Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Lete ushahidi fedhuli uliepotea njia
Fedhuli ni wewe mkamuliwa ngama mtarajiwa...kasome suratul baqara ayat ya 169 na Kalmar min Allahu tu pia no ruhu Allahu...nyinyi maislam dirisha dogo ni mazwazwa hamjui kwamba hamjuj mmebakia uchu wa kungonoma sardaus basi¡¡
 
nasikia kule mbinguni kuna mji mtakatifu wa jerusaleem,eti siku ya mwisho utatelemka na bwana yesu ndo atakuwa mfalme?

Habari ndio hiyo, kama hupendi kunywa sumu ya panya unu e mkamua ngama apate tends ya kukukamua ngama wengine tuambulie uji na maharage, wende ukaambulie kipondo cha ruqaa kabfini, kisha finnar jehannam halidina fiha abadan tutubwi hutoki humo...hhhhhhhh...
 
Ha haa Paulo alikuwa ana hubir neno la mungu ,sasa kwanin asiwafuate wapagani ambao hawamjui mungu? Hao walitakiwa kuwa kondoo Wa bwana.ya ukristo haufuati utawala Wa Sheria kama torati ila imani ya yesu kristo mkombozi hata wewe inaweza ukakombolewa ukauona ufalme Wa mbingu

Uhusiano kati ya mungu wa Ukristo na miungu ya upagani

Sambamba na imani hiyo ya watu wa mataifa au wapagani, ya kuamini miungu-watu (akina Zeu na Herme) wanayoiamini kuwa na desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu maandiko ya Biblia tukufu yanafundisha pia kuwa, muasisi wa dini ya Kikristo, Bwana Paulo naye baadae aliihubiri miungu hiyo ya wapagani lakini kwa jina lingine. Uthibitisho wa hilo tunaupata kwenye mafundisho yake mwenyewe (Paulo) yafuatayo:

"Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibuni. Lakini nikikawia upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, iliyo Kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaamniwa katika ulimwengu, akachukuliwa juu katika utukufu". (1 Timotheo 3:14-16)

"Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa Yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu, kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu." (Wafilipi 2:5-7)

Cha msingi anachofundisha Bwana Paulo hapo juu ni kwamba, hapo mwanzo Yesu (a.s.) alikuwa hana tofauti yoyote na Mungu, kwa maana kwamba alikuwa ni Mungu kamili! Baadae akaona kuna umuhimu pia awe mtumwa; kwa hiyo akaamua kuuvua Uungu wake na kuuvaa mwili akawa mwanadamu kamili japokuwa roho yake iliendelea kubaki kuwa Mungu!

Aidha, kwa lugha ya jumla anachotueleza Bwana Paulo hapo juu ni kwamba, kipindi fulani Yesu (s.a.) alikuwa Mungu kamili na kipindi kingine alijibadilisha akawa mwanadamu kamili japokuwa Uungu wake ukabaki nao rohoni! Kwa uchache, hivi ndivyo Bwana Paulo (muasisi wa Ukristo) afundishavyo kuhusu Mungu.

Hata hivyo, mafundisho hayo ya Bwana Paulo kwamba Yesu ni Mungu japokuwa ni mwanadamu kamili, yanapingwa vikali na mafundisho sahihi ya Bwana Yesu mwenyewe (a.s.) kama ifuatavyo:

"Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza? Yesu akamjibu, Ya kwanza ndio hii, sikia Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Na ya pili ndio hii. Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi. Yule mwandishi akamwambia, Hakika, Mwalimu umesema vema ya kwamba Mungu ni mmoja, wala hakuna mwingine ile Yeye, na kumpenda yeye kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, kwafaa kuliko sadaka nzima za kuteketezwa na dhabihu zote pia. Naye Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, alimwambia, Wewe hu mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo". (Marko 12:28-34)

"Yesu akamwambia. Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu". (Yohana 20:17)

Hapa Bwana Yesu (a.s.) anawafundisha wanadamu wafahamu kwamba Mungu wake na wao ni mmoja tu na daima hakuna mwingine.

Sambamba na ukweli wa mafundisho yake hayo, ni jambo lilowazi kabisa pia kwamba, hakuna mahali popote ndani ya maandiko matakatifu ambamo Bwana Yesu (a.s.) katika maisha yake yote alimowahi kukaririwa akidai Uungu japo kwa kutania. Kinyume chake tunaona mara nyingi alikaririwa akifundisha wazi wazi kuwa Yeye ni mtu (Tazama Yohana 8:40) na kusisitiza mara kwa mara kwamba yeye daima ni mwanadamu kamili (Tazama Mathayo 11:19)

Aidha, kwa kuzingatia ukweli kwamba yeye (Yesu a.s.) ni mtu na ni mwanadamu kamili kama mwenyewe alivyofundisha hapo juu, tumeona jinsi Mungu (Yehovah au Allah s.w.t.) anavyokataa kata-kata kwamba Yeye kamwe si mtu na wala si mwanadamu kwa kila hali (rejea Hesabu 23:19)
Kwa shuhuda hizo basi ni wazi kuwa Mungu aliyekuwa akimhubiri Bwana Paulo hapo ni ile ile miungu ya wapagani (akina Zeu na Herme). Kwa kutumia jina la "Yesu", hasa kwa kuzingatia desturi aliyomsifia kuwa nayo mungu wake huyo ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu i sawa na imani ile ya watu wa mataifa au wapagani katika miungu yao hiyo (Zeu na Herme). Mafundisho kama hayo ya Bwana Paulo yamepelekea leo kuwababaisha wanadamu wamdhani Yesu kuwa ni Mungu wakati si kweli.
Sambamba na mafundisho yake hayo juu ya desturi hiyo ya miungu hiyo ya kipagani katika kutilia mkazo kwamba mungu wa dini yake ya Kikristo kwamba ana desturi ya kujibadilisha badilisha, Bwana Paulo alidiriki kudai kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" pia wakati mwingine huwa anakuwa jabali! Uthibitisho wa dai lake hilo tunaupata katika kauli yake ifuatayo:

"Kwa maana ndugu zangu sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya wingu, wote wakapita kati ya bahari, wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari; wote wakala chakula kile kile cha roho; wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo". (1 Wakorintho 10:1-4)

Katika maelezo yake hayo juu, mwamba anaoukusudia hapo Bwana Paulo anaodai eti ulikuwa ni Kristo, yaani Yesu, ni lile jabali lililokuwa katika Horebu ambalo Nabii Musa (a.s.) kama Biblia ifundishavyo alilipiga kwa fimbo yake kisha maji yakatoka na watu wakapata kunywa (Tazama Kutoka 17:6).

Kwa maelezo yake hayo, yaonyesha dhahiri Bwana Paulo anakiri kwamba Bwana Yesu (a.s.) aliwahi kutandikwa bakora na Nabii Musa (a.s.)! Ingawa Nabii Musa (a.s.) haonekani kabisa katika zama zake akiwa pamoja na Nabii Yesu (a.s).

Kwa ujumla, mafundisho hayo ya Bwana Paulo yanalenga wazi katika kuonyesha sifa kubwa ya Mungu anayemhubiri kwamba ni pamoja na kujibadilisha-badilisha katika maumbile tofauti! Ambapo desturi hiyo (ya kujibadilisha-badilisha) haipatikani isipokuwa katika imani ya wapagani juu ya miungu yao, ndivyo waiaminivyo kuwa ina sifa hiyo (kama tulivyoona hapo awali).

Na ni katika mafundisho kama hayo ya Paulo ndipo unapopatikana dhahiri shahiri uhusiano halisi wa imani ya mungu-mtu kati ya dini yake ya Kikristo na dini ya kipagani. Kwa mantiki hiyo, ni wazi kuwa asili ya Mungu anayeabudiwa na Wakristo inatokana na imani ya miungu-watu ya kipagani kama ile akina Zeu na Herme.
 
Habari ndio hiyo, kama hupendi kunywa sumu ya panya unu e mkamua ngama apate tends ya kukukamua ngama wengine tuambulie uji na maharage, wende ukaambulie kipondo cha ruqaa kabfini, kisha finnar jehannam halidina fiha abadan tutubwi hutoki humo...hhhhhhhh...

Paulo kutomtambua Mungu-Yehovah

Katika shuhuda za Biblia tukufu zilizotangulia hapo juu, tumeona jinsi Paulo alivyosimama imara na kuihubiri miungu ya kipagani (kama akina Zeu na Herme) kwa jina la "Yesu". Aidha, akitilia mkazo msimamo wake huo (wa kufundisha miungu hiyo ya kipagani peke yake), Bwana Paulo alionyesha wazi kuwa hamtambui kabisa Mungu-Yehovah. Uthibitisho wa hilo tunaupata katika kauli zake (Paulo) zifuatayo:

"Maana imani ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu, ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafisha watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema". (Tito 2:11-14)

"Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili, ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake, ambao mababu ni wao, katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu mwenye kuhimidiwa milele. Amina." (Warumi 9:3-5).

Katika kuonyesha kwamba hamtambui kabisa Mungu-Yehovah na kwamba amedhamiria kumhubiri peke yake mungu-Zeu na Herme kwa jina la "Yesu", Bwana Paulo hapa anadai kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" ni mungu mkuu na ndiye mungu aliye juu ya mambo yote! Kwa maana kwamba kama kuna Mungu mwingine yoyote basi Mungu wake huyo ndiye zaidi (mkuu)!

Hata hivyo, lakusikitisha, wakati Bwana Paulo anawafundisha wanadamu kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" kuwa ndiye mkuu, tayari Bwana Yesu mwenyewe alikwishafundisha kwamba Mungu-Yehovah ndiye Mkuu kuliko yeye (Yesu a.s.) (Tazama Yohana 14:28).

Hii yote ni kudhihirisha kuwa Mungu aliyemhubiri Paulo ni mungu yule yule mwenye asili ya miungu ya wapagani (kama akina Zeu na Herme) na kamwe siyo Mungu-Yehovah ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wengine wote (a.s.) aliowatuma duniani.
 
Bwana yesu alikuwepo kabla Na sasa.Paulo amumpendi Wa imani yako coz ameinanga torati , yeye ni mtume Wa yesu.bible sio hadithi kama Quran ,ni kitabu cha kiroho .unatafsiri tu kama Hadith roho mtakatifu akikuongoza utailewa vizur kitabu kitakatifu
 
nyiokunda , tehtehtehtehhhhh

Sifa kuu za mungu-mtu wa Ukristo kama zilivyohubiriwa na Paulo

Wakati tukiendelea kupata uchambuzi huu maridhawa juu ya mungu-mtu wa dini ya Kikristo, jambo lingine muhimu ambalo ningependa kuligusia ni kwamba, kulingana na maelezo ya Biblia tukufu, Bwana Paulo ninayemzungumzia hapa ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, kama tulivyoona ya kwamba sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi" (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke Luka 2:4-7

Kuvikwa nguo Luka 2:6

Kuona kiu Yohana 19:28

Kula na kunywa Mathayo 11:19 na Yohana 4:7

Kuvuliwa nguo Mathayo 27:27-28

Kupigwa Mathayo 27:27-30

Kulia machozi Yohana 11:35

Kuchoka Yohana 4:6

Kulala usingizi Mathayo 8:23-24

Kutokujua mambo yote Mathayo 24:36

Kuwa na ukoo Mathayo 1:1

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani. Na kama tulivyoona katika sifa za kwanza za mada hii, Mungu-Yehovah ameepukana mbali kabisa na sifa zote hizi.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa mungu aliyemhubiri Paulo ambaye ndiye mungu wa Wakristo, siyo Mungu-Yehovah ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Nabii Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s).
 
View attachment 406746

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

Yohana 8:40

Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe amejiita kuwa ni "MTU". Kama kuna mtu ana ushahidi wowote katika biblia YESU akijiita MUNGU, basi nami hapo nitaamini kuwa YESU Mungu.

Hata hivyo, mnaweza kusema pia, kuwa YESU alikuwa Mungu na Pia alikuwa mtu. Hata hivyo tukitazama sifa mbalimbali za mungu kama zilivyo tajwa au ainishwa na biblia, utaona hata kiduchu YESU hana sifa hizo.

Mathalani.

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza.."

Hesabu 23:19

Tumeona katika Yohana 8:40 Yesu akijiita Mtu, na hapa katika hesabu tunaambiwa Mungu si mtu, sasa wewe unayemuita Yesu Mungu umepata wapi?

NANI KAFUNDISHA YESU NI MUNGU?

"tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Tito 2:13

Hayo maneno katika kitabu cha Tito, kimsingi ni barua ya kimisionari aliyo andika Paulo kwa watu wa Tito, kama tuonavyo katika barua hiyo, pamoja na mambo mengine Paulo anawaambia watu wa Tito kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, maneno haya ya Paulo yanakwenda kinyume kabisa na maneno ga Yesu mwenyewe aliyo yasema katika Yohana 8:40 lakini kinyume kabisa na mafundisho ya kinabii kutoka katika kitabu cha Hesabu 23:19.

YESU ANASEMAJE KUHUSU PAULO?

Awali ya yote Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu na hakuwahi kumuona Yesu Kristo. Yesu kabla hajapaa kwenda mbinguni aliwahi kusema maneno haya.

"Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa. Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi"

Yohana 16:1-3

Hapa Yesu anatabiri kuwa wanafunzi wake watakuja kuuliwa, anatabiri wakristo na wafuasi wa kanisa lake watakuja kuuliwa, na akasisitiza huyo atajaye wauwa wanafunzi wake hamjui yeye wala Baba(Mungu)

Nani huyo aliyeua wanafunzi wa Yesu? Jawabu ni Sauli ambaye ni Paulo.

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu."

Matendo 9:1-3

Kwa hivyo Mtu aliyetajwa na Yesu katika injili ya Yohana 16:1-3 kuwa atawaua wanafunzi wa Yesu si mwingine Paulo, na katika kitabu cha matendo tunaoneshwa ukatili wa Paulo kwa wanafunzi wa Yesu. Hata hivyo, Bwana Yesu anaendelea na utabiri wake juu ya Paulo katika aya hii.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo"

Yohana 8:44

Katika aya hiyo Bwana Yesu anasema huyo Paulo si kwamba ni muuaji tu, lakini pia mtu muongo sana. Na uongo mkubwa alio ufanya Paulo ni pale aliposema kakutana na Yesu na kisha akajifanya kipofu.

"Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda"

Matendo 9:3-7

Baaada ya Paulo kuwaua sana wanafunzi wa Yesu na kuwatesa sana ili waache mafunzo ya Yesu, lakini wanafunzi wa Yesu waligoma na walikataa katakata kuachana na mafunzo Yasu. Pia naomba mjue, mafunzo ya Yesu yalikuwa mwiba kwa serikali(Dola ya Rumi) na Paulo alikuwa anatumiwa na serikali katika kuhakikisha wanafunzi wa Yesu wanaachana na ukristo/uyaudi.

Pamoja na juhudi hizo za Paulo lakini alishindwa, hivyo njia aliyo amua kuitumia si nyingine bali ni kujiunga na wanafunzi wa kristo. Na ili aaminike ndipo hapo alipotengeneza stori ya kumuona Yesu na maagizo ya upofu, lakini kubwa zaidi alimnunua Anania ili msaidie kufanikisha lengo lake. Kwa kumtumia Anania na kwa kudanganya kwake kuwa kamuona Yesu, wanafunzi wa Yesu walimkubali.

Na hapo ndipo Paulo alipoanza kuyachakua mafunzo ya Yesu, na ndio maana ukristo wa sasa si ule alio ufundisha Yesu.

YESU NA MFARISAYO.

"Ewe FARISAYO KIPOFU, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi. Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote."

Mathayo 26:23

Paulo msomi mkubwa alikuwa Farisayo, lakini Yesu alisema nini juu mafarisayo? Kama tulivyo ona, Yesu anawaona mafarisayo kama vipofu, lakini kubwa katika andiko hili Yesu anamtabiri pia Paulo na maigizo yake ya upofu.

"Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"

Matendo 23:6

Kwanza Paulo amekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni farisayo. Lakini hiyo haitoshi Paulo alijitia upofu aso kuwa nao.

"Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi."

Matendo 9:8-9

Katika aya hizi tunaona kuwa Paulo amekiri kuwa Farisayo lakini pia tunaona Paul yuko katika maigizo ya upofu. Yote haya mawili yanakamilisha unabii wa Yesu pale aliposema

"Ewe farisayo kipofu.."

Mathayo 26:23

Katika aya hizo inatajwa sifa kuu au tabia kubwa ya Mafarisayo, na ambayo imethibiti(ilitimia) kwa Paulo. Sifa hiyo si nyingine bali UNAFIKI.

Paulo alikuwa mnafiki, yaani alijifanya muumini wa mafundisho Yesu ili mradi apate kuwapotosha wanafunzi wa Yesu, na hili kwakweli kafanikiwa sababu hakuna hata kanisa moja ambalo linafuata mafunzo ya asili ya Yesu. Kila kanisa lina kituko chake.

MWISHO.

Kwa kifupi huku nikizingatia maelezo yangu yote ya huko juu, kuwa YESU SI MUNGU, lakini hakumaanishi kuwa hakuna wanao muita au wanao amini Yesu Mungu. La kuzingatia kama tukiambiwa kauli ipi ya kushika kati ya YESU mwenyewe na ya Paulo kwa vyovyote vile tunatakiwa kushika kauli ya Yesu.

Kauli zote za Paulo ambazo hazipingani na za Yesu, kauli hizo tutazifuata, lakini kauli yoyote ya Paulo inayo pingana na Yesu, kauli ya Paulo itapuuzwa na kuanguka, alafu watu wote wanatakiwa wafuate kauli ya Yesu.

Hakuna kauli ya Yesu anayo alijiita Mungu, lakini zipo nyingi akijiita Mtu au mwana wa adamu. Na siku zote alijitafautisha na Mungu. Yesu anakata mzizi wa fitina katika andiko hili.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

TUJADILI!

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.
Huwezi kujadili Biblia bila kujazwa Roho Mtakatifu. Biblia hiyo hiyo uliyo-quote wewe ina maneno haya katika kitabu cha Wakorintho wa kwanza sura ya 2 mstari wa 14-15, "Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu, maana kwake huyo ni upuuzi wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuluwi na mtu."Lakini pia katika sura hiyo hiyo mstari wa 10 tunasoma maneno haya, "Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote hata mafumbo ya Mungu. "
Sasa wewe ni nani amekufunulia mambo hayo, kwa kuwa najua huna Roho wa Mungu ambaye angekuwezesha kuielewa Biblia kwa kuwa kufuatana na arguements zako huna Roho Mtakatifu. Hapo kuna mafumbo ambayo yanamuhitaji Roho mtakatifu ili yaweze kufunuliwa na kueleweka. Na hata hivyo itakuwa kupoteza muda bure ku-argue na wewe kwa kuwa huwezi kuelewa! Mambo hayo yanaeleweka na mtu wa rohoni tu kufuatana na 1Kor. 2:14-15!
 
1475416544284.jpg
1475416544284.jpg
Paulo kutomtambua Mungu-Yehovah

Katika shuhuda za Biblia tukufu zilizotangulia hapo juu, tumeona jinsi Paulo alivyosimama imara na kuihubiri miungu ya kipagani (kama akina Zeu na Herme) kwa jina la "Yesu". Aidha, akitilia mkazo msimamo wake huo (wa kufundisha miungu hiyo ya kipagani peke yake), Bwana Paulo alionyesha wazi kuwa hamtambui kabisa Mungu-Yehovah. Uthibitisho wa hilo tunaupata katika kauli zake (Paulo) zifuatayo:

"Maana imani ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu, ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafisha watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema". (Tito 2:11-14)

"Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili, ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake, ambao mababu ni wao, katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu mwenye kuhimidiwa milele. Amina." (Warumi 9:3-5).

Katika kuonyesha kwamba hamtambui kabisa Mungu-Yehovah na kwamba amedhamiria kumhubiri peke yake mungu-Zeu na Herme kwa jina la "Yesu", Bwana Paulo hapa anadai kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" ni mungu mkuu na ndiye mungu aliye juu ya mambo yote! Kwa maana kwamba kama kuna Mungu mwingine yoyote basi Mungu wake huyo ndiye zaidi (mkuu)!

Hata hivyo, lakusikitisha, wakati Bwana Paulo anawafundisha wanadamu kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" kuwa ndiye mkuu, tayari Bwana Yesu mwenyewe alikwishafundisha kwamba Mungu-Yehovah ndiye Mkuu kuliko yeye (Yesu a.s.) (Tazama Yohana 14:28).

Hii yote ni kudhihirisha kuwa Mungu aliyemhubiri Paulo ni mungu yule yule mwenye asili ya miungu ya wapagani (kama akina Zeu na Herme) na kamwe siyo Mungu-Yehovah ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wengine wote (a.s.) aliowatuma duniani.

Paulo kutomtambua Mungu-Yehovah

Katika shuhuda za Biblia tukufu zilizotangulia hapo juu, tumeona jinsi Paulo alivyosimama imara na kuihubiri miungu ya kipagani (kama akina Zeu na Herme) kwa jina la "Yesu". Aidha, akitilia mkazo msimamo wake huo (wa kufundisha miungu hiyo ya kipagani peke yake), Bwana Paulo alionyesha wazi kuwa hamtambui kabisa Mungu-Yehovah. Uthibitisho wa hilo tunaupata katika kauli zake (Paulo) zifuatayo:

"Maana imani ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu, ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafisha watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema". (Tito 2:11-14)

"Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili, ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake, ambao mababu ni wao, katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu mwenye kuhimidiwa milele. Amina." (Warumi 9:3-5).

Katika kuonyesha kwamba hamtambui kabisa Mungu-Yehovah na kwamba amedhamiria kumhubiri peke yake mungu-Zeu na Herme kwa jina la "Yesu", Bwana Paulo hapa anadai kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" ni mungu mkuu na ndiye mungu aliye juu ya mambo yote! Kwa maana kwamba kama kuna Mungu mwingine yoyote basi Mungu wake huyo ndiye zaidi (mkuu)!

Hata hivyo, lakusikitisha, wakati Bwana Paulo anawafundisha wanadamu kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" kuwa ndiye mkuu, tayari Bwana Yesu mwenyewe alikwishafundisha kwamba Mungu-Yehovah ndiye Mkuu kuliko yeye (Yesu a.s.) (Tazama Yohana 14:28).

Hii yote ni kudhihirisha kuwa Mungu aliyemhubiri Paulo ni mungu yule yule mwenye asili ya miungu ya wapagani (kama akina Zeu na Herme) na kamwe siyo Mungu-Yehovah ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wengine wote (a.s.) aliowatuma duniani.
 
Fedhuli ni wewe mkamuliwa ngama mtarajiwa...kasome suratul baqara ayat ya 169 na Kalmar min Allahu tu pia no ruhu Allahu...nyinyi maislam dirisha dogo ni mazwazwa hamjui kwamba hamjuj mmebakia uchu wa kungonoma sardaus basi¡¡
Kiongoz hio aya 169 al baqara haisemi hvyo,kuwaAllah kasema yesu ni neno,soma hii aya... إِنَّمَا يَأْمُرُكُم بِالسُّوءِ وَالْفَحْشَاءِ وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ
Tafair :Hakika anawaamrisheni(shetani) kufanya uovu na machafu na kuwafanyeni mseme msio yajua (uongo) kuhu Allah..
Sasa hebu onyesha ni sehem gan ktka aya hii Allah kasemaYESU NI NENO.. Au kuna aya nyengine ya 169 kwenye baqara???
Unaropoka halaf umeweka avata ya Allah,
 
ha ha ha,kwahiyo kuzunguka na kukata kucha ni upagani?
Ulitaka waenda na suit ya vipande vitatu,hivi walijua joto la kule wewe?,
Sema wewe kabla ya muham mad ibada hizo alifanya mtume gani zaidi ya makafir wa kikureshi [emoji351] [emoji12] [emoji4]
 
nyiokunda , tehtehtehtehhhhh

Sifa kuu za mungu-mtu wa Ukristo kama zilivyohubiriwa na Paulo

Wakati tukiendelea kupata uchambuzi huu maridhawa juu ya mungu-mtu wa dini ya Kikristo, jambo lingine muhimu ambalo ningependa kuligusia ni kwamba, kulingana na maelezo ya Biblia tukufu, Bwana Paulo ninayemzungumzia hapa ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, kama tulivyoona ya kwamba sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi" (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke Luka 2:4-7

Kuvikwa nguo Luka 2:6

Kuona kiu Yohana 19:28

Kula na kunywa Mathayo 11:19 na Yohana 4:7

Kuvuliwa nguo Mathayo 27:27-28

Kupigwa Mathayo 27:27-30

Kulia machozi Yohana 11:35

Kuchoka Yohana 4:6

Kulala usingizi Mathayo 8:23-24

Kutokujua mambo yote Mathayo 24:36

Kuwa na ukoo Mathayo 1:1

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani. Na kama tulivyoona katika sifa za kwanza za mada hii, Mungu-Yehovah ameepukana mbali kabisa na sifa zote hizi.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa mungu aliyemhubiri Paulo ambaye ndiye mungu wa Wakristo, siyo Mungu-Yehovah ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Nabii Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s).
Ha haa,roho mtakatifu anatakiwa anguongoze utakuja badilika tu siku moja.
 
Ha ha ha,kama nikuteswa hata kiiza besigye ameteswa sana kwakweli,
lakini hiyo haina maana kuwa miaka 500 ijayo waganda wataanza kumuabudu besigye kwasababu aliteswa ili waganda wapate ukombozi
 
we we mwenye upeo mreefu kama kulubuku ungwkuwa mkamuliwa ngama mtarajiwa, kila siku ungepulizwa &%$ o na shetani msikitini, ungeamini kuna kungonoka mbele ya allah, ungeamini ukimuingilia maiti, mtoto, kuntha kuingiliwa/kuingiliwa tundu yeyote Dubuli IMA kubuli uoge Kara tatu >View attachment 410819hata unavyo toka povu humu naona dhamira yako imekufa tu...na sishangai mende kusifia hadi kupigania uzuri wa kuishi chooni na kulabua midodeo...
KWELI HAYA MAJAMAA HAYANA DINI MKUU,UPUUZI MTUPU!!..
 
wanaojiita MAULAMAA wako wapi? njooni na lugha nyepesi na sisi ma-slow learner tupate kuelewa!

Ila kiukweli Bible iliandikwa kwa lugha ngumu sana kiasi kwamba kuielewa ni issue
 
Elewa .nimekwambia Baba Wa imani .huo uislam kauleta mud wenu .katika bible kuna Ibrahim,isaka Na yakobo ambaye ndio Israel.
Hahahahaha yakobo ndo Israeli?? Ama kweli tumepoteza muda wetu kubishana na ww
 
Jahahahaha kwahyo yakobo ndo alikua mtoa roho au maana Israeli ni mtoa roho.
Lisa007 wew jamaa msumbuf sana bhana,sasa hivi me sikujibu sasa,naona unaagenda ya siri Mimi nisilale,me ngoj nipumzike,Usiku mwem Mkuuu!!..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom