Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Hivi tunaposema Mungu ni muweza wa kila kitu, ni kasoro vitu gani??????

Viainishe hapa tupate pa kuanzia, maana naona kuna watu mnajichanganya.
Mungu ni muweza wa kila kitu isipokuwa

Yakobo 1:17

Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka
 
Sasa katika ujio wa yesu katika umbo la binaadamu unaweza nionyesha kuna kubadilika kokote au kugeuka geuka?
 
Kuna watu wanafundishwa ku criticize. Mteule ukiingia katika huo mkumbo mmeula wa chula.

Acheni wafu wawazike wafu wenzao .
 
Hivi tunaposema Mungu ni muweza wa kila kitu, ni kasoro vitu gani??????

Viainishe hapa tupate pa kuanzia, maana naona kuna watu mnajichanganya.

Mungu ni muweza wa kufanya mambo ya kiungu , anapofanya mambo ya kibinadamu anakuwa si Mungu tena .

Mungu hawezi kula akaenda chooni,

Mungu hawezi kulawiti , kunywa pombe , kufanya sex na yote mengine anayofanya binadamu
 
Swali ninalojiuliza japo nami ni Christian, Je yesu alizaliwa na Mama Maria, Hapo hapo tunaambiwa Yesu ni Mungu. Je inakuwaje Mungu amezaliwa tena, kwa hiyo mama Maria aliumbwa na nani kabla hajamzaa Yesu?

Inamaana kulikuwa na Mungu mwingine aliyemuumba Mama Maria na ulimwengu halafu baadae Yesu alipozaliwa ndio akaitwa Mungu tena?!!!!
 
Hili hata wewe ukiamua hufanyi. natania????
 
Sasa katika ujio wa yesu katika umbo la binaadamu unaweza nionyesha kuna kubadilika kokote au kugeuka geuka??????
Kwani andiko hukulielewa Mungu hawezi kujibadilisha kuwa binadamu. Mungu na yesu ni wawili tofauti. Sasa kama yesu alijibadilisha kuwa mungu je yesu alivyokuwa duniani ali mcha Mungu yupi tena?

Waebrania 5:7

Vivyo hivyo Kristo naye hakujitukuza nafsi yake kufanywa kuhani mkuu, lakini yeye aliyemwambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
6 kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani wa milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
7 Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;
 
Hakuna sehemu imeandikwa hawezi kujibadilisha kuwa binadamu au mbuzi akitaka.hukumuelewa mwenye andiko.

Anamaanisha kila kitokacho mikononi mwa Mungu hakina kasoro,kina uhakika hakiihitaji mabadiliko.
 
Kwamjibu wa bible jehova pia ni mwana wa mungu,hapo ndo uone hawa waandishi walikuwa wanajiandikia tu, shetani pia ni mwana wa mungu, ukisoma ayub kama sikosei katika kusanyiko la wana wa mungu shetani nae alikuwepo,mungu akamwuliza unatokea wapi bana?",
shetan akamjibu natoka matembezi huko duniani.

Mungu akamwuliza unamuonaje mtumishi wangu ayub?
Shetani akamjibu,"pale hamna kitu,vipi tumtest imani yake.......
 
Usilewe mtoto mzuri eh.

Jenga tabia ya kuwa unaisoma bible kama hukupitia sundayschool, anzia mwanzo mpaka ufunuo.

Kama huwezi acha kuifikiria utawehuka.
 
Hakuna sehemu imeandikwa hawezi kujibadilisha kuwa binadamu au mbuzi akitaka.hukumuelewa mwenye andiko.

Anamaanisha kila kitokacho mikononi mwa Mungu hakina kasoro,kina uhakika hakiihitaji mabadiliko.
Nimekuuliza kama yesu ni mungu aliyejibadilisha kuwa binadamu, katika andiko la waebrania 5:7 linasema kuwa yesu alikuwa mcha Mungu. Je yesu ali mcha Mungu yupi wakati yeye mwenyewe ndiye aliyejibadilisha kutoka kwenye uungu na kuwa binadamu duniani?
 
Yesu sio Mungu ,wala mwenyewe hajawai kusema yeye ni Mungu
 
ahahaa mkuu ngoja waje wana wa gwajima utakoma
 
Nimekuuliza kama yesu ni mungu aliyejibadilisha kuwa binadamu, katika andiko la waebrania 5:7 linasema kuwa yesu alikuwa mcha Mungu. Je yesu ali mcha Mungu yupi wakati yeye mwenyewe ndiye aliyejibadilisha kutoka kwenye uungu na kuwa binadamu duniani?
Yesu alimcha Mungu baba wa mbinguni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…