Anayeapa na aliyelaanika ni yupi aliyebora? Ibilis alilaaniwa na Mungu na Yesu pia kalaaniwa (kafanywa kuwa laana)ibilis=yesu
Kumbukumbu 21:22-23
Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;
23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi wako.
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;