mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama ya wapi unayoongelea weweNimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"
Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa maoni ya watu hilo nakuachia maana hata wewe haya ni maoni unayoona wewe, lakini kusema mahakama haionei mtu sijui umetoa wapi huo uzushi. Mahakama ya kidunia iwe perfect 100%?Nimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"
Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
$10,000Ukiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Ukiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Bado haiingii akilini.. Mnafahamu kabisa ni manager wa kampuni kubwa mlioipa tenda ya SGR, sasa kuna ajabu gani kumkuta na hizo fedha? Na maelezo gani hasa mnayoyataka wakati mnafahamu fika ni manager wa kampuni wa kampuni kubwa na yenye tenda kubwa?
Huu ni udictator wa wazi kabisa..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi shuleni mlienda kusomea ujinga? By FaizaFoxyKuna sheria zingine zakipumbavu sanaaaa, mtu hela yake afu bdo mnambania
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Elfu kumi mzee kama nakumbuka vizuriUkiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Sikuhizi ni kukiri na kulipa faini/kutaifisha mzigo hakuna haja ya kusumbua mahakamaHii kesi mbona imetolewa maamuzi ndani ya muda mfupi hivi!!? Hakukuwa na mambo ya uchunguzi haujakamilika wala nini, kuna kitu hapo si bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukikaa tu kimya mkuuMhusika anafahamu hilo? Airport kuna bango linalotahadharisha wasafiri kuwa wanapaswa ku declared amount in excess of Us$ 10,000?
Hivi wewe unaishi dunia gani,ngoja kwanza nikuulize je umewahi kusafiri nje ya Tanzania?kwa haraka haraka naona mwisho wako wa kusafiri labda ni Dar Es Salaam,ungekuwa ni mkwea pipa ungejua sheria za kimataifa kuhusu mambo ya pesa,au kwa kifupi anza kuangalia runinga kwenye channely ya NatGeo wanaonyesha kipindi cha Border,hiki kinaonyesha askari wa mipaka kwenye viwanja vya ndege,bandari na mipaka ya nchi kavu wanavyofanya kazi zao.Kwa kifupi ni kuwa sheria ya kimataifa duniani koe ni kuwa unapoenda au kuingia nchi nyingine hata kama ni Bill gate unatakiwa kuwaambia wahusika wa ukaguzi tena kwa kujaza fomu kuwa una pesa zaidi ya usd 10,000.Pesa taslimu unayoruhusiwa kuvuka nayo mpaka inatakiwa isizidi USD 10,000 ama sivyo basi unatakiwa kubenki hiyo pesa na kuitolea maelezo,hizi ni sheria zinazotumika duniani kote kuepusha utakakashkaji wa pesa za mihadarati au ugaidi< Wakati mwingine sio lazima kutoa maoni yako ambayo yataonyesha jinsi ya uelewa wako wa mambo ulivyo kwa sababu tu basi una kisimu basi unaandika ujinga ,pianiwakati Watanzania wenzangu kuacha chuki za kisiasa na kuzileta kwenye mambo ya kazi.Huyo Mturuki anajua alichokuwa anakifanya.Bado haiingii akilini.. Mnafahamu kabisa ni manager wa kampuni kubwa mlioipa tenda ya SGR, sasa kuna ajabu gani kumkuta na hizo fedha? Na maelezo gani hasa mnayoyataka wakati mnafahamu fika ni manager wa kampuni wa kampuni kubwa na yenye tenda kubwa?
Huu ni udictator wa wazi kabisa..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Atakaaje kimya wewe ndio unatakiwa kukaa kimya sababu ni mbumbu wa sheria,nenda pale airport kasome mabango kuhusu unaposafiri nchi za nje ukiwa na pesa za kigeni,tatizo mnakimbilia kusoma udaku wa akina Domo na Sepetunga tu
Pale wana kuambia ni elf 9,000 elfu 10,000 lazima ukajaze fomu !Mkuu siyo udikteta. Sheria iko wazi mwisho dola 10,000 kusafiri nayo zaidi ya hopo unadeclare. Je alidiclare. Lifungwe tuu mituruki ni mibaguzi
Kwanini kwenye kesi za hela huu mwaka wa uchaguzi zinaamuliwa haraka² na watuhumiwa kulipishwa faini hata kama huo unaoitwa uchunguzi haujakamilikaKesi ikichukua muda mrefu mnalalamika kwamba kucheleweshwa kwa haki ni kumnyima mtu haki yake. Kesi ikiendeshwa haraka bado mnalalamika. Mtu ameshikwa na pesa kinachozidi kiwango kinachoruhusiwa. Ushahidi kamili ni hizo fedha zenyewe. Sasa unataka kesi ichukue miezi mingapi na kwa sababu zipi kwa kuwa ushahidi upo hapo tayari kwamba fedha zilikuwa kiasi kadhaa ambacho kinazidi kiwango kinachoruhusiwa? Kesi zote lazima ziendeshwe hivi na tulalamikie zile tunazoona zinazidi 'reasonable time' ya kufanya uchunguzi.
Kwanini ni kwa kesi za hela tuu?
Hizi hela siku chache zijazo zitanunua watu naona zinatafutwa kwa nguvu kweliSikuhizi ni kukiri na kulipa faini/kutaifisha mzigo hakuna haja ya kusumbua mahakama
Hata wale waChina waliotaka kumuhinga Kamishna wa TRA wamekamatwa juzi jana wamekiri ile mil11 imetaifishwa na faini mil 1 wanarudi zao Iringa kwenda kutafuta kodinwaliyokadiriwa Bil 1.3
Hiii kituuu inaoneshaa kumbee inawezekanaa igp aingiliee kati hayaa mamboo ama kama UPANDE WA magereza unahusika usaidie hakii za watu inaumiza sanaa MCHINA anaingia Leo KESHOKUTWA anamalizana na mahakamaa WATANZANIA wanabaki gerezanii miaka upelelezii aujakamiliika so sadJaji mkuu alishasema,tatizo halipo kwao Bali hao wapelelezi uchwara wa kipolisi ndiyo kikwazo kikubwa cha kesi mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app