Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,649
Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba
naona unapambana KUEPUKA usije litaja Jina la Yesu Kristo, naomba nikusaidie kulitaja. Usilionee haya Jina la Yesu Kristo, ndio wokovu wako na maombi yako yote hayajibiwi usipolitaja.Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la BabaView attachment 3363693
Mbona tunapangiana cha kupost mkuu?naona unapambana KUEPUKA usije litaja Jina la Yesu Kristo, naomba nikusaidie kulitaja. Usilionee haya Jina la Yesu Kristo, ndio wokovu wako na maombi yako yote hayajibiwi usipolitaja.
WAFILIPI 2:10 - 11; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba
MATENDO 4:12; Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo
nilikuwa nakurekebisha tu ndugu shetani!Mbona tunapangiana cha kupost mkuu?
Uyo yesu n Mtoto WA nani?
Yesu ni Mtoto WA Mungu ivyo Baba atabaki kua baba tu kitoto cha ibirisi kijuaji alafu mbele gizanilikuwa nakurekebisha tu ndugu shetani!
AMENYeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la BabaView attachment 3363693
pole ndugu shetani, ila ukweli utabaki pale pale akikupiga kelubu moja hivi hauna hata hamu.huna nguvu kabisa kwake. shwain.Yesu ni Mtoto WA Mungu ivyo Baba atabaki kua baba tu kitoto cha ibirisi kijuaji alafu mbele giza
🙏🙏🙏naona unapambana KUEPUKA usije litaja Jina la Yesu Kristo, naomba nikusaidie kulitaja. Usilionee haya Jina la Yesu Kristo, ndio wokovu wako na maombi yako yote hayajibiwi usipolitaja.
WAFILIPI 2:10 - 11; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba
MATENDO 4:12; Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo
Jina la Baba, Baba yupi sasa?Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la BabaView attachment 3363693
Vivaragizi ivyo mkuu AChana navyoMbona mnaharibu tena??
Kumuabudu binaadam mwenzako nao n ushetani pia 🤣🤣🤣🤣pole ndugu shetani, ila ukweli utabaki pale pale akikupiga kelubu moja hivi hauna hata hamu.huna nguvu kabisa kwake. shwain.