OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni ngumu sana kumtetea Magufuli kwa mdomo mtupu.
Mambo yaliyoendelea katika utawala wake dhidi ya haki ya kutoa maoni, dhidi ya haki ya kuishi na kufikia hatua ya kudhuru wengine, ni dhahiri ilikuwa katika harakati za kujitetea.
Magufuli mwenyewe alijitahidi kujitetea kwa mdomo akashindwa ikabidi atumie mkono wa chuma kushughulikia wakosoaji.
Wengine wanataka yasisemwe na kuwekwa wazi kwa kuwa alishaondoka duniani. Huu utetezi wa kitoto na funzo kwamba tuondoke duniani kwa wema. Lakini pia huu ni historia kwa vizazi. Taifa la kesho kinapata kurejea kwenye kitabu cha Kabendera kujifunza kitu.
Ni ngumu sana kuficha mambo kwenye kizazi hivi kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu.
Tuache historia mbaya na nzuri iandikwe