Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

Ignorance of the law is not an excuse( kwa tafsiri isiyo rasmi maana yake ni kwamba..usipofahamu sheria,siyo utetezi kwa kosa utakalofanya).

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mmeingiza kipato ila jamii ya kimataifa itakuwa imepigia mstari kuhusu usalama wa uwekezaji wao hapa kwetu
 
Kwa kifupi mimi nimeona jamaa amepigwa faini na fedha nyingine kutaifishwa baada ya mtuhumiwa kushindwa kuzitolea maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi umeelewa kwa kiwango cha uelewa wako, wenye uelewa zaidi yako wanajua kosa lake...kabla ya kuchangia jaribu kusoma michango ya wengine utaona kosa lake.
 
Basi umeelewa kwa kiwango cha uelewa wako, wenye uelewa zaidi yako wanajua kosa lake...kabla ya kuchangia jaribu kusoma michango ya wengine utaona kosa lake.
Sawa mkuu
Na vipi kuhusu K.Lugola?
Naye atakiri lini?
Kwanini mnaamua kutetea uovu hapa jukwaani!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui lolote kaa kimya,kuna sheria inayotawala masuala yoote yahusuyo fedha hapa nchini,kuna kiasi maalumu cha fedha unazotakiwa kutembea nazo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi mkuu ninesoma comments hapa mpaka nacheka. hivi watu kweli hawajui kama kuna minimum cash ambayo unatakiwa usafiri nayo zaidi ya hapo unatakiwa utoe maelezo. na hii sheria ipo dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni kujikweza unacheka nini sasa wewe kuweza kuvuka mipaka ya nchi yako usidhani ni kila mtz anaweza so elimisha unachofaham ili tusiofaham tujue,
 
Afrika kusini ni kosa kutembea na pesa kuanzia rand 2000 ambayo haifiki hata laki NNE kwamba kupitia hiyo uko kwenye risk ya kuporwa hata kufa
Nchi nyingi zina limit ya kiwango cha pesa unachoweza kutembea nacho
Lakini jambo lingine huwenda unasafirisha vimbwanga/magendo
Sasa uko na huu mzigo kwaajili ya kuwapoza mabwana mipaka
Huyu ndugu hajaonewa hata ni kawaida sana
Kumbuka kwamba hawajamshtaki kwa kosa la kumiliki pesa nyingi Bali kosa la kutembea nazo huwenda anamiliki hata Mara mia ya hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nduza!! hili jina asee...
 
Yawezekana alishindwa kutoa maelezo kwa maafisa wetu kumuuliza kwa kiswahili wakati yeye anajua kiiingereza na kituruki...hivyo akashindwa kutoa maelezo..
 
Kuna kitu wewe hujui, hiyo kampuni kuna mgogoro unalindima na serikali, kilichofanyika ni hasira za serikali za kumkomoa huyo Meneja, hivi unadhani angekuwa yuko vizuri na serikali angekamatwa? Bos wa kusimamia ujenzi Mkubwa Kama huo unadhani wangemuadhibu? Ubabe wa magufuli anataka kuubeleka hadi kwenye makampuni ya wazungu, ndio wakajibu koma wewe kama ni limradi lako tunakuachia na tunaenda kukudai fidia, Jamaaa Alikuwa anasepa wakaona wamkomoe, kumbe wanajipalilia mkaa ataenda halafu watajipanga watashusha mashambulizi had Ndege zitaanza tena kukamatwa, huwezi cheza na wenye akiri kusema utawaweza Kwa kutumia bunduki, utafanikiwa Kwa muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu muheshimiwa bado yuko lupango ama ameshalipa faini ya milioni mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…