Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Sasa kama hayo maandiko ameandika mvaa GAUNI mwenzio shida yake nn?angeandika Mkristo usingeona hivyo vyeo mbele ya majina ya mitume mf,Daud(a.s)
 
Sasa wewe wa nafsi tatu za uungu ndio nataka unijibie maswali yangu ya huo utatu kama utanielewesha vizuri basi utanipeleka kanisani ila maswali yangu ni ya kutumia akili hivyo kabla ya kunijibu kwanza rudia kusoma swali kisha changanua kisha unijibu.

Swali La kwanza lililonipa mashaka na imani ya kikristo ni hili nijiuliza hapa:

Kuwa mtoto ni kuwa chini ya daraja ya uungu na kuwa na uungu ni kutokuwa mtoto wa yoyote. Vipi Yesu atakuwa na sifa ya utoto na uungu kwa wakati mmoja?
 
Hamna kitu kama hicho nipe mstari kuonyesha yakobo .halafu nipe heshima ni nyiokunda
 

Hapo tatizo la kujiuliza ni zile ibada walizo kuwa wanafanya makafir wa kikureshi pale al kaaba muhammad aliendelea kkuziimarisha!; mf; tawaf, kutufu, kuzunguka safaa na marwa, kunyoa nywele na kukata kucha, kupopoa mawe, ka-update hapa, wale makureshi walikuwa uchi uchi uchi yeye kaboresha muwe nusu uchi unavaa vipande viwili vya ihram bila chupi kimoja juu kimoja chini, kuchinja, ndoa za muta...vyote hivyo aliviendeleza kiibada...kama alivyo Fanya baba take ambaye aliitwa and allah jina lenye maana ya mtumishi wa Allah...hapo ndipo ujue ghilba za muhammad na Mungu wake aliye mtoa mfukoni...
 
Wewe nimekwambia ukristo ni baada ya kristo.nisome usikurupuke.

Harafu unaposema uislamu ni dini ya watu wakale kabla ya yesu, uje na jibu kwanini mwaka wa kiislamu mpaka sasa ni 1600???
Mkuu atalitoa wapi MUDI kashamharibia kuw yey ndo mwislam wa KWANZA DUNIAN?
 
Kapige azana kwa kikurya uone allah kama atakusikia na bakora za makalio utatandikwa na wafuasi wa allah...[/QUOTE]
Huwezi kupiga adhana kikulya kwasabu adhana apigiwi Mungu bali anapigiwa waumini kwa waumini kuhimizana kuwa muda wa ibada imewadia na ibada ni haki na wajibu wa kila muumin haijalishi mmakonde au mlugulu au muhazabe. Hivyo inapigwa adhana kwa lugha iliyo rasmi kumuwezesha hata kama kuna muislam mkimbizi kutoka vatican yupo eneo la karibu anapata kujua kwamba hapa nakumbushwa wakati wa ibada na pia katika adhana anapata kusikia maneno na sifa za Mwenyezi Mungu hata kama yeye ni muislam kutoka italy lakini anajua kinachoendelea hivyo atajongea msikitini kuambatana na wamakonde ibadani.
 

Muhammad hakuyajua hayo hadi amewapa Wakristo darja la wacha Mungu na Wasomi? Ref; kuluani.5:82..hhhhhhhhh...
 
Yaani wewe una itafikia biblia haswaaa sijui hawaelewi wapi ?Mungu awaongoze kwakweli maana mengine ni kwa rehema tu.
 
Kapige azana kwa kikuryatone allah kama atakusikia na bakora za makalio utatandikwa na wafuasi wa allah...
Huwezi kupiga adhana kikulya kwasabu adhana apigiwi Mungu bali anapigiwa waumini kwa waumini kuhimizana kuwa muda wa ibada imewadia na ibada ni haki na wajibu wa kila muumin haijalishi mmakonde au mlugulu au muhazabe. Hivyo inapigwa adhana kwa lugha iliyo rasmi kumuwezesha hata kama kuna muislam mkimbizi kutoka vatican yupo eneo la karibu anapata kujua kwamba hapa nakumbushwa wakati wa ibada na pia katika adhana anapata kusikia maneno na sifa za Mwenyezi Mungu hata kama yeye ni muislam kutoka italy lakini anajua kinachoendelea hivyo atajongea msikitini kuambatana na wamakonde ibadani.[/QUOTE]
Kwa hiyo muumini asiyejua kiarabu anaona kelele kama jogoo anawika eeh..wazimu ni fani tobaa...
 
Wewe hujui ukristo wala harufu yake, usichekeshe watu bwana.

Ungeujua ukristo, usingeanza kubabika kuhusu kuitikia wala utafanya nini ukiwa kanisani china au japan.

Kwa akili yako wewe kusali kwa wakristo ni kupiga magoti kuimba na kuitikia?????
Ibada ya kikristo imeambata na maneno na vitendo. Hakuna dhehebu hata moja linalofanya ibada kibubu bubu. Kuna mahubiri, somo (RC) unapaswa kujua kinachoongeleka ni nini. Na pia lazima sawa na padri au mchungaji anachokizungumza. Kama wewe ni mswahili halafu padri anaongea kispania wakati wewe hujui kihispania ni wazi kabisa utakuja haujui anachoongea padri au mchungaji
 
Hamna kitu kama hicho nipe mstari kuonyesha yakobo .halafu nipe heshima ni nyiokunda
sorry,haya majina ya kikabila inatakiwa uandike huku unatazamia vinginevyo unakosea spelling,
kwani mkuu huna habari yakobo alipigana mieleka na jehova na akamshinda?
Na hapo ndo akaitwa ISRAEL,
Nachouliza kwanini aitwe israel wakati El ilikuwa ni deity ya wacaanan?
Bado yakobo alijenga sehemu ya kuabudia iliyoitwa Beitel- yaani nyumba ya mungu,
unadhani ni kwanini baada ya israel kutawanyika,jerusalem ndo ulifanya mji mtakatifu na si BeithEl?.


Kumbuka pia katika bible kuna watu wana majina mfano-
AbdiEl.

Hilo jina abdiel ni sawa na jina la kiarabu AbdaAllah,maana yana maana moja,which means El na allah ni the same meaning.

Which means abraham aliabudu El ndo maana hata mtoto wake alimwita ISHMAEL,
Kama nilivyosema El na Allah ni kitu kilele tofauti matamshi,nahiyo maana yake abraham aliabudu Allah na si jehova au yesu.


Sasa hebu nitupie ka aya kamoja ka biblia kakionyesha abraham akiabudu jehova?
 
Amesema pia ANATAKA andiko kuw wap kweny BIBLIA sijui et Manabii walikuw WAKIRSTO?nataka kwanza ajue kuitwa MKIRSTO bahati san,pil aya zifuatazo zaonyesh kuw MANABII WOTE WALIBATIZWA,sasa atuambie kat ya sis na Wao Ubatizo akina nan wana hiyo sifa?SIJUI HUKO KUSILIMISHANA MMEKUTOA WAP,CHAKA MLILOINGIZWA NA "ASIYEJUA KUSOMA" HAMPON KWAMWE.
 
Inategemea umeenda kufanya nini.

Kusali ama kisikiliza anachoongea, ilhali unajua yeye ni mholanzi wewe ni msukuma.utang'ang'ania umuelewe!!!!!!
 
lugha lmani ya Wakeisto wewe in usiku wa Giza...ninachoona una wazimu wa maswali basi.. Ref 1Tm.6:3-5
 
ha ha ha,kwahiyo kuzunguka na kukata kucha ni upagani?
Ulitaka waenda na suit ya vipande vitatu,hivi walijua joto la kule wewe?,
 
8:8 yeremia .......sisi tuna akili na taurati ya bwana ipo pamoja nasi tazama kalamu ya mwandishi imeifanya taurati kuwa uongo. my take biblia siyo reliable source, ndio maana inajichanganya sehemu nyingi paulo anawapoteza
 
Kwanza umesema uongo. Maandiko yako yote hakuna neno dini ya ukristo. Halafu pili katika hilo andiko la ibrahim ulilotoa hakukusema ibrahim ni mkristo. Na jambo la tatu ni kwamba hakuna andiko lililoonesha kubatizwa kwa daudu, musa na ibrahim hivyo ni wazi hawakubatizwa. Na jambo la mwisho ni kwamba kama unadai ya kwamba ubatizo ulikuwepo tangu zamani je ni nani aliyekuwa mbatizaji wa hao watu kabla ya kuja yohana?
 
lugha lmani ya Wakeisto wewe in usiku wa Giza...ninachoona una wazimu wa maswali basi..
huwezi kujibu maana upeo wako sio mrefu,
wewe saa hizi unawaza kuwahi kwa ngwajima akuombee ununue kibabywalker afu jumapili uende na funguo wa gari na utoe ushuhuda,"bwana amenibariki sana mchungaji uliponiombea nimefanikiwa kununua gari,na ufunguo ndo huu,sasa nimeanza kujenga nyuma,Bwana wetu yesu asifiwe sana"

hujiuliza mbona kule china wanaabudu budha na wanajenga na kumiliki vitu vya hatari wao nani anawabariki?
 
Kubishana na muislamu ni kitu kigumu sababu Quran yote imeandikwa kuupinga ukristo... Huyu mungu tunayembishania hapa hakuna nabii yoyote ambaye ameshawahi kumuona isipokuwa Yule aliyetoka kwake Yesu kristo na ambaye yuko mbinguni hivi sasa ameketi mkono wa kuume wa Baba yake. Muhammad yupo kaburini, jiulize swali kwa nini Allah alishindwa kumuokoa muhammad lakini akamuokoa yesu. Je yesu c mkuu kuliko muhammad.. Katika manabii wote ni muhammad tu ambaye hakuongea na mungu direct yeye ni jibril tu halafu hakuna hata shahidi aliyemuona huyo jibril..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…