Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Sijui hizi akili huwa mnafundishwa na nan!!..MUNGU HANA MWANZO WALA MWISHO ALIKUWEPO KABLA MWANZO HAIJAUMBWA
""""""" Yesu ana mwanzo pia ana mwisho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hizi akili huwa mnafundishwa na nan!!..MUNGU HANA MWANZO WALA MWISHO ALIKUWEPO KABLA MWANZO HAIJAUMBWA
""""""" Yesu ana mwanzo pia ana mwisho...
Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?Kuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
Una uwezo mkubwa kwa mtoto wako uliemzaa kumkuza ktk malezi mema kwa kutumia mind yako na inawezekana,lakini pia unatumia kiboko wakati mwingine kwa nini..Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?
kwa mujibu wa Kitabu chenukwa maneno mengine unakiri kuwa kuna miungu zaidi ya mmoja siyo?
HAYA NDO MANENO AMBAYO HATA KWENYE KANGA YAPOShida ya wale wa upande wa pili wanataka kumu equate Yesu Kristo na "mtume wao".
Yesu ni level zingine kabisa. Hata huyo "mtume wenu" atampigia magoti Yesu Kristo. Kwa maaana "kwake yeye Yesu, kila goti litapigwa"
Neno ni Yesu,Yesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
Lakini maandiko yanakataa uungu wa yesu, hilo ndilo tatizoPaulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Aya gani kwenye Quran inasema yesu ni roho ya mungu?Yesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
BORA YAKO WEWE UNAEJITAMBUA, SAFI SANA MKUU.Bible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,
YESU KRISTO NI MUNGU
Biblia inatafsiriwa kama gazeti? Halafu unasoma biblia bila kuishirikisha akili yako kutafakari. Kumeandikwa kwamba "hapo mwanzo kulikuwako na neno na neno alikuwako kwa Mungu. Neno lililokuwa likikusudiwa ni umbwaji wa Yesu kwamba kaumbwa kwa neno na sio kwa kuingiliana kati ya mwanamke na mwanaume. Halafu unasema hata kwenye Quran eti kumesema yesu ni neno ndio Mungu. Jitahidi kuchanganua mambo usikariri au kushikilia dhana.Neno ni Yesu,
Yohana 1:1-5
Neno ni Yesu,
Yohana 1:1-5
Na pia kuna verse nyingi sana zinazopinga kuwa Yesu sio Mungu. Na tena anayepinga ni kauli za yesu mwenyewe. Kwahiyo biblia inajichanganya au? Embu mkuu toa ufafanuzi wa haya maandiko mawili kwanza tuone je yesu muongo nini?Bible is so deep like an ocean if you dive deep in coast of DAR is not the same as SIDNEY what I mean is you can not interpret the bible by just one verse. The Bible is self dictionary and encyclopedia . you have read very little about the bible that Denys you to make position stand , I myself have many verses in the Bible that proves JESUS is ALMIGHTY GOD
indeed . The Bible is spiritual so it can be compared with spiritual only so that you understand it, and that is the Bible itself.
Mungu hazai pia.mi ni mkristo naamini Yesu ni mwana wa Mungu lakini siyo Mungu. kusema Yesu ni Mungu kunakanganya sana.
View attachment 407565
Hivi tunaposema Mungu ni muweza wa kila kitu, ni kasoro vitu gani?Somebody asked a question , that , why can God not take a human form. ????
ANSWER
If God wants, he can take a human form – But the moment He takes a human form, he ceases to be God.
Because God and man, they are two opposites – Man is mortal – God is immortal.
You can’t have a mortal and immortal person at the same time.
Man has a beginning – God has got no beginning – You can’t have a person who has a beginning and no beginning at the same time.
Man has an end – God has no end – So you can’t have a person, having an end and no end at the same time – It doesn’t make sense.
So you can’t have a God man – You can either have God or you can have man – You can’t have a God man.
So if God takes human form, He ceases to be God… He becomes human being – Because man requires to eat – God does not require to eat.
Ni kwasababu amekuumba na utashi wa kuchagua hana haja ya kukulazimisha.Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?