Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mawazo ya ukandamizaji hayoUkiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya ukandamizaji hayoUkiwa na zaidi ya Dola elfu ishirini unatakiwa kudeclare..otherwise inachukuliwa unataka kutakatisha fedha.
Aiseee kumbe ndo yule????
TBC wameficha kwamba ni mturuki mjenga reli.... daaaah!
Hawataki tujue chochote, yani tubaki wajinga, closed system! Almuradi mradi wa mzee usichafuke!
Aisee, leo ndio nimejua kwa nini Wazungu (Westerners) hawawapendi wakomunisti, wasoshalisti na ma closed system yetu!
nimekasirika mno kujua utumbo ambao wananchi wasio na internet access wanalishwa!
Astakafullulilah!
Maximum imeshatajwa hapa kwamba ni $ 10,000. Hiyo minimum cash ni dola ngapi ili na wengine tujue?hata mimi mkuu ninesoma comments hapa mpaka nacheka. hivi watu kweli hawajui kama kuna minimum cash ambayo unatakiwa usafiri nayo zaidi ya hapo unatakiwa utoe maelezo. na hii sheria ipo dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
$0Maximum imeshatajwa hapa kwamba ni $ 10,000. Hiyo minimum cash ni dola ngapi ili na wengine tujue?
We mwendawazimu kweli, kama umepewa umanager na mshahara wako ni milioni 2 kwa mwezi, milioni 200 umezitoa wapi?Bado haiingii akilini.. Mnafahamu kabisa ni manager wa kampuni kubwa mlioipa tenda ya SGR, sasa kuna ajabu gani kumkuta na hizo fedha? Na maelezo gani hasa mnayoyataka wakati mnafahamu fika ni manager wa kampuni wa kampuni kubwa na yenye tenda kubwa?
Huu ni udictator wa wazi kabisa..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sheria haisemi ukiwa manager wa kampuni kubwa upite na mabulungutu,haipo nchi yoyote hiyoBado haiingii akilini.. Mnafahamu kabisa ni manager wa kampuni kubwa mlioipa tenda ya SGR, sasa kuna ajabu gani kumkuta na hizo fedha? Na maelezo gani hasa mnayoyataka wakati mnafahamu fika ni manager wa kampuni wa kampuni kubwa na yenye tenda kubwa?
Huu ni udictator wa wazi kabisa..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Million 10? acha uongo wewe..Mambo mengine kama huna ufahamu bora unyamaze. Hizo hela ni sawa na million 200 za kitanzania. Unawezaje kuwa na cash kubwa hiyo mkononi kama sio kwa ajiri ya uhalifu? Kisheria za kibenki za Tanzania ukitaka kutoa (withdraw) kiasi cha million 10 lazima BoT ifahamishwe na lazima hiyo account iwe inayoeleweka vinginevyo utasubirishwa saana uku wakikuchunguza.
Sasa RAIA wa kigeni kuwa na hela kubwa hiyo ya kigeni cash uwanja wa ndege ni uhalifu na unahatarisha usalama wa taifa. Nenda nchi yoyote duniani labla ya kuingia au kutoka lazima utolee maelezo kiasi cha fedha ulichonacho na uhalali vinginevyo zinataifishwa!
Amekiri.Hii kesi mbona imetolewa maamuzi ndani ya muda mfupi hivi!!? Hakukuwa na mambo ya uchunguzi haujakamilika wala nini, kuna kitu hapo si bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa.
Sasa Kama kakubali kosa ulitaka kifanyike nn zaidiHii kesi mbona imetolewa maamuzi ndani ya muda mfupi hivi!!? Hakukuwa na mambo ya uchunguzi haujakamilika wala nini, kuna kitu hapo si bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mwaka wa uchaguzi serikali ikishaona dalili ya hela mahali inachowaza ni kuichukua kwa njia ya ubadhirifu angalia mashauri yote ya uhujumu uchumi utagunduaSasa Kama kakubali kosa ulitaka kifanyike nn zaidi
Sent from my I phone
Rudia tena kusoma hiyo habari mkuu, isome kwa makini.
Kwa kifupi mimi nimeona jamaa amepigwa faini na fedha nyingine kutaifishwa baada ya mtuhumiwa kushindwa kuzitolea maelezo.Rudia tena kusoma hiyo habari mkuu, isome kwa makini.