mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Najua kinacho kusumbua,n wazi kuwa hukupata kulijua somo la Tawheed ndo mana unateseka na mashaka na wasiwasi, ,Lkn pata wasaa upitie Surat Mariam hio hio kuanzia aya 30-34,
Moja kati y maajabu ya kuran ni kwamba ukiwa na shaka nayo basi ukiisoma urazid kupata shaka, kwa sabb unatafuta engo za kukosoa kilicho andaliwa na aliekupa nguv na maarifa ya kusoma na kuandika na akakujaalia pumzi usio lipia,
Lkn ikiwa utaisoma kuran kwa kutaka kujua na kujifunza basi utainjoi xn,
Kwa kifupi Allah mwenye kitabu chake anasema katika surat Baqara aya ya 2 kuwa , "HIKI NI KITABU KISICHO KUWA NA SHAKA NDANI YAKE,NI UONGOZ KWA WAMCHAO(wanao muogopa) MWAENYEZIMUNGU,
Xx ndug yangu ikiwa haupo kwenye hilo kundi alilo litaja Mweny kitabu hicho basi HUTOELEWA MILELE HATA UKIWA MUISLAMU NA SIJDA KAMA JIWE.. Lazma uwe MCHAMUNGU..
sigda sigda umesha soma vitabu vilivyo kuwepo kabla ya kuluani ukaona athari ya sigda? hhhhhhhh... Umeshindwa kujibu swali eeh?!
badala ya kujibu swali lililo wazi unaongeza shaka niliyo Nayo kuhusu hill daftari menu la mashairi kwa kuniwekea eti tawheed sijui ngumu, haina shaka...hebu nitafsirie maana ya maneno haya 'dhalikal' na 'hadha' rejea kamusi ya kiarabu al munjid...tuwekee humu wewe mwenyewe! Hivi nikuulize ili ujue kuf'&r'a dhambi mpaka ujue tawheed?¿