Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Mada:
Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu
Hayo uliyoyaleta ni mada peke yake . Fungua thread utajibiwa bila wasiwasi
Majibu ndio hayo, nyie mungu wenu ndie mlezi wa Shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada:
Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu
Hayo uliyoyaleta ni mada peke yake . Fungua thread utajibiwa bila wasiwasi
Majibu ndio hayo, nyie mungu wenu ndie mlezi wa Shetani.
Huwa unatumia Quran ya SHEKH ABDU SALEH FARSY?..
Hivi una aya yoyote inayosema Ibrahim alikuwa mkristo. Nakupa hili andiko hivyo pinga kwa kunipa andiko linalosema Ibrahim alikuwa ni mkristo.
Quran 3:65-67
Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?
66. Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina

Sawa , Njoo kwenye thread
Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu
Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile? Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?
Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?
Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Hawa jamaa dini yao haijitoshelezi wanaishia kulazimisha maandiko toka kwingine.Ibrahim hajui hata Uislam ni nini.
Uislam umeanza Karne ya 7 AD, na Abraham alikwepo miaka 2000 kabla ya Uislam. Una ushahidi alikuwa muislam?
Unauliza kitu na kutoa jibu lako la mfukoni wakti Allah amesha kwambia ilimu ya Roho huna, huna! Wewe una ilimu ya kukamuana ngama tu..hhhhhhh....Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Unauliza kitu na kutoa jibu lako la mfukoni wakti Allah amesha kwambia ilimu ya Roho huna, huna! Wewe una ilimu ya kukamuana ngama tu..hhhhhhh....
Sasa wewe......,Wewe uliye na elimu ya Roho ,Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Una matatizo ya kusahau kama mtume wako.
Mungu gani unae msema hapo, huyo Shetani anaejifanya Mungu, Mungu wa Wakristo au wa Wahindi...
Sasa wewe......,
Huyu roho mtakatifu, unadhani ni kama yule aliyemtokea muhamad pangoni?? kwamba ghafla tu anakuvagaa.
Roho mtakatifu muda wote anahitaji kukaa kwako, tatizo ni ruhusa yako tu.
Huyu ukumbuke ni msimamizi kama ambavyo umesema, anakuongoza kuishika na kuitenda imani.
Unapomuomba Mungu kwa imani na unyenyekevu unamkaribisha huyo roho akusimamie.
Huku kukosewa kwa bible unakotaka wewe kuwe kwa sababu huelewi, bado sitakuwa na jibu la kukuridhisha.
Nimekuuliza ni chapisho gani ambalo unaona li kinyume na Amri kumi za Mwenyezi[emoji47] [emoji351]si uliweke ili tujiridhishe wewe ni mkweli[emoji15] ni quluani tu ambayo iko kinyume na Amri.10 za Mwenyezi..[emoji4]Wewe uliye na elimu ya Roho ,Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Hayo makosa unayo dai yamefanyika, kabla ya muhammad au baada ya muhammad[emoji47] [emoji351] [emoji4]TULIA NA ROHO MTAKATIFU WAKO , AKUSAIDIE UJIBU MASWALI KAMA ULIVYOULIZWA , USIBABAIKE
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Nimekuuliza ni chapisho gani ambalo unaona li kinyume na Amri kumi za Mwenyezi[emoji47] [emoji351]si uliweke ili tujiridhishe wewe ni mkweli[emoji15] ni quluani tu ambayo iko kinyume na Amri.10 za Mwenyezi..[emoji4]
Nawee njoo huku tukubatize. Achana na dini gaidiKwenda kulee
●Ni ishara kwamba iko sawa.maana angeisha twambia hata bila kumuuliza,roho mtakatifu sio wa hovyo hovyo, habahatishi kazi.TULIA NA ROHO MTAKATIFU WAKO , AKUSAIDIE UJIBU MASWALI KAMA ULIVYOULIZWA , USIBABAIKE
●Maswali yenye kitambi kama haya hawezi shirikishwa.
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
●Hapa una maaana gani??????
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
●Hapa pia sijakupata unataka kuzungumza nini?? Embu tulia uulize swali lieleweke.
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
●sababu umeumbwa na utashi yanini akushikie panga mkuu, usipofuata shauri yako.
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
●roho mtakatifu hamuongozi mtu katika dhambi/kubadili dini.
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
●sasa si mpaka ukute hayo unayoyaita makosa, na uwe na reference pia, kwamba yalikosewa.
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Jibu maswali unayoulizwa hivi huyu anayedai anaongozwa na Roho mtakatifu ni nani ??? MKRISTO, MUISLAMU AU BANIANI ???
Ukimaliza ngojera , jibu haya maswali,
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
●Ni ishara kwamba iko sawa.maana angeisha twambia hata bila kumuuliza,roho mtakatifu sio wa hovyo hovyo, habahatishi kazi.