Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Aisee
Kwenye hiyo orodha naona kawaweka watu wa kutoka ukoo wake.


Wengine tutaishia hapa hapa aisee🤣
 

[emoji28][emoji28]
 
Yesu alikuwa Myahudi Mmazareth na asili ya wayahudi (Jews) ni weupe, na wanazungumza kiyahudi sasa huyu mbona ni mweusi ma hazungumzi kiyahudi?
Ni muda amekaa mbinguni miaka 2000 atakuwa kasahau lugha
 
Mazuzu mmekutana unajua idadi ya watoto wadogo wanao kufa chini ya miaka 4 ...je unajua idadi ya mataahira wanao zaliwa hivyo na kufa hivyo je hao unadhani wana hatia mbele za huyo mungu wako wa mchongo l...kwakutumia akili ya kawaida tu huyo jamaa ni muhuni tu kama tujuavyo watoto wadogo wote wanao kufa utotoni na watakao kuwepo siku ja kiama wote ni watakatifu wa peponi
 
Wewe wapi pameandikwa hivyo?
 
Ndugu zangu nafurahi kuwaambia katika hao watu 168,000 na mimi nimo na nimeshachagua Seat yangu ni ya dirishani kuume Kwa Baba.

Asanteni#
 
Huyu yesu wa bungoma Kenya anaongea kiswahili cha Kenya. Mke wake nae anaongea lafudhi ya kiswahili cha Kenya. Kimsingi huyu si yesu halisi, ni maigizo tu kwa kuwa kwenye ukristo kuna uhuru mkubwa wa kuabudu hata sanamu bila kutangaziwa fatwa, watu wamejiita majina yote matakatifu yamewaishia wameamua kujiita jina kuu la Mungu wala hakuna wa kuwabughudhi.

Soon wameanza na upande wa shetani, wameibuka wafuasi wa shetani na wanamtetea shetani kwa hoja zote. Tusishangae akaibuka mtu anayejiita shetani huku akitutukuzwa na wafuasi wake.
 
Nawewe utajikuta kwenye vita ya maneno utakuja kuuliwa na David hivo hivo, mpaka utowe ushahidi kutoka bibulia kwamba huyu ni Yesu batili bila hivo utaaminika
Uandishi wako tu pekee unanikubusha mstari wa biblia unaosema "nao watawadanganya wengi"ss ww ni miongoni mwao hao wengi walotajwa hapo,af inabid ututajie na wenzio,maana biblia inasema MTAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
MK254 kumbe yesu kasharudi yupo huko kwenu kenya hata hatuambiani we kazi kuwapikia majungu waislam kwenye thread za vita ya Ukraine/urusi utadhani labda hiyo urusi unayoichukia ni nchi ya kiislam,,,
Kwa roho mbaya yako na majungu mbingu utaisikia kwenye Bomba,, Kenya nzima wanaenda wawili tu,,,,
 
Na hao ni wahapohapo kenya au ndio dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…