Pepo ya Wakristo inasema huko Hakuna kula,kuugua wala Mateso..

Mkuu weka na kile kipande cha Wanawake wenye makalio makubwa Saba peponi yaani ukifika huko ni kula mzigo mwanzo mwisho... ila Sharti lake ufanye Ugaidi😀😀😀😀

Ghafla visenti sina nimerudi Jamii forums....😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom