OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ah'ah' Ah! Jamani msigombane bure. Yesu ni jina kama yalivyo majina mengine mfano Paul, Omari, Daniel, Ngoikumash, Nyakubimbi, Johnson, Zelensky n.k.n.k. na jina hilo Yesu ni mojawapo ya majina ya kawaida sana ambayo hutumika katika jamii na watu wengi na hakuna shida. Hata wewe waweza kumwita mwanao wa kiume jina hilo la Yesu.Miaka 2000 iliyopita unalinganisha na leo ,huyo zoba fala sana
USSR
Lakini Yesu Kristo ni mmoja tu, ni jina pekee (unique) na hakuna mtu mwingine mwenye jina hilo hapa duniani. Yaani tuseme mathalan wewe unaitwa Paschal Daniel Masha. Ukifa ndo imetoka hivyo. Hakuna mtu mwingine atakayekuwa sawa 100% na ww atakayeitwa Paschal Daniel Masha. Lakini watu wataendelea kuwaita watoto wao jina Paschal na hakuna shida. Kwa mantiki hiyo huyo mtu anayeitwa yesu ndo jina lake. Shida iko wapi? Nyie hamtaki aitwe jina hilo? Basi nendeni mkamwulize babake ni kwa nini alimwita kijana wake jina hilo. Muwe na amani. Jina lisiwape shida. Endeleeni na kazi zenu -Tafuteni pesa.
Samahani, jina hilo Paschal Daniel Masha nimebuni tu na kama kuna mtu kweli mwenye jina hilo wala sikumlenga yeye ni coincidence tu.