Unachukuwa pesa zake unazitaifisha halafu unamwambia alipe faini apate wapi? Pesa zake umechukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango ni chini ya elfu 10.Ukiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Pesa walizotaifisha zenyewe ni nyingi sana kuliko hizo wanazotaka alipe faini, naamini hakuna haki kabisa basi tu hizi zote ni hujuma, sas kama mtu ni manager wa kampuni inayojenga SGR pesa hizo kuwa nazo ni kitu gani kwani mbona fikra za kimaskini zinatutesa sana wabongoo ? hata kama ningekuwa mm wanikute na pesa ziwezi kuanza kutolea maelezo yeyote .
Nimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"
Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kesi mbona imetolewa maamuzi ndani ya muda mfupi hivi!!? Hakukuwa na mambo ya uchunguzi haujakamilika wala nini, kuna kitu hapo si bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mantiki ni kukiri (makosa) kama mwendesha mashtaka anavyotaka bila kujali una hatia au la! Huoni hii inapelekea watu kukosa haki zao?
Unafikiri kwamba hakupata mkalimani?Tatizo la Waturuki hawajui Kiswahili wala Kingereza. Itakuwa alishindwa kujieleza kutokana na lugha hapo Uwanja wa ndege na mahakamani ni hayo hayo.
Sio utumbo mkuu,milioni 200 ni pesa ndogo sana kuanza kufunguliana kesi za kipuuzi.Nafikiri wangeweka kiwango cha angalau bilioni moja cash or 1000,000 USD ila chini ya hapo ni ujinga.dola laki moja ni sawa na noti 1000 za dola 100 ambazo ni unaweza beba kwenye rambo.Sheria nyingine sio.Nimeona aibu kama ni mimi niliyeandika huu ''utumbo wa bata''
Kusema mahakama haiwezi kumuonea mtu ni upumbavu wa hali ya juu,mara ngapi suspects wanahukumiwa na preliminary courts halafu wanaoneka hawana hatia kwenye mahakama za juu?Nimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"
Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri umegunduwa hilo, labda uvivu wa kusoma vitabu vya kisheria unasumbuwa au tunazidi kuwa wajinga. Naihurumia dola kwa kulaumiwa kisa watu hawataki hata kuuliza sheria inasemaje. Ebu waiulize wajaribu kupita na hela kama hizo Airports za USA, EU na zingine ughaibuni kama wataweza?! Huo mziki wake watajuta milele...Nimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"
Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Waturuki hawajui Kiswahili wala Kingereza. Itakuwa alishindwa kujieleza kutokana na lugha hapo Uwanja wa ndege na mahakamani ni hayo hayo.