Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Majibu ndio hayo, nyie mungu wenu ndie mlezi wa Shetani.

Sawa , Njoo kwenye thread

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile? Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Huwa unatumia Quran ya SHEKH ABDU SALEH FARSY?..

Umeanza kuchanganyikiwa ?? Shekh Abdu saleh Farsy ni nani huyo ???

Kulingana na mambo yanayotatanisha katika Biblia, ni vipi Wakristo wanaweza kuamua kwa wingi wa theluthi mbili yapi ni maneno ya Mungu na yapi si maneno ya Mungu kama tangulizi ya baadhi ya Biblia zinavyosema kama ilivyosema ile ya RSV?

Kwanini Luka katika maandiko yake anazungumzia kupaa kwa Yesu kuwa ilikuwa ni siku ya Pasaka, na katika Matendo ya Mitume, maandiko ambayo yanajulikana kama yeye ndiye mwandishi, anasema alipaa siku arobaini baadae?

Ukoo wa Yesu umetajwa katika Matayo na Luka tu. Matayo iliorodhesha vizazi 26 kutoka Joseph hadi Daudi wakati Luka yeye iliorodhesha vizazi 41. ni Joseph tu anayeungana na Daudi katika orodha zote mbili.
Hakuna jina jingine hata moja lingana! Ikiwa hayo yalitolewa na Mungu neno kwa neno, vipi yatofautiane?

Baadhi wanadai kwamba moja ni kwa ajili ya Maria na moja ni kwa ya Joseph, lakini ni wapi alipotajwa Maria katika maandiko yote mawili?
 
Swadakta
 
Ibrahim hajui hata Uislam ni nini.

Uislam umeanza Karne ya 7 AD, na Abraham alikwepo miaka 2000 kabla ya Uislam. Una ushahidi alikuwa muislam?
 
Una matatizo ya kusahau kama mtume wako.
Mungu gani unae msema hapo, huyo Shetani anaejifanya Mungu, Mungu wa Wakristo au wa Wahindi...
 
Hawa jamaa dini yao haijitoshelezi wanaishia kulazimisha maandiko toka kwingine.
Inatakiwa wakiri kwamba dini yao ina upungufu, na waombe msaada kwa adabu, sio kujikombakomba na kulazimisha tabia zao za ki ibilisi
 
Kweli Yesu ni mwanaume, mapepo yakisikia Yesuuu!! Yanakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unauliza kitu na kutoa jibu lako la mfukoni wakti Allah amesha kwambia ilimu ya Roho huna, huna! Wewe una ilimu ya kukamuana ngama tu..hhhhhhh....
 
Wewe uliye na elimu ya Roho ,Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Sasa wewe......,

Huyu roho mtakatifu, unadhani ni kama yule aliyemtokea muhamad pangoni?? kwamba ghafla tu anakuvagaa.

Roho mtakatifu muda wote anahitaji kukaa kwako, tatizo ni ruhusa yako tu.
Huyu ukumbuke ni msimamizi kama ambavyo umesema, anakuongoza kuishika na kuitenda imani.

Unapomuomba Mungu kwa imani na unyenyekevu unamkaribisha huyo roho akusimamie.

Huku kukosewa kwa bible unakotaka wewe kuwe kwa sababu huelewi, bado sitakuwa na jibu la kukuridhisha.
 
Una matatizo ya kusahau kama mtume wako.
Mungu gani unae msema hapo, huyo Shetani anaejifanya Mungu, Mungu wa Wakristo au wa Wahindi...

Jibu maswali unayoulizwa hivi huyu anayedai anaongozwa na Roho mtakatifu ni nani ??? MKRISTO, MUISLAMU AU BANIANI ???

Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
TULIA NA ROHO MTAKATIFU WAKO , AKUSAIDIE UJIBU MASWALI KAMA ULIVYOULIZWA , USIBABAIKE

Nimekuuliza ni chapisho gani ambalo unaona li kinyume na Amri kumi za Mwenyezi[emoji47] [emoji351]si uliweke ili tujiridhishe wewe ni mkweli[emoji15] ni quluani tu ambayo iko kinyume na Amri.10 za Mwenyezi..[emoji4]
 
Hayo makosa unayo dai yamefanyika, kabla ya muhammad au baada ya muhammad[emoji47] [emoji351] [emoji4]
 
Nimekuuliza ni chapisho gani ambalo unaona li kinyume na Amri kumi za Mwenyezi[emoji47] [emoji351]si uliweke ili tujiridhishe wewe ni mkweli[emoji15] ni quluani tu ambayo iko kinyume na Amri.10 za Mwenyezi..[emoji4]

Amri kumi ndiyo majibu ya maswali haya ??? Unatafuta njia ya kujinasua lakini mtalimbo umeganda pabaya , huutoi ng`o

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
●Ni ishara kwamba iko sawa.maana angeisha twambia hata bila kumuuliza,roho mtakatifu sio wa hovyo hovyo, habahatishi kazi.
 
Kwa mujibu wa imani yangu we ni wa Shetani, sasa unapozidi kuhoji imani isiyo yako nazidi kuuona ufalme wa shetani ulivyotawala ndani yako.
 
●Ni ishara kwamba iko sawa.maana angeisha twambia hata bila kumuuliza,roho mtakatifu sio wa hovyo hovyo, habahatishi kazi.

Weka vizuri usijifiche , jibu maswali kwa msaada wa roho mtakatifu wako labda utajibu vizuri

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…