Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] ila we jamaa daah haya bhana!!..Jahahahaha kwahyo yakobo ndo alikua mtoa roho au maana Israeli ni mtoa roho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] ila we jamaa daah haya bhana!!..Jahahahaha kwahyo yakobo ndo alikua mtoa roho au maana Israeli ni mtoa roho.
Nyie jamaa mna akili za ajabu sana.Jahahahaha kwahyo yakobo ndo alikua mtoa roho au maana Israeli ni mtoa roho.
Sema wewe kabla ya muham mad ibada hizo alifanya mtume gani zaidi ya makafir wa kikureshi [emoji351] [emoji12] [emoji4]
Ha haa,roho mtakatifu anatakiwa anguongoze utakuja badilika tu siku moja.
Swali dogo mbona unaleta bla bla [emoji351] wewe kwa maandiko yako umekubali itikadi ya uwana kama ilivyo andikwa ndani ya Biblia Takatifu [emoji120] jee allah anakubaliana na sisi [emoji351] [emoji351] [emoji350] [emoji350] [emoji348]Kwanza mimi siabudu kiumbe. Kiumbe maana yake ni chochote kilichoumbwa, unayeabudu kiumbe ni wewe. Kuhusu mwana wa mungu; mimi nimekuonesha kwamba katika biblia yako kuna neno "wana wa Mungu" kwa wengi tu zaidi ya yesu. Hivyo ukiweka kigezo cha kumfanya yesu kuwa mungu kutokana na kuandikwa kwake mwana wa mungu basi na hao wengineo pia ni miungu yenu. Quran imesema wazi kwamba Mungu hakuzaa wala kuzaliwa. Sasa ukisema kwamba itikadi yenu ni sahihi katika hoja ya uwana wa mungu ki baiolojia (kuzaa) basi naomba utoe andiko jinsi hao wana wa mungu wote hao jinsi mungu alivyowazaa. Ukishindwa kutoa andiko basi ni wazi ya kwamba suala la neno "mwana wa mungu" lipo katika biblical linguistic tu (ni swala lugha ya kibiblia tu) Ambapo wana wa mungu likiwamaanisha watu (manabii) watendao mema kwa mungu (wacha mungu) hivyo hiyo verse ya QURAN itakuwa imebakia katika uhalisia ya kwamba MUNGU HAKUZAA WALA KUZALIWA. Haya nasubiria maandiko unipe sasa.
Gavana WAKATI MWINGINE UTUMIE AKILI KIDOGO, HILO CHAPISHO UNALOLITAKA WEW LA BIBLIA KUWA NDIO SAHIH"ULISHAWAHI KULIONA"AU BAADA YA KUDANGANYWA NAWW UKAINGIA MOJ KWA MOJ, SWAL,""*Hivyo vifungu unavyoquote unavitoa kweny Biblia ipi(isiyochakachuliwa au iliyochakachuliwa)?...Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
By then MBONA HATA QURAN INA MACHAPISHO MENGI HUSEMI?AU NIKUORODHESHEE HAPA,wew ni MTU mzima acha kukaririshw,*IMITATION IS LIMITATION*naanza kuamin hata huko masjid kumb hamfundshn uislam bal UKRISTO,maan hoja zenu ni zile zile,Paul sio Mtume,Yesu si MUNGU,Biblia imechakachuliw...Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Nikitoa maandiko mbona hamjibu mnakimbia,JANA NIMETOA MAANDIKO MUHAMMAD NDIE MUISLAM WA KWANZA DUNIAN,mbon hujapinga,sijasahau nakusubir,Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
By then MBONA HATA QURAN INA MACHAPISHO MENGI HUSEMI?AU NIKUORODHESHEE HAPA,wew ni MTU mzima acha kukaririshw,*IMITATION IS LIMITATION*naanza kuamin hata huko masjid kumb hamfundshn uislam bal UKRISTO,maan hoja zenu ni zile zile,Paul sio Mtume,Yesu si MUNGU,Biblia imechakachuliw...
Nikitoa maandiko mbona hamjibu mnakimbia,JANA NIMETOA MAANDIKO MUHAMMAD NDIE MUISLAM WA KWANZA DUNIAN,mbon hujapinga,sijasahau nakusubir,
Kalamu ya waandishi hapo umesema kweli!; ona hii > Yesu anasema Peponi mtaishi kama Malaika!; mwandishi Muhammad anasema sio huko kuna kungonoka na dhakar Haifa sinyaa...Yesu anasema Usiape...Muhammad anasema sivyo naapa kwa shafi na witri, naapa kwa aliyeumba dhakar na kum#&...hhhhhhhh...umeona kalamu ya allah na Muhammad walivyo tia mkono kwa kalamu yao?8:8 yeremia .......sisi tuna akili na taurati ya bwana ipo pamoja nasi tazama kalamu ya mwandishi imeifanya taurati kuwa uongo. my take biblia siyo reliable source, ndio maana inajichanganya sehemu nyingi paulo anawapoteza

Hata Muhammad amekuonya kama hujui seen kaa kimya ufunge domo lako..! Ukristo ulibainishwa na Yesu Mwenyewe aliposema nyinyi ni Wakristo ref; Marko 9:41!; kama tz, kenya, uganda, antiokia...haijalishi ulianza lini kwa mara ya kwanza...dhahir eeh?!Yaani baada ya kuleta kwa maandiko una ongea ngonjera. Mafundisho Ukristo ulianza antokia baada ya yesu kuondoka. Sasa si ukatae kwa hoja zilizowazi au huna utetezi?
Matendo 11:25-26
Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia
Nimekosea hebu weka q.4:171 uone Allah anamfunua Masihi kwamba no Neno na Roho ya Mungu...nano kati ya mitume aliye tambulishwa kihivyo?Kiongoz hio aya 169 al baqara haisemi hvyo,kuwaAllah kasema yesu ni neno,soma hii aya... إِنَّمَا يَأْمُرُكُم بِالسُّوءِ وَالْفَحْشَاءِ وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ
Tafair :Hakika anawaamrisheni(shetani) kufanya uovu na machafu na kuwafanyeni mseme msio yajua (uongo) kuhu Allah..
Sasa hebu onyesha ni sehem gan ktka aya hii Allah kasemaYESU NI NENO.. Au kuna aya nyengine ya 169 kwenye baqara???
Unaropoka halaf umeweka avata ya Allah,
Hao wameanzisha wenyewe mchezo wa kurushiana mawe huku wanajua kabsaa nyumba yao ni ya vioo...kama hawakujua ndio tunawajulisha! Mpaka wakome kumtukana Mungu wetu Yesu!; ref; Yuda.1:4...Wewe Bwana fuata mambo ya dini yako usiparamie imani za watu zisizo kuhusu na wala usizozijua ya dini yako yenyewe yanakushinda utazijulia wapi ya dini za wenzako,au unataka na sisi tuanze kuzungumza ya dini yako halafu uanze kujilipua/kijuta mhanga eti unafia dini!
Kujishughulisha na pepo
Hii ni ibada nyimsingi katika dini ya Kikristo. Hata hivyo, katika kutilia mkazo makemeo yake dhidi ya ibada hiyo potofu, Yehova aliwaambia wanadamu kama ifuatavyo:
"Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu". (Mambo ya Walawi 19:31)
"Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na mitano katika Yerusalemu; ... Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawa sawa na machukizo ya mataifa; ... akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, ... akafanya mabaya mengi machoni pa BWANA, hata kumkasirisha". (2 Wafalme 21:1-6)
"Tena mtu mume na mtu mke aliye na pepo au aliye mchawi, hakika atauawa, watawapiga kwa mawe, damu yao itakuwa juu yao". (Mambo ya Walawi 20:27)
Kulingana na maandiko hayo juu, hapo Yehova kwa ujumla anawataka wanadamu wasishirikiane kabisa na watu wenye pepo, bali wajitenge nao mbali kabisa. Zaidi ya hivyo, mbali ya amri hiyo pia Yehova ameamuru wenye pepo wauawe kabisa na si kuacha kujishughulisha nao tu.
Pamoja na makemeo hayo ya Yehova dhidi ya yeyote anayejishughulisha na pepo, lakini muasisi wa Ukristo, Bwana Paulo anasema:
"Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka; juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho". (Waefeso 6:12)
Kulingana na maelezo hayo ya Paulo hapo juu, tunaona wazi kwamba wakati Yehova amefikia kuamuru kuuawa yeyote atakayebainika akijishughulisha na pepo, hapo juu Bwana Paulo anawataka watu wajishughulishe na pepo kwa kushindana nayo!
Na kama ilivyo desturi yao kuuandikia Ukristo wa Paulo, waandishi wa agano jipya katika kusherehesha mafundisho hayo ya 'mwalimu wao' (ya kuruhusu watu washindane na pepo), wamethubutu kuonyesha katika Injili zao kuwa ati Bwana Yesu (a.s.) aliwahi kujishughulisha na pepo na kuwaagiza wafuasi wake wafanye hivyo! (Tazama Mathayo 8:28-32; 15:21-28; Marko 5:1-13; 7:24-30; 9:38-40; 16:17; Luka 8:26-33).
Pamoja na Paulo na washereheshaji wa mafundisho yake hayo kuhubiri mafundisho hayo ya dini yao ya Kikristo, lakini wanafahamu fika kwamba Bwana Yesu (a.s.) kamwe hawezi kusema au kutenda jambo lolote lililokatazwa na Yehova aliyemtuma, kama hilo la kujishughulisha na ibada hiyo (ya kujishughulisha na pepo) ambayo imetokana na wapagani.
Kwa ujumla basi, katika kufuata mafundisho hayo ya Paulo, ndio utaona mpaka leo Wakristo hasa walokole hujishughulisha sana na pepo katika mikutano yao ya wazi wanayoiita ya "neno la Mungu", "December Crussade", "November Crussade" na kadhalika. Huku wakijua wazi kwamba asili ya ibada hii imetokana na wapagani na Yehova ameikemea vikali sana!
Jibu we we acha uzwazwa...huwezi jidunge ndoba usepe...Soma heading ya thread kwanza ,hayo unayoleta peke yake ni thread, fungua utajibiwa kwa uwazi