Yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje bidhaa inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima

Yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje bidhaa inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima

Leviz

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
61
Reaction score
85
Habari Ndugu zangu Wana JF nataka kupitia thread hii itukomboe wakulima juu ya MASOKO.kwaiyoo yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje ya hapa ata taja soko na BIDHAA inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima
Mazao kama yafuatayo;
1.Mchele
2.mahindi
3.kahawa
4.katani
5.ndizi
6.kuku
7.mbuzi
8.ngombe
9.chai
10.mbaazi
11.ufuta
12.strawberry
13.Alizeti
14.viazi
15.karoti
16.nyanya
17.vitunguu
18.nazi
19.Bamia
20.nyanya chungu
21.bilinganya
22.vitunguu saumu
23.machungwa
24.mananasi
25.maparachichi
 
Weka hapa idea yako ni nn mpaka utusumbue sahizi
 
Izo bidhaa asilimia 90 Zina soko la uwakika SEMA tu bei ya masoko ndo tafauti na wachuuzi ndo wanawaumiza wakulima
 
Naombeni msaada wenu watu wa JF na tusichoke kusaidiana!

Naomba kujuzwa kuhusu MASOKO makuu ya kuuza mazao haya kwa Dar es salaam
1. Mchele
2. Mahindi
3. Mtama
4. Alizeti
5. Mbaazi
6. Viazi
Natanguliza shukrani🙏
 
Back
Top Bottom