Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Umejuaje kama hakilingani? Wewe ni muongo.PERIOD!!!
Lissa007 nimekijua maana umeshindwa kujua context ya maandiko niliyotoa,KATIKA MAANDIKO HAYO HATUKUW TUNAONGELEA KUWA "YESU NI ROHO"BALI *WAISLAM HAWANA ELIM YA MAMBO YA ROHO*KWA USHAHID WA QURAN,
1475313952586.jpg
ILA UKITAKA AYA KUW 'YESU" NI ROHO NDANI YA QURAN NAKUONYESHA,
 
dah!, mimi ni mkristo kabsa lakin kamwe cjawai n ctawai kuamin kua yesu kristu n mungu. coz ata ktk biblia cku y mwisho yesu kristo alpokua anakufa alisema "mungu wang, mungu wangu mboni umeniacha!!!" so hii inamaanisha kua yupo mungu muumba mbingu n dunia na yesu alkuja apa dunian ili awe kama njia na wote tumuaminie yeye n mafundsho yake 2pate kuokoka n hukumu ya kihama, but now days watu twafuata xana mafundisho y paulo kulko ata ya yesu mwenyewe. please yatupasa tusome biblia tuitafakar n tuielewe
[emoji38] [emoji38] [emoji38] una siku ya ngapi humu.

Hii michezo yenu ni ya kitoto.mkue sasa.fallla kweli wewe.
 
Hivi wewe kumbe ni kiazi zaidi ya ninavyokukadiria eti[emoji53] [emoji53] [emoji53] .
Mkorinto kubaliana na akili yake,leo katuhakikishia kuwa MUHAMMAD katumw dunian na YESU(kwa mujb wa aya yake John 14:16)Swal,NI NAN HUWA ANATUM/ANACHAGUA
1475314792810.jpg
1475314797374.jpg
MITUME NA MANABII DUNIAN?
 
Acha uongo Quran gani? Kwny Quran yesu ni mtume wa mungu,kwa maana nyingine ni mtu acha uongi wewe
Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhh
 
Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhh
Juzuu ama ipi unayosem wew kuwa SIJAHIFADH? hiyo yenye sura 30 au kuna nyingine imekuja mpya[emoji3] [emoji3] [emoji3] ?hivi hizo aya ninazowek UNATAKA KUKANA SI QURAN AU?..
 
Hata juzuu amma hujahifadhi...afu unaleta mbango na kubishia bishia!; kasome au kamuulize shehe wako (qulani sura ya.4:169) waisilamu dirisha dogo no janga..hhhhhhhhh
Tufahamishane bhan kama kuna juzuu "Amma" nyingn imekuj nikaongez ilim,lakn kama ndo hiyo iliyop sikuzote Nimehifadh yote Mkuu!!..
 
Mimi upande huu sinaga cha kusema maana dini yenyewe tumeletewa na wazungu na yesu tunamuona ni mzungu kwa hiyoo mi nawaachia wazungu haya mambo naamini kunae Mungu ila si kufatisha vitu hizi
 
Juzuu ama ipi unayosem wew kuwa SIJAHIFADH? hiyo yenye sura 30 au kuna nyingine imekuja mpya[emoji3] [emoji3] [emoji3] ?hivi hizo aya ninazowek UNATAKA KUKANA SI QURAN AU?..
Kelele za nini Nipe maana ya alif lam mim...walahi we we so muumin Bali no kafi&%$# innsui..
 
Hiyo tafsiri ya Biblia ya Dotto C. Rangimoto imetokana na akili ya nyenyere! Huna uelewa na Biblia kabisa!!
 
Kelele za nini Nipe maana ya alif lam mim...walahi we we so muumin Bali no kafi&%$# innsui..
Unataka kuwajua MAKAFIRI?ngoj NIKUFUNDISHE kidogo hapo,ukija kijinga utajibiw hivyo hyo,kwa mujibu wa Quran makafiri wapo kam ifuatavyo,
1:Wanaoishi Makkah(Mji wen mtukufu)
2:Wanaojenga misikiti(waislam),S0MA HAPA,
1475322935633.jpg
1475322941809.jpg
Mtume wako anatujua kuwa si Makifiri bali "AHLUL-KITAAB"(Watu tuliopewa kitab kabla yenu)LETE UJINGA TENA NAKUSUBIRI,
 
Toka huko hata sisi tulikuw huko huko,usilazimishe mambo yasiyowezekan yawezekane,YESU NI MUNGU TU kataa,lia,kufa atabak hivyo hivyo!!..
1475323765245.jpg
 
Unataka kuwajua MAKAFIRI?ngoj NIKUFUNDISHE kidogo hapo,ukija kijinga utajibiw hivyo hyo,kwa mujibu wa Quran makafiri wapo kam ifuatavyo,
1:Wanaoishi Makkah(Mji wen mtukufu)
2:Wanaojenga misikiti(waislam),S0MA HAPA,View attachment 410286View attachment 410287Mtume wako anatujua kuwa si Makifiri bali "AHLUL-KITAAB"(Watu tuliopewa kitab kabla yenu)LETE UJINGA TENA NAKUSUBIRI,
takbiriiii [emoji109]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom