Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Aya haikutaja Kanisa, ilaha imesema!; Wale wasemao sisi ni 'WAKRISTO' Sawa?¿ sasa leta mazwazwa manake nyie waislamu dirisha dogo hamwishi mikelele kama alivyo bainisha allah. hhhhhhhhh...

Usijipakazie hapo padri haingii , nyinyi ni washirikina ,mumemshirikisha Mungu na viumbe vyake
 
Usijipakazie hapo padri haingii , nyinyi ni washirikina ,mumemshirikisha Mungu na viumbe vyake

Kwa maoni yako au Allah? toka huko dogo anzisha deen yako kuliko kukosoa kauli ya Allah as if in babu yako...
 
Jotu hawa WATU ni wepesi sana hata wakija wote Mkuu!!..
Naku admire sana mkuu.

Niliishi na kulelewa na mjombang akiwa upabde wao mimi nikiwa upande mwingine tena msomi wao. Niljua hawana kitu (ilim) isipokuwa kulazimisha uongo uwe kweli
 
Kwa maoni yako au Allah? toka huko dogo anzisha deen yako kuliko kukosoa kauli ya Allah as if in babu yako...

Usijipakazie hakuna aya iliyomtaja mkristo katika quran
 
Hapo hakuna mkristo . Kwa kiarabu mkristo huitwa nani???? Quran imemtaja nani?
Kuna nini waislamu? wewe huna ilimu kumzidi shehe, qadi Abdallah saleh Farsii alie itafsir lile daftari lenu!; sasa kasome tafsir yake @q.5:82 ufunguke babu jingo...hhhhhhhhhh..
 
Kusema Yesu hakuwa binadamu ni kosa, na pia kusema Yesu hakuwa Mungu ni kosa pia. Mafundisho rasmi ya kanisa yanafindisha kuwa Yesu ni mtu kweli na Mungu kweli.
 
Allah hajawahi kuonekana na kiumbe yoyote tangu zama zisizohesabika. Wewe ni nani ujifanye una ushahidi kuwa yupo? Wakati hata Muhamad hajawahi kumuona hadi amekufa bila kumuona? Allah ni story tu kama za abunuwas. Bora huyo Mungu wa Wakristu amewahi kuonekana.
 
Naombeni mwenye ushahidi wa Allah kuwahi kuonekana na atuwekee hapa
 
Kuna nini waislamu? wewe huna ilimu kumzidi shehe, qadi Abdallah saleh Farsii alie itafsir lile daftari lenu!; sasa kasome tafsir yake @q.5:82 ufunguke babu jingo...hhhhhhhhhh..

Anayetafsiri ni binadamu , Unataka quran ikutetee lakini humo. wewe ni mshirikina unayemuabudu kiumbe anayekula na kwenda haja kubwa na ndogo kama binadamu wengine.

mkristo kwa kiarabu anaitwaje ??? na quran imemtaja nani kwenye hiyo aya uliyoitoa ???
 
Allah hajawi kuoneka a na kiumbe yoyote tangu zama zisizohesabika. Wewe ni nani ujifanye una ushahidi kuwa yupo? Wakati hata Muhamad hajawahi kumuona hadi amekufa bila kumuona? Allah ni story tu kama za abunuwas. Bora huyo Mungu wa Wakristu amewahi kuonekana.

kaonekana kwenye ile filamu ya yule Mmarekani ????
 
Naombeni mwenye ushahidi wa Allah kuwahi kuonekana na atuwekee hapa

The following verses explicitly state that no one has seen God.

John 1:18: No man hath seen God at any time,

Exodus 33:20: And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live

So those verses make it crystal clear that no man has seen God at any time, and that no man can see his face, and if any do they shall then die.
 
Anayetafsiri ni binadamu , Unataka quran ikutetee lakini humo. wewe ni mshirikina unayemuabudu kiumbe anayekula na kwenda haja kubwa na ndogo kama binadamu wengine.

mkristo kwa kiarabu anaitwaje ??? na quran imemtaja nani kwenye hiyo aya uliyoitoa ???

Ingekutetea wewe lakini inakukaanga kwa mafuta yako msenyewe...ni akili za maiti tu zinazo weza kuamini ndani ya daftari kuna utetezi...hhhhhhh...
 
Usijipakazie hakuna aya iliyomtaja mkristo katika quran
Nikisema hata Quran yenu HAMUIJUI MNAKATAA,hamna namna nitaendlea kuwapa somo,
1475331973586.jpg
1475331980710.jpg
 
Wagalatia wanachekesha sana mungu wao kasulubiwa toka lini mungu anasulubiwa kichekesho kingine eti wanamsubiri arudi miaka 2000 bado hajarudi mtasubiri sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom