Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

Amani iwe nanyi,

Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea.

Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia ufufuko wake siku ya tatu, je sisi tunasubiri nini? Hawa mitume na manabii wa mchongo inabidi wachezee vichapo.

Maandiko yako wazi, hakuna utukufu unaokuja bila mateso.Manabii na mitume walichezea vichapo wakapata utukufu huko kwa baba

Ieleweke, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba, manabii na mitume chukueni tahadhari.
Kina stephano walichunwa ngozi wakiwa hai, kina Jan hus walichomwa moto wakiwa hai martin luther king aliishi kama digidigi sababu ya injili hii iliomsurubisha Yesu ila kuna miamba inaendesha range , private jets yatch big mansions with ocean on the backyards, well armed elites bodyguards na wanaamiwa kinoma na maraia
 
[emoji1787][emoji1787]kesho akiona wayahudi wanamfuta na mapanga, lzm atoke nduki mpk kituo cha polisi akaiponye roho yake[emoji1787][emoji1787]
Polisi watarusha kesi kwa kaisari, kaisari atarusha kwa pilato halafu pilato atanawa mikono kuwaachia waendelee naye hadi golgota. Njia ya maslaba ilikuwa kujitoa sadaka kwa kiwango cha ya juu sana, huyo yesu wa mchongo atajua hajui.
 
Amani iwe nanyi,

Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea.

Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia ufufuko wake siku ya tatu, je sisi tunasubiri nini? Hawa mitume na manabii wa mchongo inabidi wachezee vichapo.

Maandiko yako wazi, hakuna utukufu unaokuja bila mateso.Manabii na mitume walichezea vichapo wakapata utukufu huko kwa baba

Ieleweke, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba, manabii na mitume chukueni tahadhari.
Yesu wa Kenya mbona tunae humu jf ni huyu MK254
 
Polisi watarusha kesi kwa kaisari, kaisari atarusha kwa pilato halafu pilato atanawa mikono kuwaachia waendelee naye hadi golgota. Njia ya maslaba ilikuwa kujitoa sadaka kwa kiwango cha ya juu sana, huyo yesu wa mchongo atajua hajui.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka mpaka majirani wananidiss wanahisi nimevurugwa na maisha 😂😃😃
 
Polisi watarusha kesi kwa kaisari, kaisari atarusha kwa pilato halafu pilato atanawa mikono kuwaachia waendelee naye hadi golgota. Njia ya maslaba ilikuwa kujitoa sadaka kwa kiwango cha ya juu sana, huyo yesu wa mchongo atajua hajui.
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wakati wanajitokeza kumshika yesu wa kenya, lazima petro achomoe upanga na kumkata myahudi mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Polisi watarusha kesi kwa kaisari, kaisari atarusha kwa pilato halafu pilato atanawa mikono kuwaachia waendelee naye hadi golgota. Njia ya maslaba ilikuwa kujitoa sadaka kwa kiwango cha ya juu sana, huyo yesu wa mchongo atajua hajui.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja kwanza! bado hawajamfikisha kwa pilato wanamlia chabo, wanamtafuta yuda wamuhonge vipande vya fedha,[emoji1787][emoji1787] kesho ndio pilato aingie mzigoni na yesu watongani[emoji1787][emoji1787]
 
Kina stephano walichunwa ngozi wakiwa hai, kina Jan hus walichomwa moto wakiwa hai martin luther king aliishi kama digidigi sababu ya injili hii iliomsurubisha Yesu ila kuna miamba inaendesha range , private jets yatch big mansions with ocean on the backyards, well armed elites bodyguards na wanaamiwa kinoma na maraia
Watembezewe vichapo, huwezi ukafanya kazi ya Mungu ukla bata
 
Juhudi kudhibiti wimbi la matapeli wa dini Hawa..... walioazisha oparesheni waungwe mkono
Hii itafanya wajiulize mara mbili mbili kujipachika vyeo wakati hawataki responsibilities
 
Back
Top Bottom