BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi."
Katika ujumbe wake wa video wa dakika 11, anasema: "Lengo la maandamano hayo lilikuwa kuepusha uharibifu wa Wagner na kuwawajibisha maafisa ambao kwa vitendo vyao visivyo vya kitaalamu wamefanya makosa mengi".
Anasema Wagner anajuta "ilibidi waigonge ndege ya Urusi" na wakageuka "ili kuzuia kumwaga damu ya wanajeshi wa Urusi."
Ujumbe wa Nukuu: Tulikuwa kwenye maandamano kuonesha masikitiko yetu ya kugeukwa, sio kupindua serikali."
Yevgeny Prigozhin
Kiongozi wa Wagner