GBBali
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 1,931
- 537
Huoni kwa sababu unasoma kupinga na kujifanya mjuaji. Mohamed mwenyewe alishindwa itakuwa wewe.Mbona hakuna mahali yesu kajitangazia uungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni kwa sababu unasoma kupinga na kujifanya mjuaji. Mohamed mwenyewe alishindwa itakuwa wewe.Mbona hakuna mahali yesu kajitangazia uungu
Huoni kwa sababu unasoma kupinga na kujifanya mjuaji. Mohamed mwenyewe alishindwa itakuwa wewe.
Sio aya moja tu Bali Biblia yoote imekuja kumfunua Mungu kati ya Binadamu...Lete aya moja tyasu anasema mimi ni mungu
Hayo fungua thread utajibiwa , wewe kweli ni mzizi wa mbuyu unazunguka shina tu . Hujatoa ushahidi wa kumpakazia yesu uungu
Sio aya moja tu Bali Biblia yoote imekuja kumfunua Mungu kati ya Binadamu...
Haya buana baki na mtume wako
Yesu hawezi kuwa Mungu, ila ni mjumbe kutoka kwa Mungu ili kuwaongoza watu wapite katika njia ilioonyooka (haki).Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Lete ushahidi katika qur ani hiyo unayosemaYesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
Hebu tuambie wakati gani alikuwa Mungu na wakati upi alikuwa mtuYesu ni Mungu kweli na mtu kweli....Hivyo alikuwa ana-switch Uungu na ubinadamu alipokuwa hapa duniani.....
Hamna kitu kama hicho bro, biblia ni moja Lakin waumini mnapingana, si kuchanganyikiwa huko, Mungu hakufanana na kiumbe chochote na wala hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ni mmoja tu hana mshirikaKuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
Acha upumbavu huo, Inamaana Mungu alipokuja duniani nafasi yake alimwachia nani..Yesu alikua 1oo% GOD na 1oo% Human akiwa duniani mkuu sasa inategemea na circumstances ndo tunaweza kujua alikua katika Hali gani
Lete huo ushahidi, tunakusikilizaUKITAKA HATA USHAHIDI WA QURAN SEMA NIKUPE!!!..
Tatizo biblia ni combination Ya vitabu vingi ndo maana inaleta utata kwa waumini wa kikristoBible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,
YESU KRISTO NI MUNGU
Waislamu wanasomeshwa quran Baadae tafsiri Ya quran, sio kama inafichwa imani, 80% percentage Ya vitu vilivyotajwa katika quran ni proved only 20 ambavyo havipo proved kwa sababu zimetaja pepo na moto. Kwa hivyo usiijadili Qur-an utaumiaBORA HUYU KULIKO NINYI,MNA MAFUNDISHO YA **AJABU**/IMANI AMBAYO MNAYAFICHA KUPITIA LUGHA YA *KIARABU** YAAN HATA WATOTO WANAOSOMA**MADRASA**WANGEKUWA WANASOMESHWA *QURAN*KWA LUGHA ZAO ASINGEKUWEM HATA MMOJ,MFANO,View attachment 407536View attachment 407538View attachment 407539View attachment 407540View attachment 407541View attachment 407542View attachment 407543View attachment 407544View attachment 407545View attachment 407546
Pogba hawezi kusema maneno kama hayoManeno ya pogba hayo
Yeye mwenyewe alisema na afanye mtu kwa mfano wake afu we unasema hakufanana na kiumbe chochote.we jamaa vipi wewe?!Hamna kitu kama hicho bro, biblia ni moja Lakin waumini mnapingana, si kuchanganyikiwa huko, Mungu hakufanana na kiumbe chochote na wala hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ni mmoja tu hana mshirika
Uko vizur nahwu na balagha, majazi akiliiy ni sifa ambayo anyopewa mtu pasipo kuwa na uwezo nalo. Lugha Ya kiarabu ni nzuri sana wallah hawajuiHalafu uniambie huyo mtu wa vita ni ndio Yesu.Pia kuna kitu kinaitwa karina katika somo la balagha sijui kama unalijua,katika somo muhimu la lugha.
Hapo imetumika balagha,katika kipengele kiitwacho "karina",katika elimu ya balagha.
Ufafanuzi juu ya hilo
Karina ni hali ya kutowezekana katika kitu au tamko lilotumika nadala ya tamko halisi.Nakupa mfano maarufu sana.Nikisema nimemuona simba anashuka kwenye mimbari kwa akili yako ya kawaida na iliyo salama hautafikiria ya kuwa simba mnyama lazima itakupa jibu ya kuwa huyo aidha ni mtu mwenye Simba au mwenye sifa yaani nguvu kama za simba.Hapa inakubalika balagha katika majazi sababu katika hali halisi simba kiuhalisia hawezi kuwa binadamu.
Tukirudi katika tamko lako "Bwana ni mtu wa vita",hiyo ni majazi na limetumika hapo sababu kamwe mtu hawezi kuwa Bwana kama andiko linavyosema.
Kwahiyo andiko hilo ni dhidi yako.Na karina hapo ndio imetoa ile hali wezekano na ndio hilo neno limetumika badala ya neno jingine.
Kama hujaelewa uliza.
Lete ushahidiYeye mwenyewe alisema na afanye mtu kwa mfano wake afu we unasema hakufanana na kiumbe chochote.we jamaa vipi wewe?!
Lete aya moja tu yesu anasema mimi ni mungu
Acha upumbavu huo, Inamaana Mungu alipokuja duniani nafasi yake alimwachia nani