Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Nimekaa hapa navuta bange yangu, kuna kitu kinanisukuma nafsini kinaniambia mimi ni yesu, hebu ngoja pakuche nikanunue kanzu
 
Je huyo msanii nae amesema atauonja huo ufalme wa mungu au anabwabwajatu
Haya utayasikiatu Afrika
 
Ni wa kweli au sio wa kweli Mungu aliemtuma ndo anaejua, wakristo wa Tanzania changamkieni huu unabii na huenda ni mkweli mkawa taifa teule.

YESU WA BUNGOMA NCHINI KENYA ASEMA WATU 168,000 WATAENDA MBINGUNI

Yesu wa Bungoma azidi kuzua gumzo baada ya kudai kwamba watu 168,000 pekee ndio watakaoenda mbinguni duniani kote.

Kulingana na Yesu huyo pia ni kwamba watu wawili pekee kutoka Nairobi ndio watakaofanikiwa kuingia mbinguni.

Nini maoni yako

View attachment 2504024
wakenya walivyo na mbio kama nawaona watakavyo zishindania hizo nafasi mbili kwa spidi ya mwanga
 
Back
Top Bottom