Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Ni wa kweli au sio wa kweli Mungu aliemtuma ndo anaejua, wakristo wa Tanzania changamkieni huu unabii na huenda ni mkweli mkawa taifa teule.

YESU WA BUNGOMA NCHINI KENYA ASEMA WATU 168,000 WATAENDA MBINGUNI

Yesu wa Bungoma azidi kuzua gumzo baada ya kudai kwamba watu 168,000 pekee ndio watakaoenda mbinguni duniani kote.

Kulingana na Yesu huyo pia ni kwamba watu wawili pekee kutoka Nairobi ndio watakaofanikiwa kuingia mbinguni.

Nini maoni yako

Screenshot_20230202-201307_Facebook.jpg
 
Acha kubeza hata yesu yule alio mtangulia alikua na Kanzu moja na ndevu kama za huyu.
Miaka 2000 iliyopita unalinganisha na leo ,huyo zoba fala sana

USSR
 
Ni wakweli au sio wa kweli Mungu alie mtuma ndo anaejua, wakiristo wa Tanzania changamkieni hu unabii wa uenda ni mkweli mkawa taifa teule.

YESU WA BUNGOMA NCHINI KENYA ASEMA WATU 168,000 WATAENDA MBINGUNI

Yesu wa Bungoma azidi kuzua gumzo baada ya kudai kwamba watu 168,000 pekee ndio watakaoenda mbinguni duniani kote.

Kulingana na Yesu huyo pia ni kwamba watu wawili pekee kutoka Nairobi ndio watakaofanikiwa kuingia mbinguni.

Nini maoni yakoView attachment 2504024View attachment 2504025
Huyu kibwengo wakimchekea ataondoka na Kijiji huyu atawachoma moto hao Mbuzi wake
 
Miaka 2000 iliyopita unalinganisha na leo ,huyo zoba fala sana

USSR
Wewe acha kutukana mtume litakukuta kama liliomuta Goriath. Hata yule yesu wa kwanza muzungu alitukanwa na wa Roma badaye wakamuamini na kujiita Roman Catholic
 
Wewe acha kutukana mtume litakukuta kama liliomuta Goriath. Hata yule yesu wa kwanza muzungu alitukanwa na wa Roma badaye wakamuamini na kujiita Roman Catholic
Goliath alikuwaje nachojua aliuawa vitani na David sio ishu ya kipuuzi kama huyu yesu na mke wake fala flani hivi.

USSR
 
Goliath alikuwaje nachojua aliuwawa vitani na David sio ishu ya kipuuzi kama huyu yesu na mke wake fala flani hivi

USSR
Na wewe utajikuta kwenye vita ya maneno utakuja kuuliwa na David hivo hivo, mpaka utowe ushahidi kutoka bibilia kwamba huyu ni Yesu batili bila hivyo utaaminika
 
Tuamini nini ikiwa Yesu mwenyewe alisema watatoke kina yesu wa uongo? Kuna yesu wa Urusi aliyeitwa tirop, kuna mwingine alitokea Amerika ya kusini, haya tena katokea kenya mwingine. Tena huyu wa Kenya hana vigezo vya uyesu. Huyu wa Kenya ana mke. Watu hawana aibu wamefikia hatua ya kujiita mitume, manabii, makerubi, maserafi, makuhani, malaika na mungu, wapumbavu wasiosoma maandiko matakatifu wanawaamini.
 
Simuamini huyu jamaa, ila pia sitaki kumsema vibaya. Ili ikitokea akawa ni Yesu kweli, basi nisiwe mmoja kati ya waliomtukana brother Yesu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom