Yevgeny Prigozhin: Hatukuwa na lengo la kumpindua Rais Putin

🤣🤣🤣
 
Hili tukio limewafamya Western leader na majasusi wao kulala na
viatu maana hawaelewi wanaota au vipi
 
Wamepigwa 6 Billion inasemekana US 6.2 Billion walitoa kuwapa wagner wapigane na Russian.

Kiongozi Wagner akamuambia Putin na Putin alimwambia achukue hio Ofa afu atampa 1 Billion iliapote na ajifiche

ndege ya urusi inaangushwa na wagner. Wanajeshi wengine wanajipanga moscow kuzuia wagner. Putin anahutubia taifa kwamba hali ni mbaya. Halafu wewe unachora makatuni kweli?.
 
Mbona NATO walishangilia sana? hivi wanajua wazi hawaiwezi Russia kivita? au kulikoni?

Sijaona mahali ambapo nchi wanachama wa NATO walishangilia, isipokuwa mataifa hayo yalisema yana fuatilia hili tukio kwa ukaribu.
 
Wamepigwa 6 Billion inasemekana US 6.2 Billion walitoa kuwapa wagner wapigane na Russian.

Kiongozi Wagner akamuambia Putin na Putin alimwambia achukue hio Ofa afu atampa 1 Billion iliapote na ajifiche


“Inasemakana” yaani speculation halaf unaleta story 6B wkt bado inasemekana?
 
Tafsiri yake
wagner walikua kwny maandamano ya amani Kama Yale ya MEI MOSI kuelekea moscow [emoji28]
 
Putin ameshagoga muhuri alichokifanya ni uhaini mkubwa amehatarisha usalama WA Russia ,asubiri muda wake wa kuliwa kichwa ufike
 
Putn ajitoe sasa Ukraine.
Tumechoka mavita vita.
 
Naamini WAGNER anajutia mpango huo uliofeli, naamini aliingizwa chaka na west + NATO ukisikiliza maneno ya BIDEN unapata picha nini kilikuwepo behind..

Na huenda PUTIN analitambua hilo...
Huyu WAGNER it's a matter of time, cjui PUTIN atamfanya nn?
 
We naye kama mwanamke malaya tu, Sasa NATO ipi hiyo ambayo haiwezi Urusi dhaifu mbele ya wanamgambo??


Kwa hizi kauli zako za hovyo kama wewe ni mwanamke, hustahili kuwa na hiyo profile picture.

Tania zako za kuita wenzako mwanamke Malaya bila sababu zinafanana na hii sura!
 

Attachments

  • 8cb9304c-25b7-4a53-afb3-4bfc3ae29add.jpg
    28.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…