Yeye mwenyewe alijitetea kwa mkono wa chuma, Wewe unaweza kumtetea kwa mdomo?

Si marehemu tu anayelengwa.Tulia uone.Au kaa chonjo kichochi;saa mbaya hii.
Sasa mbona muanzie kwa Hayati,so kifupi Magu ndio Kiki halafu mlete content?
Hata hao mnaowalenga hakuna atakaewaamini mmeanza vibaya.
Tusubiri matokeo.
 
Ametoa tuhuma kwenye mahakama ya umma. Hata hapo kwenye kitabu chake anawajibika kutoa ushahidi usio na shaka.

Kwa utaratibu huu anaoutumia kila mtu anaweza kusema chochote kuhusu mtu mwingine, kuhusu wewe, mtu asiyempenda wakiwa na bifu.
Unataka akae anajibu maswali yenu hovyohovyo tu?Tafuteni kusanyiko jumuishi/wakilishi nayo ni mahakama ili akawajibu huko.Atawezaje kujibu watu "mirioni sarasini" kwa pamoja?
 
Sasa mbona muanzie kwa Hayati,so kifupi Magu ndio Kiki halafu mlete content?
Hata hao mnaowalenga hakuna atakaewaamini mmeanza vibaya.
Tusubiri matokeo.
Mlitueleza mara ya mwisho alikuwa taasisi.Wanachama watiifu wa taasisi mjibu maswali.
 
Kama ilivyokuwa katika enzi za Mwalimu.
Vyombo vyetu vya usalama vinafanya kazi nzuri ya kuwashikisha hawa Nyerere - haters .
Don't mess with Prince Satan.
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…