Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Lissa007 nimekijua maana umeshindwa kujua context ya maandiko niliyotoa,KATIKA MAANDIKO HAYO HATUKUW TUNAONGELEA KUWA "YESU NI ROHO"BALI *WAISLAM HAWANA ELIM YA MAMBO YA ROHO*KWA USHAHID WA QURAN,Umejuaje kama hakilingani? Wewe ni muongo.PERIOD!!!
Hivi wewe kumbe ni kiazi zaidi ya ninavyokukadiria eti[emoji53] [emoji53] [emoji53] .Kwikwikwikwi wakorinto nimekunyooshaa! Explain hayo verse ya bible ndo uje uniambie mm nikasome.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] una siku ya ngapi humu.dah!, mimi ni mkristo kabsa lakin kamwe cjawai n ctawai kuamin kua yesu kristu n mungu. coz ata ktk biblia cku y mwisho yesu kristo alpokua anakufa alisema "mungu wang, mungu wangu mboni umeniacha!!!" so hii inamaanisha kua yupo mungu muumba mbingu n dunia na yesu alkuja apa dunian ili awe kama njia na wote tumuaminie yeye n mafundsho yake 2pate kuokoka n hukumu ya kihama, but now days watu twafuata xana mafundisho y paulo kulko ata ya yesu mwenyewe. please yatupasa tusome biblia tuitafakar n tuielewe
Mkorinto kubaliana na akili yake,leo katuhakikishia kuwa MUHAMMAD katumw dunian na YESU(kwa mujb wa aya yake John 14:16)Swal,NI NAN HUWA ANATUM/ANACHAGUAHivi wewe kumbe ni kiazi zaidi ya ninavyokukadiria eti[emoji53] [emoji53] [emoji53] .
Huyu ni wa kuhurumiwa maskini, hakajui kwamba hata kakiamua kubadili maana bado kanaharibu upande wake.Mkorinto kubaliana na akili yake,leo katuhakikishia kuwa MUHAMMAD katumw dunian na YESU(kwa mujb wa aya yake John 14:16)Swal,NI NAN HUWA ANATUM/ANACHAGUAView attachment 410210View attachment 410211 MITUME NA MANABII DUNIAN?
Halafu eti kanabisha YESU SI ROHO wa MUNGU ndan ya QURAN yak kaambie kasome hapa!!.Huyu ni wa kuhurumiwa maskini, hakajui kwamba hata kakiamua kubadili maana bado kanaharibu upande wake.
Kanashuka tu.
Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhhAcha uongo Quran gani? Kwny Quran yesu ni mtume wa mungu,kwa maana nyingine ni mtu acha uongi wewe
Juzuu ama ipi unayosem wew kuwa SIJAHIFADH? hiyo yenye sura 30 au kuna nyingine imekuja mpya[emoji3] [emoji3] [emoji3] ?hivi hizo aya ninazowek UNATAKA KUKANA SI QURAN AU?..Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhh
Tufahamishane bhan kama kuna juzuu "Amma" nyingn imekuj nikaongez ilim,lakn kama ndo hiyo iliyop sikuzote Nimehifadh yote Mkuu!!..Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhh
Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli....Hivyo alikuwa ana-switch Uungu na ubinadamu alipokuwa hapa duniani.....
Kelele za nini Nipe maana ya alif lam mim...walahi we we so muumin Bali no kafi&%$# innsui..Juzuu ama ipi unayosem wew kuwa SIJAHIFADH? hiyo yenye sura 30 au kuna nyingine imekuja mpya[emoji3] [emoji3] [emoji3] ?hivi hizo aya ninazowek UNATAKA KUKANA SI QURAN AU?..
Unataka kuwajua MAKAFIRI?ngoj NIKUFUNDISHE kidogo hapo,ukija kijinga utajibiw hivyo hyo,kwa mujibu wa Quran makafiri wapo kam ifuatavyo,Kelele za nini Nipe maana ya alif lam mim...walahi we we so muumin Bali no kafi&%$# innsui..
Dukeson ulikuwa wapi hukuonekana muda mrefu. We ni size yao.Toka huko hata sisi tulikuw huko huko,usilazimishe mambo yasiyowezekan yawezekane,YESU NI MUNGU TU kataa,lia,kufa atabak hivyo hivyo!!..View attachment 410294
takbiriiii [emoji109]Unataka kuwajua MAKAFIRI?ngoj NIKUFUNDISHE kidogo hapo,ukija kijinga utajibiw hivyo hyo,kwa mujibu wa Quran makafiri wapo kam ifuatavyo,
1:Wanaoishi Makkah(Mji wen mtukufu)
2:Wanaojenga misikiti(waislam),S0MA HAPA,View attachment 410286View attachment 410287Mtume wako anatujua kuwa si Makifiri bali "AHLUL-KITAAB"(Watu tuliopewa kitab kabla yenu)LETE UJINGA TENA NAKUSUBIRI,
Toka huko hata sisi tulikuw huko huko,usilazimishe mambo yasiyowezekan yawezekane,YESU NI MUNGU TU kataa,lia,kufa atabak hivyo hivyo!!..View attachment 410294
Jesus is basically GOD,thanks for acceptance Mr Mgen!!..takbiriiii [emoji109]