Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Mungu hufanya mambo ya kiungu ndio akaitwa Mungu. Binadamu ameitwa binadamu kwa sababu hufanya mambo ya kibinadamu. Mwanamume hufanya mambo ya kiume ndio akaitwa mwanamume .Mwanamke hufanya mambo ya kike ndio akaitwa mwanamke. Mwanamume akifanya mambo ya kike ataitwa shoga. Sasa huyo mungu aliyejigeuza mwanadamu utamwita nani??? BAGUWANI????
Akili nyingine inabidi kuzi- flash..yaani unalinganisha Uwezo, Maajabu, Ukuu wa Mungu saw a na kiumbe alicho kihuluku!? laanatulAlah..umechamba sana had I umeshika mdodeo...
 
Kwahiyo Yesu amegawanyika sehemu ngapi? Katika kugawanyika huko je ana uwezo na mamlaka yaliyo kamili au ni tegemezi? Kama ni tegemezi je anamtegemea yupi zaidi ya yeye mwenyewe.

Yohana 17:3-4

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye

Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuuwekea uwezo wa Bwana Mungu mipaka. Na ni bahati mbaya kuwa mpumbavu hajitambui kuwa ni mpumbavu!!!
 
Bible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,

YESU KRISTO NI MUNGU

Yesu katika hili hakupindisha maneno, alisema, "mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba yangu ila kwa njia yangu" Hamna namna katika hili, umpokee Yesu, ndilo sharti la kwenda kwa Mungu, hakuna mbadala wake. Lazima umkubali Mungu na kumpokea ndio uingie katika ufalme wake. Huu ndio ukweli mchungu.
 
Akili nyingine inabidi kuzi- flash..yaani unalinganisha Uwezo, Maajabu, Ukuu wa Mungu saw a na kiumbe alicho kihuluku!? laanatulAlah..umechamba sana had I umeshika mdodeo...

Hapo kuna mlinganisho au facts ???? Umechanganyikiwa ???

Wewe ndelea kuita mavi ni mkojo , mkate ita ngano , kisu ita shoka , meli ita baiskeli

hata kili ya kuku huna ???

Huyo mungu atayejivika nyama na kuwa binadamu utamwita nani , mungu au binadamu ??? kwani unayemuona ni nani ???

sifa za mungu ni zipi hata aitwe mungu , sifa za binadamu ni zipi hata aitwe mwanadamu ???

Hivi Father wa kanisa katoliki , aliyeolewa, unaendelea kumwita Father???

HATA CHEKECHEA WANAJUA , HUNA HAJA YA KUWAFUNDISHA
 
Hata chekechea wanajua Muhammad amekanyaga maamrisho yote.10 ya M'Mungu had I kamuita M'Mungu, Yesu, Malaika Gabriel na Wakristo woote duniani in makafir!; ref: suratul tawba:30...
 
Hata chekechea wanajua paulo amekanyaga maamrisho yote.10 ya M'Mungu had I kamuita M'Mungu, Yesu, Malaika Gabriel na Wakeisto woote duniani in makafir!; ref: rom.7:16..

Umeshindwa kujibu hoja . Tuambie kwa nini mama anaitwa mama ? Na baba anaitwa baba?? Ikiwa baba kajigeza akawa mama jee utaendelea kumwita baba??

Father wa kanisa katoliki ameolewa jee unaendelea kumwita father?
 
MPE shifaa Yesu...hhhhhhh...
 
Umeshindwa kujibu hoja . Tuambie kwa nini mama anaitwa mama ? Na baba anaitwa baba?? Ikiwa baba kajigeza akawa mama jee utaendelea kumwita baba??

Father wa kanisa katoliki ameolewa jee unaendelea kumwita father?

Kaolewe na wewe basi wivu wa nini?¿ kwani hujui watendao mambo kama hayo in jehannam halidina fiha Abadan!; moto? hhhhhhhh... Hujui?!
 
Jibu maswali unayoulizwa.

Kwa nini mama akaitwa mama na baba akaitwa baba????

Ikiwa baba atajigeuza na kuwa mama utamwita nani???

Padri anayeolewa mnaendelea kumwita father??
 
QURAN NA BIBLIA ZATHIBITISHA KUWA PAULO NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU LAKINI MUHAMMAD SIO KABISA.

Kwa mujibu wa Biblia manabii na mitume wanathibitishwa kwa njia ya miujiza.

Kutoka 14:21” Musa akanyosha mkono wake juu ya bahari,BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki,usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchi kavu”.

Matendo 19:11-12 “Mungu alifanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida . Hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka”. Tazama pia Matendo 16:16-18, 20:7-12 na Matendo 13:6-12.

Qur’an nayo inathibitisha kuwa manabii na mitume ni lazima wafanye miujiza.

Qurani 40:78 Suratul Al-Muumini [Waumini] inasomeka “Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengime katika wao tumekusimulia (majina yao na habari zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yoyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu”

Muhammad hakupewa kufanya muujiza wowote ili kuthibitisha madai ya unabii na utume wake.
Qur’an 29:50 Suratul Al-Ankabuut (Buibui). “Na walisema “Mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa Mola wake? Sema miujiza iko kwa Mwenyezi Mungu tu (akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi), nami hakika ni mwonyaji mbainishaji (dhahiri tu).” (Taz. Qur,an 6:35-37 13:7,)

Katika Qur’an iko aya ambayo tunapaswa tuitafakari wote kwa pamoja. Katika Surat An-Nisaa, (wanawake), 4:79 “Wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu na ubaya uliokufikia unatoka nafsini mwako, mwenyewe umefanya mambo hata yakakufika hayo. Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha (hapaitajiwi shahidi mwingine)”

Aya hii inaonesha kuwa Muhammad mtume wa Waislamu, alipelekwa kwa watu kuwa mtume, huku Mwenyezi Mungu akiwa shahidi tu. Siku zote shahidi si mtendaji bali ni mwonaji tu wa tendo lililotendeka.

Hoja yetu tungependa kuwajua hao watu waliompeleka Muhammad kwa watu ni akina nani? Kwa sababu tumeona kule nyuma baada ya Muhammad kutoka pangoni, mkewe Bi. Khadija anamwambia Muhammad kuwa “utume huo!!!!!!! Na Bwana Waraqah ibn Naufal akimwambia Muhammad kuwa “ basi jibashirie kuwa wewe ni mtume wa umma huu” kabla ya Qur’an .Je hao si wale “Nasi tumekupeleka” wanaotajwa kwenye aya hiyo hapo juu? Tafakari!!

Muhammad alitenda dhambi kubwa kubwa na hakufanya muujiza hata mmoja.

Lakini Mtume Paulo alifanya miujiza mingi sana.
 
Hivi hii nayo hoja kweli? Wewe kama unaita hii ni hoja, basi na kushauri tena kwa kusisitiza kaanze kusoma alifu kwa kijiti maana hukuelewa.

Umeshindwa kujibu hoja . Tuambie kwa nini mama anaitwa mama ? Na baba anaitwa baba?? Ikiwa baba kajigeza akawa mama jee utaendelea kumwita baba??

Father wa kanisa katoliki ameolewa jee unaendelea kumwita father?

Jibu maswali unayoulizwa.

Kwa nini mama akaitwa mama na baba akaitwa baba????

Ikiwa baba atajigeuza na kuwa mama utamwita nani???

Padri anayeolewa mnaendelea kumwita father??
 
Yesu anasema mimi ni njia kweli na uzima. Sasa ukiacha kufuata njia ya kweli na uzima unafuata njia ipi kama si njia ya uongo.
 
QURAN NA BIBLIA ZATHIBITISHA KUWA PAULO NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU LAKINI MUHAMMAD SIO KABISA.

Kwa mujibu wa Biblia manabii na mitume wanathibitishwa kwa njia ya miujiza.

Kutoka 14:21” Musa akanyosha mkono wake juu ya bahari,BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki,usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchi kavu”.

Matendo 19:11-12 “Mungu alifanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida . Hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka”. Tazama pia Matendo 16:16-18, 20:7-12 na Matendo 13:6-12.

Qur’an nayo inathibitisha kuwa manabii na mitume ni lazima wafanye miujiza.

Qurani 40:78 Suratul Al-Muumini [Waumini] inasomeka “Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengime katika wao tumekusimulia (majina yao na habari zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yoyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu”

Muhammad hakupewa kufanya muujiza wowote ili kuthibitisha madai ya unabii na utume wake.
Qur’an 29:50 Suratul Al-Ankabuut (Buibui). “Na walisema “Mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa Mola wake? Sema miujiza iko kwa Mwenyezi Mungu tu (akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi), nami hakika ni mwonyaji mbainishaji (dhahiri tu).” (Taz. Qur,an 6:35-37 13:7,)

Katika Qur’an iko aya ambayo tunapaswa tuitafakari wote kwa pamoja. Katika Surat An-Nisaa, (wanawake), 4:79 “Wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu na ubaya uliokufikia unatoka nafsini mwako, mwenyewe umefanya mambo hata yakakufika hayo. Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha (hapaitajiwi shahidi mwingine)”

Aya hii inaonesha kuwa Muhammad mtume wa Waislamu, alipelekwa kwa watu kuwa mtume, huku Mwenyezi Mungu akiwa shahidi tu. Siku zote shahidi si mtendaji bali ni mwonaji tu wa tendo lililotendeka.

Hoja yetu tungependa kuwajua hao watu waliompeleka Muhammad kwa watu ni akina nani? Kwa sababu tumeona kule nyuma baada ya Muhammad kutoka pangoni, mkewe Bi. Khadija anamwambia Muhammad kuwa “utume huo!!!!!!! Na Bwana Waraqah ibn Naufal akimwambia Muhammad kuwa “ basi jibashirie kuwa wewe ni mtume wa umma huu” kabla ya Qur’an .Je hao si wale “Nasi tumekupeleka” wanaotajwa kwenye aya hiyo hapo juu? Tafakari!!

Muhammad alitenda dhambi kubwa kubwa na hakufanya muujiza hata mmoja.

Lakini Mtume Paulo alifanya miujiza mingi sana.

Kwa hayo uliyoyaandika nakushukuru hakuna mahali umetoa ushahidi yesu ni mungu
 
Heheheeeeee......
Utume bandia wa mtume wako eeh, ndio maana sisi tunadai nyie wafuasi wa mtume bandia alietumwa na ibilisi kumpinga Mwana wa Mungu.

Njoo tukubatize sasa, tukuonyeshe njia sahihi, uliyoko ni ya Motoni.
 
Yesu anasema mimi ni njia kweli na uzima. Sasa ukiacha kufuata njia ya kweli na uzima unafuata njia ipi kama si njia ya uongo.

Yespu ni njia lakini hakusema mimi ni Mungu

Au kwako wewe njia ni mungu??
 
Heheheeeeee......
Utume bandia wa mtume wako eeh, ndio maana sisi tunadai nyie wafuasi wa mtume bandia alietumwa na ibilisi kumpinga Mwana wa Mungu.

Njoo tukubatize sasa, tukuonyeshe njia sahihi, uliyoko ni ya Motoni.

Hayo fungua thread utajibiwa , wewe kweli ni mzizi wa mbuyu unazunguka shina tu . Hujatoa ushahidi wa kumpakazia yesu uungu
 
Hivi hii nayo hoja kweli? Wewe kama unaita hii ni hoja, basi na kushauri tena kwa kusisitiza kaanze kusoma alifu kwa kijiti maana hukuelewa.

Tumekusikia sasa jibu mswali

Kwa sifa zipi mungu huitwa mungu??

Kwa sifa zipi binadamu huitwa binadamu

Kwa sifa zipi baba huitwa baba??
Kwa sifa zipi mama huitwa mama??

Baba akijigeuza mama utamwita nani??

Padri aliyeolewa unaendelea kumwita father??
 
Yesu ni njia lakini hakusema mimi ni Mungu
Wewe kukataa kumwita Mungu hakumfanyi kuwa Mungu unapiga kelele na kupoteza muda mbona Mohamed si mtume wa mwenyezi Mungu lakini wewe unasema ni mtume wa Mungu si tunakuacha tunawahubilia watu injili wanafuata njia ya kweli we fuata njia yako isiyo kweli.
 
Mbona hakuna mahali yesu kajitangazia uungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom