Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Analo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka niamini haya mambo huyajui na huyawez acha kujaza Uzi kwa comment za ajabu,na upuuz mnaokaririshana huko Msikitin,SIKU ZOTE KUMBUKA QURAN HAINA HADHI YA KUICHALLANGE WALA KUITHIBITISHA BIBLIA,ALICHOKIFANYA MTUME NI KUJARIBU KUFANANISHA HABARI ZA BIBLIA,LAKIN BADO AKASHINDWA!!.Hayo maneno anasema nani? Na ni nani aliona akichukuliwa katika utukufu? Huyo roho aliyemthibitisha ameumbwa na nani....je ameumbwa na huyohuyo Yesu ambaye ndiye Mungu au? Kwa hiyo Mungu anathibitishwa na kiumbe alichokiumba?
Uko smartUmewaza sana mkuu
Eti mungu mungu anasulubiwa? Mungu ni hilo sanamu limekaa kwenye msalaba? Mungu miaka elfu 2 hajarudi tu? Acha kufikiria kwa makalio weweTunamwabudu Mungu ambaye ni roho hivyo Tunamwabudu ktk roho hakuna anayeabudu sanamu, kumbe ninyi mwaiabudu ardhi?
Hiyohiyo biblia na wsla si Quran. Hebu soma 4:1 Mathayo. Yesu anachukuluwa na roho nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.....hebu nipe rationale ya andiko hilo.......yaani nipe uhusiano wa Yesu na Ibilisi na Roho!!!Kaka niamini haya mambo huyajui na huyawez acha kujaza Uzi kwa comment za ajabu,na upuuz mnaokaririshana huko Msikitin,SIKU ZOTE KUMBUKA QURAN HAINA HADHI YA KUICHALLANGE WALA KUITHIBITISHA BIBLIA,ALICHOKIFANYA MTUME NI KUJARIBU KUFANANISHA HABARI ZA BIBLIA,LAKIN BADO AKASHINDWA!!.
Naimani hata context ya hii aya HUJUI,FUTA MANENO HAYA"*ALIFANYWA* LAANA KWA AJIRI *YETU*"ubakize ulichokikusudia maana haya yanapobaki hapo YANAHARIBU KABISA MAANA ULIYOIKUSUDIA kuw YESU AMELAANIWA!!..Anayeapa na aliyelaanika ni yupi aliyebora? Ibilis alilaaniwa na Mungu na Yesu pia kalaaniwa (kafanywa kuwa laana)ibilis=yesu
Kumbukumbu 21:22-23
Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;
23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi wako.
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
TupeUKITAKA HATA USHAHIDI WA QURAN SEMA NIKUPE!!!..
Wewe ulishawahi kuingia kwenye zizi la nguruwe unaowafuga ukalala nao ili wakuelewe kwamba unapenda usafi?Kuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
Sasa mungu alipokuwa mtu..kazi za kiuungu alikuwa anazifanya nan ??Kuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
Sifa gani aliyokuwa nayo? Zaidi ya uzushi mnaodanganywa! Ndio maana nikakuuliza mungu anasulubiwa? Mungu anakufa? Usiwe maku wewe kusoma hujui picha pia huoni? Utakataa vp kwamba hufikiri kwa kutumia makalio?Anaechekesha zaidi ni allah na muham mad waliosema masihi ana sifa duniani mpaka ahera...unatumia kiungo gani ktk kutafakari??? komwe?! Hivi mlaaniwa anaweza kuwa na sifa duniani na ahera? laanatulahi...
Quran imeichallenge biblia sana, hata wanasayansi wanathibitisha hivyo, biblia editing za binaadamu na elimu Ya binaadamu ina ukomo (Epistemology)Kaka niamini haya mambo huyajui na huyawez acha kujaza Uzi kwa comment za ajabu,na upuuz mnaokaririshana huko Msikitin,SIKU ZOTE KUMBUKA QURAN HAINA HADHI YA KUICHALLANGE WALA KUITHIBITISHA BIBLIA,ALICHOKIFANYA MTUME NI KUJARIBU KUFANANISHA HABARI ZA BIBLIA,LAKIN BADO AKASHINDWA!!.
Kama Issa bin Maryam wa kwenye Quran si huyo Yesu basi na Musa na Ibrahim nao sio!!!! Tukubaliane hilo.......ni rahisi kuchanganyikiwa ukimsoma yesu wa musaafu na bibilia kana kwamba ni vitu sawa. hapa ndio chnzo cha mkanganyiko.
Hivi unajua kwanini qakristo huwa mnashika matawi ya mtende wakati wa ile sherehe? Au unabisha tu ili kuzuia goodwill ya uislam?Kama hujui hilo achana na Yesu Kristu, zungimzia ISA aliyezaliwa chini ya shina la mtende.
Sijanukuu kabisa! NakataaKumbe we chizi hapo juu umenukuu Wagalatia3 :13.sasa nakupa andiko jingine we unauliza Maswali ya kipuuzi.
Original copy ilikuwa inasema....HAKUNANA ALIYEMWEMA ILA MMOJA AMBAYE NDIYE MUNGU.....Kilichoeditiwa ni nin?na original copy ilikuwa inasemaj?
Alifanya dhambi. Aliposema mzigo wake ni mwepesi maana yake dhambi zake si kubwa...By the way YESU HAKUWAHI KUFANYA DHAMBI HATA MOJA!!..
Asingeweza kufananisha Qur'an na Biblia...maana drama zilizojaa kwenye biblia ni hatar kwa kweli...Kaka niamini haya mambo huyajui na huyawez acha kujaza Uzi kwa comment za ajabu,na upuuz mnaokaririshana huko Msikitin,SIKU ZOTE KUMBUKA QURAN HAINA HADHI YA KUICHALLANGE WALA KUITHIBITISHA BIBLIA,ALICHOKIFANYA MTUME NI KUJARIBU KUFANANISHA HABARI ZA BIBLIA,LAKIN BADO AKASHINDWA!!.
Kushika matawi kutokaHivi unajua kwanini qakristo huwa mnashika matawi ya mtende wakati wa ile sherehe? Au unabisha tu ili kuzuia goodwill ya uislam?